Tamko la CHADEMA juu ya kuvunja Muungano

Status
Not open for further replies.

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
Nilitegemea CHADEMA aka M4C wangetoa tamko juu ya hali ya muungano na namna ya kwenda mbele.

Naomba waziri kivuli husika wa CHADEMA atutolee tamko ili tujue wamesimama wapi kwenye huu mradi wa Magamaba ambao wananchi wa bara na visiwani hawautaki

kazi kwenu M4C
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom