PARAGEcTOBORWA
Member
- Nov 20, 2011
- 79
- 7
Rais Wangu amenena, Je Fisadi Kikwete atatekeleza?
msaada wake ni nn? Sy kusemasema tuu na kulaumu serikari, sy wakati wa kampeni hapa tunamajanga tuondoe tofauti zetu.
Rais Wangu amenena, Je Fisadi Kikwete atatekeleza?
Nimesoma Tamko la Chadema hakuna cha maana zaidi ya kukosoa...cha kujiuliza Chadema wamechangia nini kwa waathirika wa mafuriko? Au ni porojo tu? Tuliona kule Japan walichangangia dola 2000..
Hapa nyumbani mmewasaidia nini au ndio ilo Tamko?
Safi sana Dr. Slaa... ila toeni na chopa ikaokoe wahanga maana serikali hii legelege kutwa kulala... yani waziri mkuu anamsubiri rais aseme...mkuu wa jeshi nae hajiongizi mpaka rais hata kutoa chopa ili iokoe ama kuweka daraja la dharura wanajeshi wamelala,... wazee wa intelejensia ndio kabasa hawana hata vifaaa... kazi kweli kweli... kumbe hii issue ilikuwepo kwenye ilani ya chadema .. sasa magamba kwenye ilani yao kulikuwa na nini? katiba hakuna walikuwa na nini?
Padre na dk wangu Slaa.pole kwa majukum.umepotlea wapi mbona siku ile kwenye kahawa na juice pale umekula kona? pili tamko hili siamini kama ni lako mana hujaeka sahihi yako,naona kama ni magumash tu haya.suala lingine padre,ile HELKOPTA uliyokuwa una chanja nayo mbuga kule IGUNGA IKO WAPI LEO WAKATI WANA DAR WATESEKA NA MAFURIKO?tamko lako HALIENDANI NA UHALISIA, NI KIINI MACHO TU HIKI.nilitegemea helkopta ile ya igunga iongozwe na Mnyika na Halima Mdee chini ya uratibu wako kuokoa maisha ya watu matokeo yake unatuletea SOUND.
Nimesoma Tamko la Chadema hakuna cha maana zaidi ya kukosoa...cha kujiuliza Chadema wamechangia nini kwa waathirika wa mafuriko? Au ni porojo tu? Tuliona kule Japan walichangangia dola 2000..
Hapa nyumbani mmewasaidia nini au ndio ilo Tamko?
Mtasema yote lakini mimi sintosahau utendaji wa huyu jamaa alikuwa anakwenda mwenyewe na kutoa maelekezo kwenye tukio si kuhutubia watu kwenye TV.
Haya ni maneno ya mkosaji aliyechoka kufikiri na hawezi kujibu hoja bali vioja....kwani Dr Slaa ndiye anaeiongoza serikali hii? kwa niniPadre na dk wangu Slaa.pole kwa majukum.umepotlea wapi mbona siku ile kwenye kahawa na juice pale umekula kona? pili tamko hili siamini kama ni lako mana hujaeka sahihi yako,naona kama ni magumash tu haya.suala lingine padre,ile HELKOPTA uliyokuwa una chanja nayo mbuga kule IGUNGA IKO WAPI LEO WAKATI WANA DAR WATESEKA NA MAFURIKO?tamko lako HALIENDANI NA UHALISIA, NI KIINI MACHO TU HIKI.nilitegemea helkopta ile ya igunga iongozwe na Mnyika na Halima Mdee chini ya uratibu wako kuokoa maisha ya watu matokeo yake unatuletea SOUND.
Wewe nafikiri una matatizo ya akili na unachuki binafsi dhidi ya CDM na Dr Slaa....yaani nyie mmekaa madarakani miaka 50 lakinikutoka pale pfisini kwako manyanya hadi jangwani watu walipopatwa na mafuriko ni kilometa moja.kwanini hujaonekana ukiokoa watu unasubiri kutuhadaa na tamko kwenyevyombo vya habari?
Kuna watu wana masikio lakini hawasikii. Wewe ni mmoja wapo, bado huelewi ile ni ya kukodi kwa malengo maalum? Hapa JF sio lazima uandike unaweza kusoma tuu na kujifunza toka kwa wengine. Vinginevyo unajidhalilisha kwa kuonyesha jinsi ulivyo.Dr. Slaa, nimekua navutiwa sana na sera za chama chenu ma uelekeo wa nia ya kulikomboa taifa, lakini ninapata wasiwasi na utayari na uthabiti wa nia yenu, kama walivyotangulia kusema baadhi ya wachangiaji ambao kimtazamo wangu nawaona si wanafiki wa kupongeza tuuu, hotuba za rambirambi na kuikosoa serikali, lakini ingepaswa mara macheche muwe mstari wa mbele hata kuchangia huduma za kuokoa katika majanga kama haya mfano kama walivyo changia wachache kusema, iko wa pi Helkopta ya Igunga? Kwanini msubiri kutoa rambirambi? Kwanini msubiri kukosoa kwa maneno?
Dr. Slaa, nimekua navutiwa sana na sera za chama chenu ma uelekeo wa nia ya kulikomboa taifa, lakini ninapata wasiwasi na utayari na uthabiti wa nia yenu, kama walivyotangulia kusema baadhi ya wachangiaji ambao kimtazamo wangu nawaona si wanafiki wa kupongeza tuuu, hotuba za rambirambi na kuikosoa serikali, lakini ingepaswa mara macheche muwe mstari wa mbele hata kuchangia huduma za kuokoa katika majanga kama haya mfano kama walivyo changia wachache kusema, iko wa pi Helkopta ya Igunga? Kwanini msubiri kutoa rambirambi? Kwanini msubiri kukosoa kwa maneno?
Nimesoma Tamko la Chadema hakuna cha maana zaidi ya kukosoa...cha kujiuliza Chadema wamechangia nini kwa waathirika wa mafuriko? Au ni porojo tu? Tuliona kule Japan walichangangia dola 2000..
Hapa nyumbani mmewasaidia nini au ndio ilo Tamko?
Ni tamko zuri sana la kuwakumbusha na kuwapa mbinu walioko madarakani!
Fedha za kutekeleza mapendekezo hayo ya CDM zipo kabisa!...shida ni misappropriation tu!