Tamko la vijana wa Kagera kuhusu ziara ya Nape

Kwa hiyo hukujua kama 'baba yako' amefariki, amezikwa na hukupanga kuhudhuria?
Viongozi wa CCM mnapenda starehe sana, kwenye msiba unacheza gofu?
Kafa Kanumba hapa akiwa anafanya umalaya huku akimbaka mtoto (alikuwa chini ya miaka 18) mpaka baba Riz One kaahirisha safari zake za kutalii kaenda kwenye msiba wa kipuuzi. Kafa mpiganaji unakwenda kucheza gofu!
Funga mdomo wako, unajiaibisha kwa kujitetea kijinga
 
Duh msiba wa mtu unayemuheshimu kama baba yako haujui amezikwa au la?
Haujishughulishi hata kupiga simu kwa ndugu wa karibu ili kujua maziko yatakauwa lini?
Kazi ipo kwa kweli!
Hii inaonesha how careless you are?
 
Nimesikitishwa sana sana NA UPOTOSHAJI MKUBWA UNAENDELEA KATIKA SAFARI YANGU YA KWENDA KAGERA! KILICHONIUMA ZAIDI NI JINSI WATU WANAVYOTAKA KUTUMIA MSIBA KAMA NGAO YAO YA KUPOTOSHA UKWELI WA SWALA ZIMA LA SAFARI YANGU KAGERA. KWA WASIOJUA AU WALIOAMUA KUPOTOSHA UKWELI KWA MAKUSUDI, DR. KYARUZI ALIKUWA RAFIKI MKUBWA WA MAREHEMU BABA YANGU MZAZI BRIG. GEN MOSES NNAUYE, HIVYO MAREHEMU KYARUZI NI SAWA NA BABA YANGU. NINA LAANI JUHUDI ZA KUTAKA KUTUMIA ZIARA YANGU KAGERA NA MSIBA WA MZEE WANGU KYARUZI KISIASA.

NAOMBA IJULIKANE KUWA KAGERA SIKWENDA RASMI KWA AJILI YA KUHANI MSIBA, ISIPOKUWA NILIKWENDA KWA SHUGHULI ZANGU ZA KICHAMA NA KWAKWELI NILIJUA MAZISHI YAMESHAFANYIKA YA DR. KYARUZI NIKIWA DAR NIKAMWOMBA KATIBU WA MKOA KUWA NIKIWA MISENYI NIENDE NYUMBANI KUWASALIMIA WAFIWA, AKANIAMBIA HAWAJAZIKA, NA ILIKUWA WAZIKE KESHO YAKE YA SIKU NILIYOENDA KAGERA, NIKAMWAMBIA BASI NITAPITA MSIBANI KUTOA POLE. NA NDIVYO NILIVYOFANYA , NILIPOFIKA TU NIKAENDA KUTOA POLE NDIO NIKAENDELEA NA SHUGHULI ZILIZONIPELEKA KAGERA.KAGERA SIKWENDA KUHANI MSIBA NILIKWENDA KWA SHUGHULI YA VIJANA, SI BUSARA HATA KIDOGO KULAUMU BILA KUULIZA HASA KWA MHUSIKA. NINASIKITISHWA NA UAMUZI WA MWANDISHI KUJIPA USEMAJI WA VIJANA KAGERA NA KUSHINDWA HATA KUWAULIZA WAHUSIKA MAANA WAPO KAGERA NAPE ALIFUATA NINI KAGERA.

LAKINI KUDHIHIRISHA NIA MBAYA YA MWANDISHI, MWANDISHI KAAMUA KUDANGANYA UMMA KUWA NILIKUWEPO KAGERA SIKU YA MAZISHI YA DR. KYARUZI, AMA KAAMUA KUKOLEZA KUSUDI LAKE BAYA AU HAJUI ALICHOKISEMA, UKWELI NI KWAMBA TAREHE 25/05/2012 NILIKWENDA KAGERA NA KURUDI DSM SIKU HIYOHIYO SASA HUYO NAPE WA TAREHE 26 NI YUPI? NI VIZURI KUPIMA TUHUMA KABLA YA KUZITOA.

NINA MSAMEHE BURE MWANDISHI NA ALIOSHIRIKIANA NAO.

