Tamko la Chadema kuhusu Wimbi la Mabadiliko Afrika Kaskazini, wapi?

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
It first started in Tunisia, then in Egypt, Jordan, Yemen and now in Sudan. These are major democratic and economic changes, a new political phenomenon short of Western governments influence and away from ballot boxes yet far more democratically effective.

Egypt, specifically share a lot with Tanzania. The president with massive power over almost everything - appointment of all senior central and local government officials, appointment of Judges, control over the Parliament (powers to disolve the Parliament!), and lifetime impunity. Corruption, inflation, widening income gap amongst citizens, failure of social services.

But Tanzania is far more poorer than Egypt. Gross corruption right from the state house down to ten-cell leader, more than 90% of Egyptions have access to electricity compared to 10% of Tanzanians, Egypt commands its own economy but Tanzanian's economy is largely commanded by foreigners, some social services such as education and health are much better in Egypt than in Tanzania. Roads infrustructure is better and far more advanced than in Tanzania.

The political opposition in Tanzania is weak and divided just as Egypt's. Ballot box has proved to be a tool to perpetuate domination of the dictatorship and oppressive regime in Tanzania as in North African countries. Yet the people in North Africa decided, and their decision is final, clear and loud. In Tanzania, all forms of civil society movements are silent, a few glued to their computers - chating over issues in North Africa!

Chadema is an official major opposition party in Tanzania. I believe Chadema has its foreign policy. I also believe, as a major official oppositon party in Tanzania, would have a position or rather opinion regarding events in North Africa. Today is the 13th Day of peaceful demonstrations in Egypt. Can someone help me if he/she ever read a statement from Chadema in regard to events in North Africa? If Chadema has not issued any statement until today, can we trust them with foreign policy and relations on international matters of significant association and impact with the feelings of Tanzanians?
 
Kabla ya yote ni vema ukajua misingi ya wimbi la mabadiliko huko katika nchi za Waarabu.
 
Hatuna opposition Tanzania ni nyakati ambazo influential leaders walitakiwa kusimama na ku-organise what happened in those countries. huu ndio muda wa kuindoa CCM madarakani kwa nguvu ya umma,bahati mbaya nguvu ya umma Tanzania ni box la kura, tukiibiwa tunaishia kulalamika, baada ya siku mbili tunaresolve issues maisha yanaendelea

Ukweli usiopingika with historical evidence hakuna chama cha kutuongoza kwenye maandamano ya kitaifa!!
Nchi zote za SADC zinaonyesha haziipendi CCM kuendela kuwa madarakani, akina Odinga ambao walisupport maandamo ya Arusha HAWAIPENDI CCM, we have support from many countries

Ukweli wanajua wenyewe hivi vyama vya upinzani, kuna marafiki wa Kikwete, Lowassa kuna waliokuwa uslama wa taifa, kuna wafanyabiashara they are counting profit in avery moves........hakuna UPINZANI kama hupo ni superficial tu
 
Misingi ya wimbi la mabadiloko kwa waraabu ni kutokana na rushwa imezidi na ajira hakuna, Huku kwetu Tanzania hakuna umeme, maji safi hayotoki kwenye tape (bomba) Ajira hakuna miundombinu hakuna, Rushwa kila kona, uonevu umezidi, elimu inadidimia kila sekunde na majidudu mengi ambayo utanisadia kuyataja hapo yaliofanywa na Mkapa na Fisadi mwenzake Kikwete. Swali Linakuja hivi Je waarabu kama wangekuwa kama sisi tunavyoishi bila ya Huduma kama hizo ambazo hatuna Je hao viongozi wangedumu mpaka leo? au watanzani tumewidhika kuimbiwa wimbo wa AMANI na mafisadi wa CCM Jibu unalo mwenyewe:roll:
 
Hatuna opposition Tanzania ni nyakati ambazo influential leaders walitakiwa kusimama na ku-organise what happened in those countries. huu ndio muda wa kuindoa CCM madarakani kwa nguvu ya umma,bahati mbaya nguvu ya umma Tanzania ni box la kura, tukiibiwa tunaishia kulalamika, baada ya siku mbili tunaresolve issues maisha yanaendelea

