Jamani Kuulimboka kuna tisha.
kweli kabisa,ni vyema sana kwa watumishi wa umma kutumia zaidi majadiliano ya mezani kudai haki zetu,
Jamani Kuulimboka kuna tisha.
Kumbuka pia kipato cha walimu ni kidogo sna na juzi walitishiwa hawatalipwa mishahara kama wataendelea na mgomo....lakini kama wangekuwa na kipato kizuri wakawa na akiba angalau miezi mitatu wangeliendeleza kwasasa acha waendelee na mgomo baridi mpaka mwaka 2015. waakuwa na mchango mkubwa sana kuiondoa serikali hii ya kibabe....
Walimu waliunga mkono mgomo huu lakini viongozi wao wamewaangusha, tena wamechangia sana kufanya mgomo ushindwa. Siamini kama viongozi wa cww hawakujua taratibu za kufuata au walishirikiana na serikali kukiuka kanuni makusudi ili mgomo ushindwa. Si ajabu JK alivyoongelea suala lao juzi alikuwa mpole vile?
Je, walimu bado mna imani na viongozi wa ccw katika kutetea maslahi yaenu? Mkoba anasema mgomo umefanikiwa; je, walimu wamepata yale waliyokuwa wanapigania au mmeishia kuwakosesha masomo watoto wetu?
Mkoba inabidi ataueleze iwapo walimu waendelee kumwamini kuandaa mgomo mwingine!
Ndo hivyo! taifa la wananchi kama kondoo husababisha serikali kuwa umbwa mwitu! ni principleDuuuuuuh! Kweli uoga ni kitu kibaya!
That`s what expected, For now retreat is the only solution, ili tujipange upya na shule zikifunguliwa tunarudi kudai chetu hadi kielewekeHatuwezi kukubali katika familia moja ya baba na mama mmoja watoto wanapata distingushed service lazima kitaeleweka
TUNAFIKIRI PART 1 IMESHASOMEKA LENGO LILIKUWA NI KUWA ALERT KUWA SISI WALIMU TUKIAMUA TUTANAWEZA NA HAKUNA WA KUTUZUIA SASA BASI HII PART 2 ITAKAYOFIKA BAADA YA KUFUNGUA SHULE HAKUNA KINACHOWEZA KUTUSTOPISHA KWANI HATA HUKO WANAKOTEGEMEA KUKIMBILIA TUTAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
MY FELLOW TEACHERS THIS IS JUST A BEGNING THE REALLY PICTURE IS SOON TO COME NO BODY CAN STOP ITBIG UP MUKOBA WE WILL FIGHT TOGETHER UNTIL THEN
Nimeipenda hii. Hawana dili hawa waalimu. Kwanza ni watu ambao serikali haiwapendi kabisa na inaweza kuwafukuza any time!!
tunarudi kwasababu tumelazimishwa na mahakama lakini msitegemee tutafundisha... subirini division Omari... tu
At least they have tried. A message has been delivered to the masses ready for 2015 election. Heri mwoga anayejaribu kuliko shujaa aliye nyuma ya screen ya computerDuuuuuuh! Kweli uoga ni kitu kibaya!