Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

ivi slaah! lema mnyika! nikama nani katika nchii hiii! mpaka watishiwe kuuwawa? hawa adhari na wanatishia kitu gani nchi hii! mbona ni watoto wadogo sana katika hii nchi! kuna watu wanaoweza kutishia hii nchi na kuna watu ni hatari wakuweza kuadhiri hii nchi! sio hao watoto wadogo! bali wanapoteza muelekeo tu hawa wanasiasa! mtu wa slaa kwenye usalama wa taifa soon atatoka madarakani sasa izi ni njama za kumchafua kaimu kwa kuwa sio mwana siasa mwenzao! waachwe kuawa wakina edward m ambao sasa ni wako BBc ambao walitishia hii nchi itakuwa ha watoto jamani! unafki tu huu! afu ni woga
Ulimboka na Slaa nani mtoto kama ndio unalinganisha umri wewe hujui unchokiandika. mama muuza Pleaseeeeeee!!!!!!! muongezee chupa ya nne ya gongo ili povu limtoke zaidi
 
Hivi serikali hii kweli imefikia hatua ya kuwa njiga hivi!!

Haiaminiki!!!

Kama wanajiami waanzishe uchunguzi huru.....

Lakini kwa ngonjera hizi ....!! tuna mashaka nao mno!!

Kuna mabo mengi yanaoonyesha UWAT kuwawinda CDM....na yako waazi kabisa hata maathira wanajua!!

.....
 
ivi slaah! lema mnyika! nikama nani katika nchii hiii! mpaka watishiwe kuuwawa? hawa adhari na wanatishia kitu gani nchi hii! mbona ni watoto wadogo sana katika hii nchi! kuna watu wanaoweza kutishia hii nchi na kuna watu ni hatari wakuweza kuadhiri hii nchi! sio hao watoto wadogo! bali wanapoteza muelekeo tu hawa wanasiasa! mtu wa slaa kwenye usalama wa taifa soon atatoka madarakani sasa izi ni njama za kumchafua kaimu kwa kuwa sio mwana siasa mwenzao! waachwe kuawa wakina edward m ambao sasa ni wako BBc ambao walitishia hii nchi itakuwa ha watoto jamani! unafki tu huu! afu ni woga

Hongera kwa kazi hii, maana umejiunga rasmi ili utetee uharamia wenu. wauwaji wakubwa nyie.
 
Ulimboka na Slaa nani mtoto kama ndio unalinganisha umri wewe hujui unchokiandika. mama muuza Pleaseeeeeee!!!!!!! muongezee chupa ya nne ya gongo ili povu limtoke zaidi

upeo wako wakufikiria neno utoto ndo ulipoishia hapo! boga wewe!
 
Nani anaweza kukiri kuwa wanampango wa kuwaua? Kwasasa watakuwa wanaumia kwasababu wamegundulika!
 
Tamko toka ikulu

Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

sawa sidhani kama mauaji yanataka kufanywa kila mtu anaweza kushirikishwa hata kama ni mtu aliyeko kwenye system
naamini ndani ya Idara ya ya Usalama wa Taifa kuna vitengo mbalimbali kila idara na kazi zake ingawa kuna baadhi wako mult-purpose wako Idara zaidi ya moja

sasa basi sio kila mwanausalama au wakuu wa serikali wote wanaweza kuujua au kuufahamu na kushiriki uuaji huo

inawezekana Mh mizengo pinda asijuwe nini kilikua kinaratibiwa au Mh Mchimbi na Mkuchika hata kama
wanaongoza Idara nyeti kunauwezekano Mkubwa sana
wa Hata Katibu Mkuu Kiongozi Sefue
inawezekana akawa hajuwi anachokisema jamani
 
tamko toka ikulu

katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

hapo kwenye neno tishio inamaana gani kwao, nahisi wanamaanisha tishio kwa chama cha mapinduzi
 
Ahaaaaaaaaaaa, kuuuumbeeee ndio sababu yote kwa Dr Ulimboka mkamfanyia vile!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa mbona hamtuelezi hayo yanayoendelea yanaendelea wapi na nini uhusika wa Dr Ulimboka mle?????????

kwa upeo wako wa kufiria na upeo wako wa ujuaji! unaweza ukasema sio! ila utakapojua kipi kinaendelea ndo utajua je alikuwa hatari au laaah
 
Mara nyingi ukiona Ikuku inakanusha tuhuma haraka haraka ujue kuna ukweli ndani ya hiyo tuhuma. Hahh!!!! binafsi nimechoshwa na uongozi huu dhaifu.
 
mi ninaamini kuna maamuzi mengine usalama wa taifa wanajiamulia hata boss wao rais anakua hajui
 
upeo wako wakufikiria neno utoto ndo ulipoishia hapo! boga wewe!

Join Date : 6th July 2012
Posts : 21
Rep Power : 305
Likes Received:2
Likes Given:19

Kwi! kwi! Kwi! unasherekea post yako ya 21 kwa matusi na propaganda za kizamani
 
uzuri wa TISS ni kwamba hata humondani kuna watu ambao hawapendezewi kabisa na mambo yanavtopelekwa hasa hasa katika uratibu na utendayi kazi wa viongozi wa serikali.wengi wa vijana wasomi wa TISS hawapendi jinsi siasa za tanzania zinavtopelekwa especially na viongozi wa serikali ya CCM.
 
Huyu SAFUE ni wale wale akili zake kama za LUHANJO ameanza kuniboa mapema hivi nani kawaambia serikali ni kukanusha kila kitu mbona wananchi tushaamini yote yaliyosemwa na CDM, SEFUE ni bora angekanusha kwa mke wake chumbani ili asionekane muuhaji akalinda ndoa yake, lakini uku mtaani hii serikali tunaiona haina tofauti na serikali ya NDULI IDDI AMIN DADA.
 
Tamko toka ikulu

Katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

Katika mauaji yote ambayo serikali imetuhumiwa haijawahi kukiri uzembe au kuwawajibisha watuhumiwa, kwa mfano:
  1. Julius Nyerere (BWM)
  2. Abed Karume (Nyrr)
  3. Kighoma Malima (Jk)
  4. Prof. Mwaikusa (Jk)
  5. Imran Kombe (BWM)
  6. Oscar Kambona (Nyrr)
  7. Horace Kolimba (BWM)
  8. Msafiri Mbwambwo (Jk)
  9. ..............................
  10. ................................
Kati hawa wote ikulu haijawahi kukiri kuhusika
 
Back
Top Bottom