Tamko la Katao - Disclamer Tovuti ya Utumishi

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Ndugu zangu nimetembelea tovuti ya utumishi wa umma ambapo kuna sehemu ya wale watanzania walio nje ya nchi kujaza taarifa zao ambazo zitahifadhiwa katika database maalumu tazama hapa http://www.utumishi.go.tz/diaspora/adddiaspoA.php?bID=2 kama haifunguki moja kwa moja ingia www.utumishi.go.tz kisha angalia Linki ya Tanzanians Diaspora uko chini kushoto kwako , sasa mpaka sasa hivi kitu nilichoona ni suala la Tamko la Katao yaani Disclamer Kwasababu hiyo huduma iliyoanzishwa hapo ni ya kuchukuwa taarifa binafsi za watu basi kungetakiwa vitu kama hivyo ili kila anayejaza fomu hiyo na awe na taarifa za ziada hivyo ilivyoachwa hewani tu sio kwamba wengi hawatajitokeza tu ni kwamba wengi wanatakiwa wahakikishiwe usalama wa taarifa zao na jinsi zinavyoweza kutumika huko mbeleni .
 
Back
Top Bottom