Mtu yeyote akipitia vizuri mistari iliyo katika red atagundua kuwa hupingani na mleta hoja!
Rafiki mkubwa wa baba yako mzazi ambae umemfananisha sawa na baba yako, unaenda kule kulipotokea msiba na wala hukuwa na ratiba ya kuhani msiba lakini bahati nzuri unakuta hawajazika unashindwa hata kuhudhuria mazishi, unatoa pole unaendelea na program zako za DEGAMBALIZATION, heshma iko wapi kwa mtu uliyemfananisha sawa na baba yako mzazi?hivi ni kweli hukustahili kujali msiba kama vile wa baba yako mzazi? wewe unaenda kwenye operation zako za ku-degambalize watu!!? pole sana na hiyo operation ishakula laana na haitofanikiwa,unaweka maslahi ya chama mbele na utu nyuma, kweli umepagawa na mimi nakutabiria kuwa utaondoka kwenye nafasi yako ya chama kwa aibu na kashfa kubwa,just mark my words and time will tell.
 
Nimesikitishwa sana sana NA UPOTOSHAJI MKUBWA UNAENDELEA KATIKA SAFARI YANGU YA KWENDA KAGERA! KILICHONIUMA ZAIDI NI JINSI WATU WANAVYOTAKA KUTUMIA MSIBA KAMA NGAO YAO YA KUPOTOSHA UKWELI WA SWALA ZIMA LA SAFARI YANGU KAGERA. KWA WASIOJUA AU WALIOAMUA KUPOTOSHA UKWELI KWA MAKUSUDI, DR. KYARUZI ALIKUWA RAFIKI MKUBWA WA MAREHEMU BABA YANGU MZAZI BRIG. GEN MOSES NNAUYE, HIVYO MAREHEMU KYARUZI NI SAWA NA BABA YANGU. NINA LAANI JUHUDI ZA KUTAKA KUTUMIA ZIARA YANGU KAGERA NA MSIBA WA MZEE WANGU KYARUZI KISIASA.

NAOMBA IJULIKANE KUWA KAGERA SIKWENDA RASMI KWA AJILI YA KUHANI MSIBA, ISIPOKUWA NILIKWENDA KWA SHUGHULI ZANGU ZA KICHAMA NA KWAKWELI NILIJUA MAZISHI YAMESHAFANYIKA YA DR. KYARUZI NIKIWA DAR NIKAMWOMBA KATIBU WA MKOA KUWA NIKIWA MISENYI NIENDE NYUMBANI KUWASALIMIA WAFIWA, AKANIAMBIA HAWAJAZIKA, NA ILIKUWA WAZIKE KESHO YAKE YA SIKU NILIYOENDA KAGERA, NIKAMWAMBIA BASI NITAPITA MSIBANI KUTOA POLE. NA NDIVYO NILIVYOFANYA , NILIPOFIKA TU NIKAENDA KUTOA POLE NDIO NIKAENDELEA NA SHUGHULI ZILIZONIPELEKA KAGERA.KAGERA SIKWENDA KUHANI MSIBA NILIKWENDA KWA SHUGHULI YA VIJANA, SI BUSARA HATA KIDOGO KULAUMU BILA KUULIZA HASA KWA MHUSIKA. NINASIKITISHWA NA UAMUZI WA MWANDISHI KUJIPA USEMAJI WA VIJANA KAGERA NA KUSHINDWA HATA KUWAULIZA WAHUSIKA MAANA WAPO KAGERA NAPE ALIFUATA NINI KAGERA.

LAKINI KUDHIHIRISHA NIA MBAYA YA MWANDISHI, MWANDISHI KAAMUA KUDANGANYA UMMA KUWA NILIKUWEPO KAGERA SIKU YA MAZISHI YA DR. KYARUZI, AMA KAAMUA KUKOLEZA KUSUDI LAKE BAYA AU HAJUI ALICHOKISEMA, UKWELI NI KWAMBA TAREHE 25/05/2012 NILIKWENDA KAGERA NA KURUDI DSM SIKU HIYOHIYO SASA HUYO NAPE WA TAREHE 26 NI YUPI? NI VIZURI KUPIMA TUHUMA KABLA YA KUZITOA.

NINA MSAMEHE BURE MWANDISHI NA ALIOSHIRIKIANA NAO.

yani kabisaaaaaa ukatoa pole ukaondoka msiba wa baba yako!!? Wakati kiongozi wako aliahirisha safari kisa msanii wa maigizo? Yani bora usinge andika hizi pumba
 
Shughuli za Chama ilibidi ziendelee regardless, mambo ya kuua ndege wawili...kwa hili namtetea Nape
 
Kweli bora angekaa kimya,
hapo kajiweka kati ya jiwe na nazi.
- hawakupanga kumpa heshima na kutuma ujumbe kumzika au alitumwa na akaacha kuzingatia alichotumwa?

