Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

Status
Not open for further replies.
Mengi sasa ni kundi moja na aliokuwa anawaita mafisadi wakina rostam kutuuza watanzania. Asante JF tumeujuwa ukweli wa huyu mzee anajifanya mzalendo kumbe mnafiki mkubwa.


Acheni uchawi mnataka watu wagombane milele? Hili ni pigo kwa UKAWA!
 
Leo nimekumbuka kidogo kipindi fulani mengi na rostam kutumia media kuzichapa , kila moja akimtuhumu mwenzake kwa ufisadi. Mengi akiwa fisadi nyangumi na rostam akiwa fisadi papa na watanzania tukiwa kama bahari au samaki wadogo ?

Nini kilikuwa nyuma ya pazia haswa mpaka ikafika hatua hiii ukiangalia vitu walivyofanya na hadhi walizokua nazo mpaka kufanya vile ni kipi haswa kilikua nyuma ya pazia?
 
Mzee hili taifa ni shamba la bibi yani kila mtu anakula kwa dizaini yake.
Wengine kuiba pembe za ndo wengine ufisadi
Rushwa kila kona
D.p world
Yani zipo style nyingi sana
 
Ni ngumu sana kuwa tahiji hapa Duniani bila Mkono wa Serikali,hao akina Elon musk,Bill get, dangote wameshikamana na Serikali sio kidogo.
1.Hivyo hivyo kwa Tanzania,Rostam,Lowassa & Kikwete wamefisadi sana Rasilimali za Nchi mpaka kufikia Kwenye huo utajiri.
2.Mo dewji amefanya umafia sana huko Kwenye sukari na mafuta ya kura
3.Mengi mwenyewe utajiri wake ni dili alilopata akiwa bosi Serekalini.
4.Bharesa utajiri wake kwa 95% umechangiwa na fedha zilizotoka Serekalini kutoka kwa akina Salim.

Kupitia Serekalini inaweza kukufanya utajiri au kukufanya masiki huwa ni swala la dakika chache tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom