Tamko la CUF Juu ya ajali ya MV Spice

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
Great thinkers

wakati ajali ya mlipuko wa mabomu ilipotokea mwenyekit wa CUF prof. Ibrahim Lipumba alitoa tamko kali akilaani uzembe wa watendaji katika jeshi, wizara ya ulizi na akataka waziri wa ulinzi bw. Husein Mwinyi ajiuzuru au awajibishwe. wazalendo tunaopenda uwajibikaji tulimuunga mkono lakini magamba hawakutusikiliza na wakaliona tukio kama la kawaida.

Nimesikitishwa sana na kitendo cha CUF kupitia viongozi wao wa ngazi ya juu kukaa kimya juu ya tukio la ajali ya MV spice iliyopotea na ndugu, jamaa na marafiki wetu wengi. Awali nilidhani walikuwa busy na uchaguzi wa igunga lakini uchaguzi huo umekwisha na hakuna dalili za kutolewa kwa tamko la kulaani uzembe uliopelekea ajali

Je ni kwa sababu waziri anayehusika na mawasiliano visiwani anatokea CUF?

Kama tamko la uzembe halijatolewa kwa sabababu waziri husika ni wa kwao basi CUF ni wanafiki?
 
Waziri husika anatoka CUF na MMILIKI wa meli ni WAZIRI WA ULINZI WA HUKU BARA(HUSAN MWINYI) PMJ NA MAMA YK YULE ALIYEWAH KUKAMATWA NA KONTENA LA MADAWA YA KULEVYA ENZI ZILEE WKT MTALAKA WK AKIWA AMIRI JESHI MKUU WA TZ, pima hp uniambie km kweli cuf watafurukuta?
 
hIvi mkÉ anaweza kumfokea mume wake?

Hilo la kufokea linawezekana, kimbembe ni je mume akiwa na uhakika mke hawezi kufanya lolote kwa sababu future yake anamtegemea mume, si ni kama anatwanga maji tu au kumpigia Mbuzi gitaa!
 
Kweli nijambo la kushangaza sana kwa wao cuf kukaa kimya wakati watu zaidi ya 2000 wamekufa kizembe ambao wote niwapiga kura wa cuf,inawezekana wamekaa kimya kwa sababu waziri anaehusika na wizara hiyo ni wa cuf,je huo ndio utawala bora?je huo ndio utendaji wa cuf?je tungewapa wakaongoza nchi ingekuaje?wanalindana bado wamekaribishwa sebleni tu,je wakiingia chumbani si ndio watalala fofofo,ama kweli umzaniae ndie kumbe sie,hao waliokufa ktk meli wote ni wapigakura wa cuf,je maalim seif tukuweke ktk kundi gani ktk hili?umakamu wa rais tu umewasahau watu wako waliokufikisha hapo ulipo,je ukiwa rais itakuaje?? Mnafedhehesha nakutia hasira sana nyie cuf kukaa kimya ktk janga hili.
 
Mkulu wa Kaya alisema DNA technology (genetic fingerprints) ingetumika kutambua wahanga wa meli ya MV Spice Islanders, sina uhakika kama aliropoka ama kweli ilitumika. Watanzania kwa kusahau jamaa anapeta tu na uwongo wake
 
Huku bara kidogo inawezekana kwa Lipumba kutoa maneno makali dhidi ya Serikali, lakini kule Zenji haiwezekani kwakuwa CUF ndo serikali yenyewe. Wanakubaliana tu kufanyia hitma Unguja wakati msiba mkubwa ulikuwa Pemba. Ni juu wa wazenji kutafakari vizuri mambo haya.
 
Back
Top Bottom