Tamko la Shighela kwa wabunge wa CCM kuhusu sheria ya mifuko ya hifadhi za jamii

Sioni haja ya kumlaumu Shigela, kwanza yeye si mbunge na kama unazungumzia kupitisha marekebisho ya sheria basi hata hao akina Mnyika na Lissu na wale wote unaodhani mahiri walikuwa ndani ya bunge wakati mabadiliko ya sheria hii yakipitishwa.

Ukweli ni kwamba sheria hii imeudhi wengi na ni mbinu ya kuwaibia watanzania wanaojinyima ili kuweka akiba yao. Waruhusu withdrawals kwa michango iliyofanyika kabla ya kupitishwa sheria halafu watakaochangia baada ya hapo ndo wahusike na sheria hii waone kama watapata wanachama!
 
Back
Top Bottom