TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
Hapo kwenye red, naomba kwa anayejua, anifahamishe. Hiki ni kiswahili? Na nini maana yake?
Ni kiarabu na maana yake kwa kiswahili ni "amani iwe juu yako/yenu"(peace be upon you)

:wink::wink::wink:Hata makafiri kwani wamezuiwa kutoa tamko?[/QUOTE]QUOTE=nngu007;4691671]
Ina Maana BUBUBU ni Waislamu tupu ? Kwanini hata Wasianze na Ndugu Waislamu halafu Wananchi wote
kwa Ujumla!!! Kweli huu sio UBAGUZI ?
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT...

Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?
:wink::wink::wink:Hata makafiri kwani wamezuiwa kutoa tamko?
Ina Maana BUBUBU ni Waislamu tupu ? Kwanini hata Wasianze na Ndugu Waislamu halafu Wananchi wote
kwa Ujumla!!! Kweli huu sio UBAGUZI ?
* LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT...
Mkuu, natumia hii * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.. kama signature yangu.......natumaini huto mind..[/QUOTE]
Kwanini Unatumia neno Makafiri (Unbelievers) ? Hiyo ndiyo chuki kila mtu anamuamini MUNGU
Ndio hapo hata Sunni Muslims wanawaita Wahabi Muslims Makafiri; Hiyo ni chuki... kwasababu wewe ni
SUNNI? Angalia Sunni pia ni kwanini wanawaita Shiite kuwa hadi leo ndio wamesababisha vifo vya Sahaba na
Ahle Bayt? ... Inaonyesha wewe ni SUNNI
Sasa hapo ndio nashangaa Makafiri pia wapo ndani ya Waislamu tofauti tu kwa MADHEHEBU ?
Hii ni kuonyesha JINSI ulivyo FANATIC Wakati Allah's is a messenger wa Amaini na Upendo
Allah's (Peace be upon him).
Hakika sijawahi kuona Muislam aliye sincere, objective, transparent, loving, caring, na muungwana kama Mammamia. Wenzako wako kama Sheikh Ponda Mali Kifo chaja! Wanatumia falsafa ya "Nguvu kwanza Akili baadaye". Laiti kama Waislam wote wangekuwa na maono na upeo kama wako, hakika hata Dini yenu hiyo Tukufu Ingekuwa na thawabu zaidi mbele za Mwenyezi Mungu.Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?
Kama kweli wewe ni muisilamu basi naona kama umechanganya mambo hapa.Ulianza vizuuri kuhusu matamko ya jazba ambayo hata mimi kidogo imenifanya nijisikie tofauti.Lakini hapa unaonyesha ujuzi wako wa kuwafahamu mitume ni tofauti na uisilamu unavowatambua.Kwani ktk uisilamu unawatambua mitume hao kama waisilamu na sio kutoka ktk dini tofauti na ndio maana sisi waisilamu tunaikubali Quraan,Tourati,Injili na Zaburi.Ingekuwa mitume hawa hawakutambulika kiisilamu tusingevipokea vitabu hivi na hivo tungebakia na kimoja tu ambayo ni Quraan.All in all huwa sipendi mtu kukashifu dini za watu na nadhani wanasiasa wetu ndio wanasababisha udini ktk nchi hii.

Sasa kwanini wasitumie tu kiswahili "amani iwe juu yako/yenu" badala ya "Assalaamu alaykum" ?
Naomba kujua maana ya "warahmatullaah"
Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?
Mimi hapa ndio huwa siwafahamu [baadhi ya] Waislamu wenzangu. Kwa mafundisho niliyopewa. moja ya imani za Uislamu ni kuwatambua na kuwaheshimu mitume wote wa Mwenyezi Mungu. Kuwatambua na kuwaheshimu ni pamoja na uwepo wao na dini zao, katika hao ni Mitume waliopewa vitabu na dini zao - "Tunamuamini Mwenyezi Mungu, na katika yale yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim, Ismail, Isaka, Yakub, na makabila, na [tunaamini] katika (Vitabu waliyopewa) Musa, Yesu, na manabii, kutoka kwa Mola wao. Hatutafautishi baina ya mmoja na mwingine miongoni mwao ." [Surah 3:84]. Sasa kusema kuwa Mtume Muhammad ameletwa kuzishinda dini nyengine, dini za hao hao ambao imani yetu inatulazimisha kuwatambua na kuwaheshimu, lakini sisi tunageuka na kuwaita makafiri na kutaka kulazimisha imani yetu juu ya wengine. Iko wapi amani na kuvumiliana ambavyo ndio maana na msingi wa Uislamu?
utanzania hautakufikisha mbinguni...