So sad,
where is nape?
Ina maana ccm imeshamla pia na yeye? Amebaki makapi?
Anyway pls fuata ushauri wa kuacha kujibu post juu yako humu unazidi kulikoroga, haswa ukizingatia kuwa mpaka waandike, kuna tatizo lazima.
 
Huyu mpuuzi kasoma shule wapi wanapofundisha kuandika all caps?

Is this the best and brightest CCM can offer? Hata kabla sijaanza kusoma content format ishanichosha.
Wengine mbona tumesoma na kuelewa maudhui ya mtoa hoja!
 
Nape kaenda Bukoba , hawa vijana wa Tabora wao wanatoa tamko kwa mpango upi? mbona nashindwa kuelewa hapa?

Au walikuwa na wao wanataka umoja wao ufahamike?
 
sorry mimi sioni kichwa wala miguu ya post hii zaidi ya personal attack, kwenda kusalimia msiba au kuzika ni utashi wa watu na unatofautiana mahali na mahali. sasa kama mtu alifika hata kusalimia tu tatizo ni nini? hivi asingeenda kabisa ingekuwaje?
wewe Erick Kimasha na hao unaohamasisha mulienda kwenye huo msiba? au mnasubili kuwajadili na kuwakosoa wale walioenda?
 
Mzee wetu Dr. Kyaruzi katika maisha yake alipenda zaidi kuishi kama daktari na si kama mwanasiasa. Aliachana na siasa miaka mingi na hakutaka kupewa umaarufu wowote wa kisiasa katika shughuli zake zote. Sasa amefariki, kimeibuka kikundi cha watu ambao hata hawaishi Bukoba (eti jumuiya ya Vijana wa Bukoba wanaoishi Dar es Salaam) wanajifanya wanajali zaidi nafasi ya Dr. Kyaruzi kisiasa kuliko yeye mwenyewe. Hivi nyinyi Dr. Kyaruzi mnamjua kweli? Acheni kulazimisha umaarufu kwa kutumia majina ya watu.

By the Way, Hiki kikundi mbona ndio tunakisikia leo? Kuna shughuli gani nyingine ya maendeleo mnayoifanya?
 
Eriki Mwamezi Kimasha umeniudhi sana kumsaidia nape ku generate majibu toka kwenye hoja zako.

Umeeleza kwamba '' Kwa mpita njia ambaye amefahamishwa tukio na akahiari kufika msibani, akiendelea na shughuli zake haitakuwa ajabu na hakuna mtu mwenye akili timamu atamshangaa hata kidogo'' ona jibu la Nape ''KAGERA SIKWENDA KUHANI MSIBA NILIKWENDA KWA SHUGHULI YA VIJANA, SI BUSARA HATA KIDOGO KULAUMU BILA KUULIZA HASA KWA MHUSIKA'' hapa umefanya kumpiga chura teke ukifikiri unamuumiza kumbe unamrahisishia safari aendako. ungeacha akoroge mwenyewe kwani tunajua kichwa kile hakiwezi kuja na concrete propositions.

HATA HIVYO UMENIFURAHISHA HILI: ''Na kama alikuwa mpita njia tu, basi atujuze ili Jamii na historia ya Taifa imwandike rasmi Dr. Kyaruzi kama muasisi wa TAA na mzalendo aliyepigania uhuru wa Taifa lake ambaye hakuenziwa wakati wa uhai wake na hata mazishi yake hayakuhudhuriwa na mwakilishi wa Kitaifa.'' KUDHIHIRISHA KWAMBA TAIFA HALIKUMJALI MPENDWA WETU DR KYARUZI, NAPE AMEISHITAKI SERIKALI YAKE KWA NENO LAKE HILI:''
NAOMBA IJULIKANE KUWA KAGERA SIKWENDA RASMI KWA AJILI YA KUHANI MSIBA, ISIPOKUWA NILIKWENDA KWA SHUGHULI ZANGU ZA KICHAMA NA KWAKWELI NILIJUA MAZISHI YAMESHAFANYIKA YA DR. KYARUZI NIKIWA DAR NIKAMWOMBA KATIBU WA MKOA KUWA NIKIWA MISENYI NIENDE NYUMBANI KUWASALIMIA WAFIWA, AKANIAMBIA HAWAJAZIKA, NA ILIKUWA WAZIKE KESHO YAKE YA SIKU NILIYOENDA KAGERA, NIKAMWAMBIA BASI NITAPITA MSIBANI KUTOA POLE''.

