Watanzania wanajua na dunia inajua serikali haitachukua maamuzi magumu.
Mkuu wewe umesema kila kitu. Kwa lugha nyingine uwezekano wa maamuzi magumu kuchukuliwa ni 0.0000000009%
Watanzania wanajua na dunia inajua serikali haitachukua maamuzi magumu.
Tamko linatolewa kwa watanzania then linaandikwa kwa kiingereza haya ndio mambo ya ukoloni hapo wanawaridhisha wafadhili wao futa vi NGO vya ovyo ovyo kama SIKIKA
Kamati kazi yake ilikuwa kuikataa bajeti wakati wa Kamati, siyo kuikubali halafu waje kuipinga bungeni. Hapa ndipo harufu ya rushwa inaponuka. Na hasa ni usanii kupitisha bajeti kwenye Kamati kisha kuja kuikosoa kwenye Bunge
Now this is something I would like to see; why stop with Jairo? Why stop with Energy and Mining? Lets go all the way? But.. kwanini Wabunge wajichunguze wenyewe? We need a third party to run the investigations. Kama alichosema Jairo "kama ilivyokawaida" ni kweli basi tunataka kujua "how kawaida" haya mambo yalivyo.
Kweli mzee bora umesema, mi nilidhani labda english yangu shallow.Mkuu hebu jaribu kuipanga vizuri kidogo imeparaganyika mno
Tatizo hiyo kesi anaisimamia nani?Hawa wakuu wa idara na taasisi waliotoa hizo 50M @ nao wanafanywa nini?Hii kitu ni deeper than what we think.Kamati ya nishati ina kesi kubwa ya kujibu.
Kwanini kamati ilipitisha bajeti?Tatizo hiyo kesi anaisimamia nani?Hawa wakuu wa idara na taasisi waliotoa hizo 50M @ nao wanafanywa nini?
Nchi iko hatarini. Kama viongozi wanadiriki kuhonga ili bajeti ipite. Watz tujue tuko kwenye wakati mgumu. Rais wetu kweli analionaje hili na jana tu amekwee pipa kwenda sa. Pia gazeti la kenya lilivyosema kuhusu rais wetu - safari zake
naunga mkono hoja, bila kuingia porini kudai haki zetuwatanzania sasa wakati umefika...tujivue gamba la woga na ubinafsi,tuamue kwa dhati na kivitendo kuukataa huu uhuni unaofanywa na serikali ya ccm na wabunge wao!hili lililoibuliwa wizara ya nishati na madini ni ishara dhahiri ya uozo uliopo kwenye serikali ya jk,na ni sababu tosha ya kuiondoa madarakani.tusisubiri 2015,tuunganishe nguvu zetu sasa!
Kujiuzuru kwa utashi/hiari kwa mtumishi yeyote wa umma kwa kosa lolote ambalo ni kinyume na utaratibu/kanuni huwa ni ishara ya mtumishi huyo kukiri hadhalani udhaifu wake kiutendaji.MM nafikiri hapo ndipo pa kuanzia, then twende huko kwingine, hatuwezi kufumbia macho uozo na utumbo huu ati kwa sababu kuna mzoga mwingine unatusubiri.
Kujiuzuru kwa utashi/hiari kwa mtumishi yeyote wa umma kwa kosa lolote ambalo ni kinyume na utaratibu/kanuni huwa ni ishara ya mtumishi huyo kukiri hadhalani udhaifu wake kiutendaji. Waziri mkuu anakiri kwamba hana mamlaka ya kumwajibisha katibu mkuu ndugu Jairo, inawezakana ni kweli kwa mujibu wa katba yetu mbovu tuliyonayo.Now this is something I would like to see; why stop with Jairo? Why stop with Energy and Mining? Lets go all the way? But.. kwanini Wabunge wajichunguze wenyewe? We need a third party to run the investigations. Kama alichosema Jairo "kama ilivyokawaida" ni kweli basi tunataka kujua "how kawaida" haya mambo yalivyo.