Tamko la mwenyekiti chadema

Arumeru Mashariki tutashinda.


Tumewashika na wameshikika. Tumejiandaa kuhakikisha
kwamba tunatangazwa washindi. Tumejiandaa pia
kuhakikisha kwamba hakuna mkurugenzi wala msimamizi
wa uchaguzi atakayediriki (chini ya ulinzi wowote ule hata
uwe wa ndege za kivita) kumtangaza mgombea wa CCM
wakati ameshindwa.


Mimi ndiye Mwenyekiti wa chama wa mkoa huu na kwa
mamlaka natamka kwamba CCM wasijidanganye. Na nilishawaambia
kwamba Arumeru Mashariki si Igunga. Wakijaribu! Wategemee
Hosni Mbarak mwingine Tanzania kutokea Arusha! Wakijitangaza,
hakuna kiongozi wa kitaifa wala wa mkoa wala wa wilaya
atakayejiuzulu badala yake tutaongoza wote nguvu ya umma
mpaka kieleweke! M.M. Mwanakijiji njoo Arumeru Mashariki
ushuhudie, utaandika vizuri zaidi.



SOUCRCE:TANZANIA DAIMA

hakuna kitu apa,ni pumba tu hii
 
Sigma can you please stop distortion of the thread by posting irrelevant pictures.
 
Hizo ni ndoto za mchana, utawezaje kushinda wakati haujawekeza; tena umeshindwa kuwa na mtandao kila kata

NAJUA unachojivunia kuwa CCM(magamba)wamewekeza kutotengenisha dola na kazi zake, ukihusisha CCM kuiburuza dola ifanye kazi za chama dola.na pia kuwa na tume ya uchaguzi ya ccm ikitumia mkurugenzi wa halmashauri kama kada wa chama.lakini ni wapi ccm imekeza? kuwanyang'hanya wananchi ardhi yao walioachiwa na mababu zao na kuwapa walowezi kwa sheria na taratibu kandamizi kwa wanyonge?kuwa na miundo mbinu mibovu?kuwa na zahanati zisizo na dawa ?kuwa na shule zisizo kuwa na walimu wakutosha na weledi kitaaluma,?
CCM ni lazima iwajibike kidemokrasia(democratic accoutability) nini ccm imefanya kabla ya uchaguzi huu, acha ubabaishaji kama lusinde au nchemba mwizi wa wake za watu igunga
 
Back
Top Bottom