HAPA NAPE ANADHIHIRISHA KWAMBA SAFARI YA BK (KWA WASHAIJA) HAIKUWA RASMI KWA MAOMBOLEZO BALI OPERESHENI MAALUM ALOISEMA. HIVYO SASA NI RUKSA KUANDIKA KATIKA HISTORIA YENU NENO MLILOLIOMBA KULIANDIKA AMBALO NI:

''Na kama alikuwa mpita njia tu, basi atujuze ili Jamii na historia ya Taifa imwandike rasmi Dr. Kyaruzi kama muasisi wa TAA na mzalendo aliyepigania uhuru wa Taifa lake ambaye hakuenziwa wakati wa uhai wake na hata mazishi yake hayakuhudhuriwa na mwakilishi wa Kitaifa.''

WAPENDWA NA HII NDO TZ YA LEO ISIYOENZI MAZURI YA WAASISI WETU. PITIA MAZURI YA JK ( sio huyu wenu wa sasa hivi, wa ukwereni) bali namaanisha JK (MWL) YULE WA MWITONGO KULE BUTIAMA mwenye nguvu katika mioyo ya watanzania hadi leo jinsi alivyopenda watu wapewe heshima kwa yale mazuri walofanya.

Kwa sasa ni bora kumuenzi muigizaji anayetoa burudani ya kuchekesha katika jamii (JAMII ISIYO HATA NA TV WALA RADIO) kwa wachache wenye tv nk, kuliko kumuenzi yule aliyelitumikia taifa na kuacha nyayo njema katika jamii. (waigizaji sijawatukana plizi ila ndo ukweli kwamba mnaigiza na kuelimisha jamii ya mjini tu ambako kuna umeme na tv nk kijijini hadi leo hawajui cha K the great wala nini) ila wanajua waitara alikuwa nani nk.

NAOMBA KUWASILISHA.
 
Kumbe operation aliyoifanya nape ya (vua gwanda, vua gwanda vaa uzalendo)imeanza kuleta matunda maana inawauma sana wana chadema.hongera sana nape .. Kwa mikakati endelevu ya kukijenga chama chetu.sisi vijana tuko pamoja nawe na ccm yetu.kidumu chama cha mapinduzi.
 
Nape, unapaswa kuwa precise and to the point. Ulivyojaribu kukanusha ulikuwa unaelekea kwenye usahihi lakini tuhuma za kisiasa ulizoongeza zimeonyesha ni namna gani usivyo makini. Kama mwandishi amekutuhumu kujijenga kisiasa, mbona na wewe unamtuhumu ili ujijenge kisiasa? Kichaa akikunyang'anya nguo ukamkimbiza ukiwa uchi, nani atakuwa kichaa zaidi?

Mwandishi wa vijana wa kagera kaandika hivi
"Kwa Tamko hili tunamtaka Nape Nnauye, Katibu Mwenezi wa CCM kama kweli alikuja kuwakilisha Taasisi yoyote katika msiba wa Dr. Kyaruzi, basi aiombe radhi jamii yetu kwa dharau kubwa aliyoonyesha katika msiba huu. Na kama alikuwa mpita njia tu, basi atujuze ili Jamii na historia ya Taifa imwandike rasmi Dr. Kyaruzi kama muasisi wa TAA na mzalendo aliyepigania uhuru wa Taifa lake ambaye hakuenziwa wakati wa uhai wake na hata mazishi yake hayakuhudhuriwa na mwakilishi wa Kitaifa."
Hivyo jibu lilikuwa rahisi,kuwa wewe hukuwakilisha taasisi yoyote ile.(period); then historia inajiandika!

Hongera sana nape kwa kuanzisha operation vua gwanda vua gwanda vaa uzalendo kwani kitendo cha wewe kufanya hiyo operation kimewauma sana wana chadema lakini kwa sisi waelewa tunajua umefanya jambo zuri kufika msibani na kuendelea na shughuli za chama.sisi vijana tuko makini na hadudanganyiki na mbwembwe za cdm zisizo na tija kwa jamii.
 
Wakati wa Kifo cha Chacha Wangwe ilisemekama mbowe alifanya sherehe kusherehekea hiyo ni jadi ya cdm?
 
Nimesikitishwa sana sana NA UPOTOSHAJI MKUBWA UNAENDELEA KATIKA SAFARI YANGU YA KWENDA KAGERA! KILICHONIUMA ZAIDI NI JINSI WATU WANAVYOTAKA KUTUMIA MSIBA KAMA NGAO YAO YA KUPOTOSHA UKWELI WA SWALA ZIMA LA SAFARI YANGU KAGERA. KWA WASIOJUA AU WALIOAMUA KUPOTOSHA UKWELI KWA MAKUSUDI, DR. KYARUZI ALIKUWA RAFIKI MKUBWA WA MAREHEMU BABA YANGU MZAZI BRIG. GEN MOSES NNAUYE, HIVYO MAREHEMU KYARUZI NI SAWA NA BABA YANGU. NINA LAANI JUHUDI ZA KUTAKA KUTUMIA ZIARA YANGU KAGERA NA MSIBA WA MZEE WANGU KYARUZI KISIASA.

