Tamko la mwenyekiti chadema

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Arumeru Mashariki tutashinda.


Tumewashika na wameshikika. Tumejiandaa kuhakikisha
kwamba tunatangazwa washindi. Tumejiandaa pia
kuhakikisha kwamba hakuna mkurugenzi wala msimamizi
wa uchaguzi atakayediriki (chini ya ulinzi wowote ule hata
uwe wa ndege za kivita) kumtangaza mgombea wa CCM
wakati ameshindwa.


Mimi ndiye Mwenyekiti wa chama wa mkoa huu na kwa
mamlaka natamka kwamba CCM wasijidanganye. Na nilishawaambia
kwamba Arumeru Mashariki si Igunga. Wakijaribu! Wategemee
Hosni Mbarak mwingine Tanzania kutokea Arusha! Wakijitangaza,
hakuna kiongozi wa kitaifa wala wa mkoa wala wa wilaya
atakayejiuzulu badala yake tutaongoza wote nguvu ya umma
mpaka kieleweke! M.M. Mwanakijiji njoo Arumeru Mashariki
ushuhudie, utaandika vizuri zaidi.



SOUCRCE:TANZANIA DAIMA
 
Hata mimi najua kwamba Arumeru ni ndogo sana na inashawishi kuipuuza, lakini wale wanaojua nguvu ya maji japo yamengenezwa kwa vichembechembe vodooooooogo ama namna sisimizi anaweza kumfisha tembo kamwe hawezi kupuuzia kitu chochote kile.
 
mwigamba is still loyal to the party regardless..kweli aliwahi kupita jeshini nimekubali,.jeshi lilipoteza mwanajeshi mwenye msimamo thabiti.
 
Huo ndiyo ukweli!
Wakimtangaza mtu ambaye hakushinda kihalali, mimi ni mmoja wa wanaoanza kuomba RIP zenu, maana mtanizika!
 
Nimelipenda Tamko kwasababu linaashiria
kuwa watu wamejipanga kupokea matokeo
ya halali na si matokeo ya kupikwa na TISS,DED.NK
 
PP0476.jpg
51SLAUgnPtL._BO2,204,203,200_PIsitb-sticker-arrow-click,TopRight,35,-76_AA300_SH20_OU01_.jpg
 
Hizo ni ndoto za mchana, utawezaje kushinda wakati haujawekeza; tena umeshindwa kuwa na mtandao kila kata
 
"Although I read a variety of newspapers from around the country, newspapers are only a poor shadow of reality; their information is important to a freedom fighter not because it reveals the truth, but because it discloses the biases and perceptions of both those who produce the paper and those who read it."
Long walk to freedom; Mandela
 
Kwa utafiti mdogo niliofanya vijana wengi hawajajiandikisha kupiga
kura na ndio ngome ya CDM. CCM wanaringia wamama na wazee ambao
wengi ndio wanakwenda kupiga kura. Mwito wangu kwa vijana wote
waliojiandikisha waende kupiga kula wasichoshwe na usumbufu ambao
huwa unapatikana vituoni. nina ukakika kati ya watu 100,000 na
ushee waliojiandika watakao hudhuria na kupiga kula hawatazidi 50
% ya waliojiandikisha kama tulivyoona kwenye chaguzi nyingi za ubunge
zilizopita. Na wengi ambao wamejiandikisha na kushindwa kutokea
kwenye vituo vya kupiga kura huwa ni vijana either shahada zao
wameuza au wanadharau.
 
Back
Top Bottom