Ukweli usiopingika with historical evidence hakuna chama cha kutuongoza kwenye maandamano ya kitaifa!!
Nchi zote za SADC zinaonyesha haziipendi CCM kuendela kuwa madarakani, akina Odinga ambao walisupport maandamo ya Arusha HAWAIPENDI CCM, we have support from many countries
Ukweli wanajua wenyewe hivi vyama vya upinzani, kuna marafiki wa Kikwete, Lowassa kuna waliokuwa uslama wa taifa, kuna wafanyabiashara they are counting profit in avery moves........hakuna UPINZANI kama hupo ni superficial tu
Waberoya

Siasa za kimataifa (foreign politics) ni tofauti na siasa za ndani huwezi kukurupuka from nowhere na kutoa tamko mradi tu umesema kama vile unapinga malipo ya Dowans kuna consequences zake ki chama na kwa nchi.

Unaweza kuniambia mataifa makubwa kama marekani na UK yametoa tamko gani zaidi ya kigugumizi na kuishia 'We need smooth transition of power' can't US go beyond that.

Kama Muslim Brotherhood wenyewe hawataki kuoneka wazi wako involved na maandamano si kichekesho kutegemea Chadema kijiingize think twice.

Jiulize tena Tanzania kama nchi imesema nini, na ilichukua muda gani Tanzania kutoa tamko kuhusu Ivory Coast au nchi gani ya Afrika umesikia ikitoa tamko kuhusu Egypt achilia mbali vyama vya upinzani.

Wakati una criticize chama cha ndani hasa kwa masuala ya kimataifa jiulize kwanza, position ya nchi yake kwenye hilo tukio, mfano Tanzania inaweza kusema nini kuhusu vita vya Afganstan, kama Tanzania haiwezi kutoa tamko, je chama tawala CCM? ukipata majibu hayo then next jiulize postion ya vyama vya upinzani kwenye hilo tukio ni ipi na ina faida gani kwa chama na kwa taifa.
 
Mkuu,
Kuna huyu member amesema Mbowe na Kikwete juzi walikubaliana maandamano yafanyike nchi nzima... soma hapa
.......Siasa za chadema zimewagusa watanzania, ndo maana wanawakubali na kuwaunga mkono, kama hilo halikupendezi basi kahamasishe watanzania hao hao kupitia cuf wajitokeze kwa wingi siku ya maandamano unayosema cdm imeshindwa kuwaunga mkono cuf.

Inaonekana hujui ama unajribu kupotosha watu, cdm bado inaratibu kufanya maandamano ya nchi nzima kupinga malipo ya dowans, kama hujui hilo sijui we uko nchi gani.

Mkuu,
Nimesubiri kwa muda mrefu sasa maandamano ya kupinga kuchakachuliwa kwa kura....sasa bado CDM inajaribu? Nitasubiri hayo yatakayoitishwa na CDM....kwa vile uko jikoni, jee tutasubiri muda mrefu au mchache mkuu?

Kwa hiyo, tusubiri uratibu utakapokamilika chama cha watanzania kinachokubalika kitaitisha maandamano na migomo.....bado tumo katika kuratibu...siku itafika na wimbi hili litafika hapa kwetu.
Hilo la tamko weka pembeni, sisi tunatenda tu, tutafanya wimbi lenyewe sio kutoa tamko kuhusu wimbi au mawimbi....

Waberoya, take my post with a pinch of salt! ...Nakubaliana na wewe, upinzani hapa TZ bado ni safari refu!!!
 
Waberoya

Siasa za kimataifa (foreign politics) ni tofauti na siasa za ndani huwezi kukurupuka from nowhere na kutoa tamko mradi tu umesema kama vile unapinga malipo ya Dowans kuna consequences zake ki chama na kwa nchi.

Unaweza kuniambia mataifa makubwa kama marekani na UK yametoa tamko gani zaidi ya kigugumizi na kuishia 'We need smooth transition of power' can't US go beyond that.

Kama Muslim Brotherhood wenyewe hawataki kuoneka wazi wako involved na maandamano si kichekesho kutegemea Chadema kijiingize think twice.

Jiulize tena Tanzania kama nchi imesema nini, na ilichukua muda gani Tanzania kutoa tamko kuhusu Ivory Coast au nchi gani ya Afrika umesikia ikitoa tamko kuhusu Egypt achilia mbali vyama vya upinzani.

Wakati una criticize chama cha ndani hasa kwa masuala ya kimataifa jiulize kwanza, position ya nchi yake kwenye hilo tukio, mfano Tanzania inaweza kusema nini kuhusu vita vya Afganstan, kama Tanzania haiwezi kutoa tamko, je chama tawala CCM? ukipata majibu hayo then next jiulize postion ya vyama vya upinzani kwenye hilo tukio ni ipi na ina faida gani kwa chama na kwa taifa.

Quinine asante kwa post yako these kinds of posts zinaifanya JF iheshimike, hakuna tusi, hakuna maneno kama crap, low...ambayo ni taboo in JF!

Kwanza asante post kama hizi zinajenga hoja na kufanya thread iendelee, ndio busara ndio ukubwa asante sana kuonyesha hilo.

Kwanza katika post yangu SIJATAJA NENO CHADEMA!!!! nilikwepa makusudi kwanza kuonyesha chadema sio chama pekee cha upinzani nchi hii.

Kama unaizungumzia chadema haipaswi kusubiri serikali ya CCM imesema nini ili wao waseme nini, umeota mifano ya USA, Ivory coast n.k neno nchi halina maana kama sisi wenyewe hatujakaa ki-innchi. CCM ni wakolini ni wanyonyaji, ni wezi ni wauaji hawa sio sehemu ya nchi hii, wanatawala kimabavu.. that is my theory and my concept. KUWAONDOA HAWA HATUTAKIWI KUSUBIRI SANDUKU LA KURA ndugu yangu tunatakiwa kuwa na INITIATOR mmoja tu au wawili ku-organize hii move. KWA BAHATI MBAYA hao viogngozi hatuna, yaani hatujafikia hiyo rank ya kuwa na akina Odinga, akina Morgan Tsavangirai....mafuta yako kila kona ,kila idara

kusema hatuna aina hiyo ya viongozi siyo kulaumu chadema au tlp au CUF hatuna na iko hivyo hatuna, sijalalamika kwa nini hatuna, nikilalamika natakiwa mimi nichukue nafasi...siyo kusubiri wengine. hapa sio kulaumu chama chochote ni simply KUSEMA HATUNA UPINZANI!!

Aliyeanzisha thread amechagua kusema chadema! kwani ndicho kina nguvu kwa sasa bara.

In other words compromisation zinatuua nchi hii, tuna hakika kabisa CCM wameiba kura badala ya kusimamia tunachokiamini tunaanza story nyingi za Amani na upendo ebu nikukumbushe;

Quality, quality, quality: never waver from it, even when you don't see how you can afford to keep it up. When you compromise, you become a commodity and then you die''- GARY HIRSHBERG

“The 'morality of compromise' sounds contradictory. Compromise is usually a sign of weakness, or an admission of defeat. Strong men don't compromise, it is said, and principles should never be compromised.''- Andrew Carnegie 91835-1919)
 
CDM haijatoa tamko. Hizo ni siasa za nje ya mipaka yake. Maandamano ya Misri na Tunisia ni mambo ya nchi. CDM au chama kingine kutoa tamko si sahihi unless liwe tamko linalogusa mambo ambayo ni universal mfano ukiukwaji wa haki za binadamu kama kuzuiwa kwa waandishi wa habari, kuzuiwa maandamano nk. Mpaka sasa hivi watu wanaandamana hawazuiwi, waandishi walizuiwa lakini sasa hivi wanaendelea kutupa habari! Bado hayo yanatokea chini ya uongozi wa Hosni!

Sidhani kama chama cha KANU kilitoa tamko polisi walivyoua Arusha! Haya si masuala ya kuondoa mkoloni! Chama cha Upinzani Tanzania hakiwezi kumshinikiza kiongozi wa nchi nyingine bila kuhakikisha msimamo wake hauna athari now and after!
 
Hivi kuna tofauti gani Kati ya foreign policy ya chama na foreign politicts?
 
Back
Top Bottom