Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,750
sidhani kama unaweza kuepuka makundi au wasaliti katika umoja wowote duniani.
hao madon unaowasema hawakuunga mkono mgomo ni kina nani?unakumbuka kamati iliyoenda kumuona rais ilijumuisha watu gani?nitakusaidia mmoja ....ni profesa wa magonjwa ya njia ya mkojo anaitwa Yongolo.nitajie waliobaki mkuu.
haturuhusiwi kuandika majina ya watu humu ... mkuu trust me kwenye mgomo wenu kuna watu walikuwa wakishiriki ilimradi tu msiwaone wasaliti lakini mioyoni hamkuanao walikuwa wakiwaza zaidi hatima ya kazi zao za ziada mbali na kutibu ... jaribu kuchunguza mwenyewe ushiriki wa wakuu wa department, miradi, DMO, RMO na wale wenye majina makubwa mjini