Tamko la Mh Membe kumtaka rais wa Ivory Coast aachie kiti.Je Tanzania ni safi????

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,446
2,490
WanaJF naomba kuuliza kutokana na kauli Mh Membe alioitoa jana kuna uhalali wa Tanzania kumtaka Rais aliejiapisha wa Ivory Coast Mr Gabbo aondoke madarakani huku akijua wazi mshindi ni Watara na ile ishu ya Mzee wa kaya ya kuchakachua kura ktk majimbo mengi ili aonekane mshindi kuna tofauti yoyote hapo? si sawa na mmbwa mwitu kumbwekea mwezie huku wakijua wazi wote wameiba mwanakondoo wa mchungaji.naomba nawasilisha.
 
Kwa kuwa sote tunaamini aliyasema yote hayo kwa udhati kabisa bila ya unafiki wowote basi aheri akaanze kwa KUMSUKUMA NJE KABISA 'BAGBO WETU HUYU WA BONGO' ili huko nje wasije wakamzodoa bure Waziri wetu huyu asiye na kashfa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom