Tamko la CHADEMA/waziri kivuli juu ya mgomo wa madaktari

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?

Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao?

Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo limechukua sura mpya?

Je CHADEMA wana solutions zipi za muda mrefu na muda mfupi juu ya hili suala?
 
Mbona msimamo wa CHADEMA ulishakuwa wazi siku nyingi juu ya hili (tamko lilitolewa wakati wa mgomo wa awali). AU magamba mnataka tamko jipya la CHADEMA ili mpate sababu, ooh! mgomo unachochewa na wanasiasa!!!.
 
Ina maana nyie maghamba mmelikoroga kwa madaktari halafu saizi mnajifanya kutafuta msaada wa matamko CDM!! Kwa hiyo tamko ndio litamuondoa waziri madarakani au? Mmelikoroga wenyewe na serikali yenu goigoi mlinywe wenyewe. Likiwashinda nguvu ya umma itawajia
 
Hivi Waziri wa afya na naibu wake wakiondolewa na waziri kivuli naye si anatakiwa kuondolewa maana naye alishindwa kuisimamia vizuri wizara au inakuwaje?
 
ddm itoe tmko kwani madaktari wameomba na tamko kutoka cdm?timizeni madai ya madaktari msitake kila kitu kukiconnect na cdm,poor ma.gamba
 
Chadema siku zote wao huwa wako up to date ma maendeleo on the ground

tunajiuliza je mbona twitter zao ziko kimya juu ya huu mkutano wa leo?
 
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?

Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao?

Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo limechukua sura mpya?

Je CHADEMA wana solutions zipi za muda mrefu na muda mfupi juu ya hili suala?

Achieni nchi Chadema watatue matatizo ya Watanzania, siyo kuomba matamko kutoka CDM ili mpate vibuti/nondo za kujibia mitihani mnayopewa na madaktari. Poleni tumeshawashtukia.
 
Dah! Yani magamba kweli mmechoka bkoz badala ya kumkazania baba mwanaasha atoe tamko eti mnaikimbilia CDM itoe tamko, nyie wenyewe kwa madaktari mlitaka chai sasa mbona mnalalamika mnaungua? Magamba kama mlilikoroga basi mtalinywa wenyewe.
 
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?

Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao?

Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo limechukua sura mpya?

Je CHADEMA wana solutions zipi za muda mrefu na muda mfupi juu ya hili suala?

kwani kuna mkono wa chadema katika sakata la madaktari na serikali?
 
matamko ya chadema yamekuwa mengi sana mengine hata hatuyakumbuki kama yalizaa matunda
 
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?

Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao?

Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo limechukua sura mpya?

Je CHADEMA wana solutions zipi za muda mrefu na muda mfupi juu ya hili suala?

Wale waliokwenye ndoa umewaliza CCM na CUF?
 
kweli kazi imewashnda watani zetu,kwahiyo tusipotoa tamko nyie mnakaa kimya.vema ni kila mmoja kutimiza wajibu wake kwa majukum aliyopewa na si kufanya mtakacho ccm.
 
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari?

Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais ultimatum juu ya suala la maslahi yao?

Je CHADEMA wako upande upi juu ya hili sakata ambalo limechukua sura mpya?

Je CHADEMA wana solutions zipi za muda mrefu na muda mfupi juu ya hili suala?

we vip baada ya kuuliza msimamo wa jk kwani tangu uanze hajatoa tamko na madai yao ya msingi ye ndo mwenye last say then unauliza tamko la chadema hata cdm hawapend viongoz wabov km hawa.
 
sasa mna justify kimya cha chama mbadala juu ya hili?

mbona hatumwoni wala kumsikia wazirei kivuli wa afya au naye yuko upande wa magamba?
 
Back
Top Bottom