Tamko la uvccm limelenga katika kuiingiza nchi kwenye mkenge

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Mwito uliotolewa na uvccm wakutaka suala la Dowans kurudiwa upya ni mpango uliosukwa na wahusika wakuu wa kashfa hiyo kwaajili ya kujisafisha. UVCCM ianatumika tu kama kipaza sauti kwaajili ya kuuza mpango huo kwa umma.
 
Ushahidi gani unao utaka; inajulikana tangu siku nyingi kambi la Lowassa limekuwa linapigania suala la Richmond lichunguzwe upya. Kikwazo kilikuwa ni Sitta. Sasa na UVCCM imeanza kuimba wimbo ule ule, na inasemekana kabla hawajatoa tamko lao, baadhi ya viongozi wa umoja huo walikutana na Lowasa
 
eeh kumbe cyajui endeleza kutujuza so likichungwa lowasa ataonekana ausiki tena
 
Mwito uliotolewa na uvccm wakutaka suala la Dowans kurudiwa upya ni mpango uliosukwa na wahusika wakuu wa kashfa hiyo kwaajili ya kujisafisha. UVCCM ianatumika tu kama kipaza sauti kwaajili ya kuuza mpango huo kwa umma.

these are immature politics, na kwa kuwa katika nchi hii hakuna dora wala mkubwa kila mtu anabwatuka ujinga wake kwa kuwa anajua hataulizwa. Unawezaje kurudia mjadara uliofungwa na bunge na baadae kuamriwa ma court. Huyu mbwabwajaji anataka kirudiwe nini?.
 
Inasadokika documents zilizowasilishwa na Kamati ya Mwakyembe mafisadi papa wameshazichakachua ndio maana wanalilia swala lirudi bungeni nia kuu ni Sita na mwakyembe waonekane ni wazushi na walipotosha bunge, Yote haya yanajidhihirisha kwenye tamko la ccm vijana iko kila sababu ya kuamini uvccm wamepangwa na mafisadi papa ili kuisafisha issue ya Dowans.
 
mkuu daudi, nijuavyo mimi docs muhimu zinazoweza kuwa interesting na muhimu kwa sita na mwakyembe niza richmond na si dowans. Au niko behind time?!, hata hivyo kuhusika kwa sita kwa maamuzi yaliyofanywa na bunge imekaaje?.
 
Back
Top Bottom