NAOMBA IJULIKANE KUWA KAGERA SIKWENDA RASMI KWA AJILI YA KUHANI MSIBA, ISIPOKUWA NILIKWENDA KWA SHUGHULI ZANGU ZA KICHAMA NA KWAKWELI NILIJUA MAZISHI YAMESHAFANYIKA YA DR. KYARUZI NIKIWA DAR NIKAMWOMBA KATIBU WA MKOA KUWA NIKIWA MISENYI NIENDE NYUMBANI KUWASALIMIA WAFIWA, AKANIAMBIA HAWAJAZIKA, NA ILIKUWA WAZIKE KESHO YAKE YA SIKU NILIYOENDA KAGERA, NIKAMWAMBIA BASI NITAPITA MSIBANI KUTOA POLE. NA NDIVYO NILIVYOFANYA , NILIPOFIKA TU NIKAENDA KUTOA POLE NDIO NIKAENDELEA NA SHUGHULI ZILIZONIPELEKA KAGERA.KAGERA SIKWENDA KUHANI MSIBA NILIKWENDA KWA SHUGHULI YA VIJANA, SI BUSARA HATA KIDOGO KULAUMU BILA KUULIZA HASA KWA MHUSIKA. NINASIKITISHWA NA UAMUZI WA MWANDISHI KUJIPA USEMAJI WA VIJANA KAGERA NA KUSHINDWA HATA KUWAULIZA WAHUSIKA MAANA WAPO KAGERA NAPE ALIFUATA NINI KAGERA.

LAKINI KUDHIHIRISHA NIA MBAYA YA MWANDISHI, MWANDISHI KAAMUA KUDANGANYA UMMA KUWA NILIKUWEPO KAGERA SIKU YA MAZISHI YA DR. KYARUZI, AMA KAAMUA KUKOLEZA KUSUDI LAKE BAYA AU HAJUI ALICHOKISEMA, UKWELI NI KWAMBA TAREHE 25/05/2012 NILIKWENDA KAGERA NA KURUDI DSM SIKU HIYOHIYO SASA HUYO NAPE WA TAREHE 26 NI YUPI? NI VIZURI KUPIMA TUHUMA KABLA YA KUZITOA.

NINA MSAMEHE BURE MWANDISHI NA ALIOSHIRIKIANA NAO.

Ajua!Maneno Mengi make it short straight to the point!
 
Kimasha,
Hebu niambie wapi nilipokosea mimi , ni bora kwako ningeenda kwenye shughuli nisipate muda wa kutoa pole msibani kuliko nilivyopita msibani kutoa pole pamoja na kuwa nilikuwa naratiba nyingine??!! Usitake niamini ziara yangu Kagera imekuumiza kiasi cha kuanza ksasa kuzua mambo yasiyokuwepo! Kuna uongo mwingi wa ajabu kwenye kauli yenu, nimetoa kidogo sana lakini hata swala la KUFUNGUA MATAWI SIJUI MASHINA, SIJAFANYA POPOTE KAGERA KAZI HIYO, SASA KINACHOWAWEWESESHA NI NINI? ushauri wangu jipangeni upya kuleta tuhuma zenu, vinginevyo ni sawa na kutafuta matope kwenye simenti iliyodekiwa!

Nape
Kwa mtizamo wangu hapakuwepo na kosa katika ratiba ya safari yako. Ulifanya uungwana kufika kwenye msiba wa Dr. ambaye ni mtu wa karibu sana na familia yenu. Labda tatizo linalojitokeza ni uzito ulioweka katika shughuli hiyo ambayo kwanza aliye fariki ni miongoni mwa wasisi wa chama na pia ni mtu wa karibu sana kimahusiano.

Huyu bwana anaonyesha picha za kucheza golf soma alama za nyakati hapo kuna ujumbe anautuma kwako na kwa jamii
nzima. Kwa maelezo yako mimi napata picha kwamba hukuenda wala hukutumwa na chama kukiwakilisha bali tayari ulikuwa na safari yako ya kikazi. Ukisema hilo utatuwa mzigo unaotwishwa kwani itadhihilika kwamba Chama ndo hakikuona umuhimu wa mwasisi huyo.
 
Back
Top Bottom