Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
I'm the most open minded person... natofautiana na wewe mara nyingi unapozungumze with haste generalizations and condemnations. Huna balance unapokosoa kitu kwako kitu ni either x or z hakuna abcde... Na hata hicho ulichokisema tumeshanyoshea kidole mara kadhaa hapo nyuma ndiyo maana nilitaka nisikie Waziri Mkuu amesema nini kuliko kusoma kwenye magazeti tu watu wakaja kunilaani kuwa nataka ninunue habari ili iwe nini.
Huo hapo ndipo mfano ninaouzungumzia... tayari press imekuwa "yenu".. sasa kama ni yetu kwanini usiiache tu?
umeisoma ile taarifa mwanzoni na mwishoni nimeandika nini. Of course not.
kaisome tena...
Kwenye kumsagia Pinda kasema "sisi" nadhani akimaanisha Watanzania, himself included....
Kwenye condemnation ya press anasema "yenu" nadhani akimaanisha tena Watanzania, himself excluded.....
Mweeee.....this Kuhani is amazingly amazing!