Tamko la Kamati Kuu ya Chadema: Jan 31 Jan, 2011

Bado hujakidhi haja yetu tueleze kwa kina watu tuandae zetu maji ya kukabiliana na mabomu ya machozi
 
Sasa na cuf wasipowaunga mkono chadema kusiwepo namalalamiko,kila mtu kivyake sasa,kila muosha huoshwa.
 
Sasa na cuf wasipowaunga mkono chadema kusiwepo namalalamiko,kila mtu kivyake sasa,kila muosha huoshwa.

nani alalamike ..... CDM wana viti vingapi bara against KAFU... na tunapokwenda huko ni balaa
 
ache waige kwani wao kuwa hawana cha kuanzisha, wakati mwingine huiga makanisani, wakati mwingine CUF etc. Funny.
 
Mtoa habari, unaonaje ukiinyumbulisha habari yako ili tupate undani wake. Kwa jinsi ilivyo, tunapata taabu kidogo kujua mambo mengi kuhusiana na maandamano hayo. Isije ikawa hata habari yenyewe umebuni tu.
 
jamani ni kwa mjibu wa habari itv na pia mniwie radhi kwa tarehe niliyo andika hapo ni tarehe 24
 
Naunga mkono kwa % zote maana kikatiba ZNZ ni sehemu ya TZ na kwa vile CUF wapo serikalini kule ZNZ basi kumewaondelea sifa moja kwa moja ya kuwa WAPINZANI;Hawa si wapinzani bali ni washika dola!

CHADEMA nawasihi waiteni na kuwashirikisha NCCR,TLP na UDP!
 
Chinjia baharini wana CCM B hao though wanajiita KAFU... Wanaleta usanii kwenye jumba la sanaa.
 
Hivi malengo ya CUF na sera yake ilikuwa kuungana na CCM?!! sielewi kabisa kilichofanya waungane; huo ni mfumo wa kuuwa vyama vingi maana lengo na umuhimu wa vyama vingi upo wapi kama mtu akikushinda unaunganae!!? kuunda serikali, Maalimu ametia aibu sana hakupaswa kuingia katika serikali ya CCM kama kashindwa uchaguzi.
 
najua ndg zangu wa CUF watapatwa baridi maana hapa linalofikirika sasa ni suala la nani anavuta umati zaidi na si Dowans yenyewe! BTW kuna ka ukweli ndani yake maana nina uhakika atakayevuta nyomi ndiye atadhibitisha ndo Kingmaker sasa! Uzuri CUF ndio wanaanza mandamano! uzuri TV zipo hatuandikii mate siku hizi....
 
Tangu lini Demu anaolewa rasmi na kuwekwa unyumba na NJEMBA mbili???

CUF mkitaka kuolewa na kijana mtanashati CDM mpeni Taraka Sugar Daddy wenu CCM na pochi lake.

Hii ya kutaka kufaini kuni kila mahali si uungwana ati
 
hakuna mpya cuf tayari wameshafunga ndoa na ccm, hawawezi kuleta unafiki na kutaka ndoa nyingine na chadema.
 
CUF na ccm ni ngumu kuwatenganisha bora kuangalia kwingine!

Ninachofahamu mimi ni kuwa CUf ni jumuia mojawapo ktk jumuia za CCM. Yani ukiacha jumuia ya vijana UVCCM, jumuia ya wanawake, na jumuia ya wazazi, kuna jumuiya nyingine inaitwa Civic united Front#CUF. So chadema wanashirikiana
na vyama cha upinzani, na si idara za ccm.
 
Back
Top Bottom