Tamko la raisi juu ya yale ya Arusha ni lipi?

BAKINI NA LI NCHI LENU MI NAENDA KULA BATA, KWANZA NIMEMISS BURGER ZA MACDONALD

8E9U1452.JPG
 
ni uhuni wa serikali.ukosefu wa utu,haiwajali tena raia,imepoteza mwelekeo,inatumia nguvu hata pasipostahili,hivi huyo kikwete yupo mafichoni wapi?hayo yote ina maana anajifanya hayasikiii?damn serikali
yuko kwa mme wake rostam. Si mnajua kaolewa na rostam?
 
Yuko mapumzikoni, anakula maisha, alishachakachua, then anajirusha, wa TZ mtakufa na dhiki zenu!
Yeye huyoo anakula maraha
 
Hahahahaahah sijui alikuwa yuko kwenye fani yake hapo!


attachment.php
Hii picha imenichekesha mnoooo.. sijui alimpa nani kamera apige hii picha "Aisee XXXX .. hebu nipige nimekaa hapa Ulaya nikawaonyeshe washikaji home" .. hahahaaaa.... noma!
 
Alisoma Political economics na alipata pass tu. Academically the guy is empty, ndio maana hawezi kukaa meza moja na PhD holder kama Prof. Lipumba au Dr. Silaa wakajadili mambo ya maana yanayohusu nchi. Mwenzake Chinga alikuwa anakaa na viongozi wa vyama vya siasa na kubadilishana mawazo.

Good mkuu unaonekana upo deep sana.

Ukimaliza elimu ya jk tumwagie na elimu ya mwenyekiti wetu mpendwa mbowe na msaidizi wake, kisha tumwagie ya makamu wa rais aliepokwa ushindi na ccm, bila kusahau mnyika.
Vinginevyo tujadili tuachane na elimu za watu
 
HATUNA RAIS TUNAMWAKIRISHI WA MAFISADI.INASIKITISHA KWA HAYO MACHAFUKO YALIOTOKEA ARUSHA ,MUSOMA MWANZA N.K NA KUSABABISHA MAUAJI KUTOKA VYOMBO VYA USALAMA JK KIMYA NINI CHANZO CHA VURUGU HIZI!! KAMA SI YEYE NA NA CHAMA ccm KINACHOTAKA KUBAKI MADARAKANI NDIYO MAANA ATA TATIZO LA I.COAST HAKUNA TAARIFA YOYOTE KUTOKA KWA MKERWA KUHUSU KINACHOENDELEA.KWANI KINACHOKEA TANZANIA NI ZAIDI YA I.COAST RAIS DHAIFU MWENYE WASHAURI DHAHIFU NI BOMU LINALOWEZA KULIPUKA WAKATI WOWOTE MAFISADI NA AKINA ROSTAM WATAPANDA NEGE KUIKIMBIA NCHI WAKITUACHA TUNAUANA.JK INATOSHA INAFAA UJIONDOE MADARAKANI.MUNGU IBARIKI TANZANIAJ
ni uhuni wa serikali.ukosefu wa utu,haiwajali tena raia,imepoteza mwelekeo,inatumia nguvu hata pasipostahili,hivi huyo kikwete yupo mafichoni wapi?hayo yote ina maana anajifanya hayasikiii?damn serikali
 
Back
Top Bottom