Tamko la umoja wa vijana-Chadema kuhusu mustakabali wa taifa

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
WanaJF
Huu ni wakati muafaka kwa umoja wa vijana wa chadema kutoa tamko kali juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuunga na kupinga baadhi ya hoja za UVCCM. Pia kukemea hali ya ubaguzi wa kidini ambayo ccm inaendeleza kutumia masheik/uislam (ambao wanachuki binafsi na ukristo, na ambao ni wakeretwa wa ccm kwa maslahi yao binafsi kama vile OIC, Mahakama ya Kadhi, vyeo vya bure, na upendeleo waliohaidiwa na serikali ya kislamu iliyopo madarakani) badala ya kuimarisha umoja wa kitaifa ambao ulijengwa na baba wa taifa kwa misingi ya serikali kutokua na dini, and kutenda haki sawa

Umoja wa vijana-Chadema mpo wapi????????????!
 
Chadema nadhani hawakurupuki...Hata BAVICHA nawashauri wasikurupuke...Watoe baadaye tamko lililosimama na lilienda studio!...Wajibu hoja kwa hoja, then watoe msimamo wao mkali, ndipo tutajua aliyeanza na anayemaliza ni yupi mjanja!...
Nitashangaa kama watakaa kimya dhidi ya umbeya wa UVCCM in the name of 'TAMKO' walilotapika jana!
 
I hope hata chadema wakijibu hawatatumia lugha za matusi kama walivyofanya hao uvccm. Wawajibu kwa hoja za hekima badala ya kulumbana nao.
 
kujibu wajibu, ila, wajibu kiuadilifu na ukomavu machoni mwa watanzania wanaowatarajia kushika dola 2015
 
Haina haja. Acha waendelee kutapika. CHADEMA tunaenda kwa mipango. Hatukurupuki. Naona na wao walitaka kuonekana magazetini baada ya habari za CHADEMA kutawala magazeti kwa muda mrefu!
 
Mimi nadhani ni wakati muafaka wa vijana wa chadema kujipanga vizuri kujibu hoja moja ya matusi dhidi ya dr slaa, na ili ijibiwe vizuri ni vema ikalinganishwa na maisha binafsi ya makamba na ualimu wake, jk, msekwa ili umma ujue maisha yao binafsi. Kuendelea kunyamanza wanaonekana wao ni wasafi ilihali wao ni wachafu saaana. Uvccm wametumwa na ccm kuyasema waliyosema sasa tunawataka chadema wawatume bavicha kuweka mboga zote hadharani. Kwa kuweka uozo wote huu hadaharani hawatarudia rudia tena badala yake watarudi kwenye hoja za msingi -katiba mpya, tume huru, uwajibikaji, ufisadi, huduma bora za jamii.
 
Tamko la UMOJA WA VIJANA WA CCM linaonyesha dhahiri kabisa chama kinekuwa kama ulimwengu wa Kambare..........
 
mabadiliko sasa umekosa mada?we unataka uwe uwanja wa majibishano.ama kweli huna jipya ni kweli vijana sasa wa kitanzania hatuna kitu zaidi ya majungu sasa ni kusubiri fulan aseme hiki na we ujibu.kama tutakuwa na watu wanamna hii basi tuhesabu hatuna kitu
 
CCM imegawanyika , inaelekea kufa, kila mtu ni msemaji sasa, na ina makundi ya watu (wa safi na mafisadi), na dini-kadhi. Hata lile tamko liloitwa la waislamu ni kundi la ccm mafisadi.

Sasa chama chenye tumaini, mwelekeo, malengo,na tegemeo kwa watanzania wote tunaweza kusema ni Chadema. Wakisema wana maanisha na tunaelewa na wanatenda. Tamko lao litatupa dira ya taifa na kusafisha uchafu wa uvcc, na ufisadi wa ccm
 
Nadhani hakuna hoja ya kujibu hapo! Ni wa kuwapuuza tu!

Mwanangu acha wawajibu tena kwa ukali na HEKIMA!

Maana hekima inatuambia;

'Umjibu mpumbavu kwa mujibu wa UPUMBAVU wake asije akaonekana ana HEKIMA machoni kwa watu'!
 
Mimi nadhani ni wakati muafaka wa vijana wa chadema kujipanga vizuri kujibu hoja moja ya matusi dhidi ya dr slaa, na ili ijibiwe vizuri ni vema ikalinganishwa na maisha binafsi ya makamba na ualimu wake, jk, msekwa ili umma ujue maisha yao binafsi. Kuendelea kunyamanza wanaonekana wao ni wasafi ilihali wao ni wachafu saaana. Uvccm wametumwa na ccm kuyasema waliyosema sasa tunawataka chadema wawatume bavicha kuweka mboga zote hadharani. Kwa kuweka uozo wote huu hadaharani hawatarudia rudia tena badala yake watarudi kwenye hoja za msingi -katiba mpya, tume huru, uwajibikaji, ufisadi, huduma bora za jamii.
Hakuna haja ya kujibishana matusi na hakuna jibu zuri la mtoa matusi kama kumpuuza, endapo BAVICHA watakuwa na muda waongelee hoja ya DOWANS na MIKOPO vyuo vikuu ingawa tayari CDM imeshayazungumzia hayo.
 
