Tamko la Chadema Mbeya

Kijallo

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
409
61
Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,
 
Tumekusoma issue muhimu kwa sasa nikatiba achana na shitambala ni prossy wa siasa.
 
Huyo shitambala kweli alikuwa nukusi kwa Chadema, amehamia ccm chini ya saa 24 tayari mitafaruku inatokea huko. His move is probably the greatest favor he could do to Chadema!
 
Shitambala kitu gani bwana. Issue hapa ni Katiba, huyo Matambara ni tone kwenye bahari ya hindi. Let him go wherever he likes. He is free. After all alishaanza kupoteza credibility. Mwache akajichanganye na wa saizi yake.

Labda wamemwandalia nafasi ya Makamba, let's wait and see. Time will tell
 
Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,

Good! watu makini sikuzote huwa wanajibu hivi!

Dr. Kitila Mkumbo chukua desa hilo la Makata
 
Tamko limeenda shule.

Hakuwa CHADEMA tangu mwanzo angekuwa CHADEMA angeendelea kupigania haki ya wanyonge kuliko kuungana na wahuni CCM;

bye bye
 
Bora aende iliniuma sana maana wkt wa uchaguzi nilikuwa Mby, alichakachua maana kwa nguvu ya CDM alikuwa anashinda ila akashindwa na akuonyesha hali ya kushindwa bali kuchakachua coz alikuwa hataki ushirikiano wa kujadili hilo na wenzake, Sasa napumua IMEJIDHIHIRISHA KUWA ALIUZA JIMBO
 
Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,

dahhh katibu nimekukubali...wewe kweli elimu imekusaidia majibu makini sana haya...
 
Chadema TAIFA wana haja ya kumwangalia huyu kwa macho MANNE.

Jamaa anaonekana AME-ELIMIKA hata kama hana shule kubwa (Sijui elimu yake).

Inafurahisha kuona watu kama hawa wakisogeza gurudumu la Tanzania mbele bila kujali wako Chama gani.

Inabidi kumpe shule zaidi na ikibidi Slaa awe naye karibu huyu jamaa kwa maendeleo ya chama mkoani Mbeya.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
shitambala sishangazwi nae kuhama cdm..kwanza alikuwa mwanajeshi yule ..akaenda soma LLM england..aliporudi akaacha jeshi nadhan akiwa kama captain na kuingia kwenye siasa..hana mke mpaka saiv..hajawahi kuoa..lkn amezaa zaa hovyo hovyo kama bata...anaish tabata pale na watoto wake wote..inawezekana ni mamluki tu huyu..aliuza ubunge wa cdm mby vjjni kwa kupokea rushwa kwa kingunge..no-wonder karudi kwa wala rushwa na mafisadi wenzake
 
Huyo shitambala kweli alikuwa nukusi kwa Chadema, amehamia ccm chini ya saa 24 tayari mitafaruku inatokea huko. His move is probably the greatest favor he could do to Chadema!

Labda kaenda kusaidia mazishi ya hicho chama chake kipya. What timing!!!!! Alipewa hela na Makamba na anataka kutimiza kwa kile alichohongwa kabla ya Makamba kung'oka, maana asije akamroga. Si unajua tena Makamba anatoka kwenye ukoo wa kupika uchawi?
 
Katibu wa mkoa bw Eddo Makatta.anatoa tamko la chama,kwanza anaanza kwa kusema kuwa kuna maandamo tarehe 16 yatakayoongozwa na mh Freeman Mbowe,kupinga mswada wa katiba,kuhusu Shitambala anasema amepata taarifa kupitia vyombo vya habari,mpaka sasa hajaleta taarifa kwenye chama,anakanusha kuwa yeye hakwenda na shitambala.anasema ni haki yake kikatiba,kuchagua chama anachotaka,mpaka sasa cdm taifa bado walikuwa kwenye uchunguzi,anasema Shitambala amekimbia kabla ya uchunguzi,anamtakia harakati njema za kukipasua chama cha mapinduzi,anasema Cdm haina haja ya kujib wala kugombana naye,na wala cdm haijayumba wala haitayumba,
Safi saana....maneno mazito hayo...point 100 kwa CDM na point 0 kwa Shitambala
 
Tamko lina Akili, Katibu hongera kwa umakini endeleza harakati umma upo pamoja nawe!
PEOPLES POWER
 
Shitambala anakwenda kuchukuwa nafasi ya Tambwe Hiza....teh teh...teh.
Huko ndo kunamfaa, tunasubiri kuona mbwembwe zake huko SISIEMU.
 
Siku zote wanachama na mashabiki wa CHADEMA wanajua kujenga hoja na kuongea kwa umakini....Nadhani kuna hii spirit ndani ya CDM..Tafakari watu hawa wachache

  1. Dr W.Slaa
  2. F.Mbowe
  3. Mpiganaji Lema.G
  4. Zitto.K
nk kutaja wachache....
 
shitambala sishangazwi nae kuhama cdm..kwanza alikuwa mwanajeshi yule ..akaenda soma LLM england..aliporudi akaacha jeshi nadhan akiwa kama captain na kuingia kwenye siasa..hana mke mpaka saiv..hajawahi kuoa..lkn amezaa zaa hovyo hovyo kama bata...anaish tabata pale na watoto wake wote..inawezekana ni mamluki tu huyu..aliuza ubunge wa cdm mby vjjni kwa kupokea rushwa kwa kingunge..no-wonder karudi kwa wala rushwa na mafisadi wenzake

Hana sifa za kuwa mwanachama wa chama chocchote cha siasa....anatakiwa ajiunge na chama cha wapenda ngono ambacho hata mukulu ni memba kimya kimya
 
Back
Top Bottom