Tamko la Ikulu kuhusu Open Government Patnership (OGP)

Kuna Tamko limetolewa na Ikulu hivi punde kuhusu mambo ya Open Government Partnership

sasa mbona hawasemi kitu kuhusu hili kama kweli wako serious?


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170168-wasiotaka-ikulu-iwe-na-website-hawa-hapa.html


sasa nahisi kuna wafadhili wameuliza kuhusu hili suala la open govt sasa Ikulu wamekurupuka kutoa tangazo Michuzi

kwa kifupu Michuzi blog ndio website rasmi ya Ikulu
Mkuu una maan shghuli hiyo imebinafsishwa? Blog ya mtu inakuwa ndiyo blog ya ofisi namba moja ya nchi?
 
quote-today-s-scientists-have-substituted-mathematics-for-experiments-and-they-wander-off-nikola-tesla-29-23-43.jpg
 
Mbona mnafufua thread za Zamani?
Open government initiatives zilikuwa enzi za JK, Utawala wa sasa wanataka mnunue taarifa fulani fulani ( hii ni kwa mujibu wa Muswada wa haki ya kupata habari wa Mwakyembe)
 
Back
Top Bottom