Wale vipaza sauti wa mafisadi wajibiwe pumba zao.Wakiachwa wataona wako sahihi.Wanataka kututoa kwenye hoja zetu za msingi.Najua wao wana mbio lakini hawajui njia......wengine tunaona vitu hata tumekaa lakini wao hata wakisimama hawaoni!Tamko au Tapiko?
 
uvccm hamna mtu mwenye imani nayo maana inaongozwa kwa ushawishi mkubwa wa ridhiwani kikwete, ambaye yupo karibu saana na mafisadi ndani ya ccm, e,g. RA etc. Tamko lao linatakiwa lijibiwe vizuri na vijana wa safi wa chadema, wenye hekima, na uzalendo na nchi hii. vijana wa dogo kama wale kumtukana Dr. slaa (mwenye heshima kubwa na umri mkubwa ktk jamii) aliyewazidi umri kiasi hicho ni kukosa heshima na maadili ktk jamii. Dr. slaa ni sawa na baba yao. vijana wa chadema pia wawakumbishe uvccm maadili na heshima kwa wakubwa zao ktk jamii
 
WanaJF
Huu ni wakati muafaka kwa umoja wa vijana wa chadema kutoa tamko kali juu ya mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuunga na kupinga baadhi ya hoja za UVCCM. Pia kukemea hali ya ubaguzi wa kidini ambayo ccm inaendeleza kutumia masheik/uislam (ambao wanachuki binafsi na ukristo, na ambao ni wakeretwa wa ccm kwa maslahi yao binafsi kama vile OIC, Mahakama ya Kadhi, vyeo vya bure, na upendeleo waliohaidiwa na serikali ya kislamu iliyopo madarakani) badala ya kuimarisha umoja wa kitaifa ambao ulijengwa na baba wa taifa kwa misingi ya serikali kutokua na dini, and kutenda haki sawa

Umoja wa vijana-Chadema mpo wapi????????????!

Tujiulize maswali haya:

Je ni busara kujibu kila lisemwalo?

Kwanini vijana wa CHADEMA ndiyo wajibu?

Au huu ndiyo utaratibu wetu sasa; mara Maskofu wamesema - Masheikh wanajibu, leo UVCCM wamesema - BAVICHA nao wajibu?????

TAFAKARI!
 
Kuna ulazima wa hawa uvccm kujibiwa, tena ikiwezekana hoja kwa hoja, mstari kwa mstari na neno kwa neno.

Huu uhuni ukiachwa upite hivi hivi kuna watu wataamini kwamba waliyoyasema ni kweli na huenda wakayaamini. Si watu wote wanaweza kufanya uchambuzi mathalani kama wewe unavyodhani kwakuwa umeona hakuna sababu ya kuwajibu.

Na bavicha ndio watu muafaka wa kuwajibu. Kwani arife ulitaka bawacha ndio iwajibu? hii ni style ya bandika bandua, jino kwa jino, mwaga ugali mwenzako amwage mboga; uvccm vs bavicha, uwt vs bawacha na ccm vs chadema!!
 
Hao UVCCM kinachowachanganya ni ukali wa maisha tunaoshudia kwa ari zaidi na kasi zaidi. Hali hii ikiendelea kwa miezi kama 6 hawatatoa tena matamko kuisaliti serikali ya JK bali watakuja CDM. Bali mmoja mmoja atajiunga na CDM. Kwa maneno mengine, hawa UVCCM ni wanachama watarajiwa wa CDM kwa siku za usoni
 
wajibiwe vema tena kwa maandishi sahihi, neno kwa neno, na wakemee kitendo cha uvccm/ccm kuingilia kazi ya viongozi wa dini kukemea dhambi na dhuluma ktk siasa za maji taka.
 
nimesoma tamko la uvccm vizuri hakuna sehemu waliyo tukana kabisa! Hivi kusema ukweli ni matusi? Au lililo wakera watu ni kuhusu dr slaa kuishi na kimada? Ila mambo mengine mi naona nae dr slaa anajitafutia kujishushia heshima kwanini aendelea huyo mwanamke ambae ni mke wa watu,atafute mke tena kigoli miaka 25 nakuendelea afunge nae ndoa safi kabisa na kuwaziba watu midomo na hii imekua nia aibu sana hasa sisi wanachama wa chadema kutetea jambo hili kwa kusema wasiingilie maisha binafsi lakini ukweli shujaa wetu aongee na akina mbowe wamtafutie mtoto mkali alie tulia na kuachana na hii habari ya kuishi na hawala kimada!
unapenda tigo au kawaida? Wakubalance mbele na tigo -si ukawashauri walioweka vimada kila kona ya nchi na kuvihudumia kwa kodi zetu? Wameshindwa kutumikia taifa kawaambie hao.
 
Back
Top Bottom