Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
Si angefanya hata proof reading kidogo. Maana tamko limeandikwa kama amekurupuka vile. Na kama alivyosema mdau mmoja humu,sidhani kama ni tamko la TPN as a whole.
Kama chama cha wasomi kinakuja na tamko la "kutwanga kokote" hivi,hakika wasomi wa nchi ni walamba miguu ya wakubwa. Ni hatari sana kwa wasomi kushindwa kusimama na kutetea haki na ukweli katika mgogoro kama huu.
Wasomi wanapofikia hatua ya kushindwa kukemea maovu waziwazi kwa sababu ya kutaka kufurahisha pande zote zinazolumbana,basi hapo hakuna wasomi. Bali kuna wachumia tumbo.
Mara kumi hata TPN ingekuja na tamko la kuitaka serikali ifanye marekebisho makubwa katika mfumo wa mishahara na mazingara ya kazi kwa watumishi wote wa serikali.
Sasa unataka daktari afanye kazi kwa bidii huku hakiwa hana vitendea kazi?