Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
- Huyu gavana wa Chicago ni a joke, ambaye huwezi mfananisha na a classman kama Pinda, Waziri wtu mkuu amekubali kua alipitiwa na emotions na facts ni kwamba toka alipotoa kauli yake mpaka alipoomba radhi hakukuwa na athari zozote zilizokwiwsha tokea as the results ya maneno yake, as opposed na gavana wa Chicago, ambaye alileta mtafaruku mkubwa sana kwa State yake kutokana na maneno na matendo yake, na hata kufikishwa kwenye sheria.
- Ni ishu mbili ambazo hazifanani, Pinda ni mstaarbu mno kulinganisha na yule joke wa Chicago. Ameomba msamaha kwangu inatosha na ni mfano kwa viongozi wetu wengine, Mtikila ameshikwa ameomba hela kwa Rostam, lakini bado anajaribu kujifanya much know!
Well, FMEs, mkuu heshima zote, but I don't see eye to eye with you kwa sababu Pinda amerudiarudia kauli yake. Hana tofauti na Blago in this respect. Ameomba radhi (ingawa it is still debated whether ameomba radhi kweli au amejiumauma) baada ya kuona wabunge wamekuja juu na kuona hatari ya possible impeachment. But I am ready to let it go, as long as anaondoka na fundisho ya kuwa he should always think before he speaks or acts. And also he should owe up immediately siyo kuleta ubabe na kutuma spokesperson kutoa majibu yasiyoridhisha.
Also aword of caution: Unasema so far nobody has acted because of his word, je kesho mtu akiuwawa na wananchi wenye hasira na wao kusema walidhani alikuwa mwuaji wa maalbino, je Pinda atakuwa tayari kujiuzulu?
Mkuu FMES, hili si ishu la kuchukulia lightly!