Tamko la CCM UK & USA kuhusu Dowans na bei ya juu ya Umeme Bongo

v
vuvuzela, umetoa meseji nzuri ila umekosea ku generalize sio wote ambao hatuishi tanzania tunaipenda ccm na madudu yake, na sio wote ni watoto wa vigogo wa ccm na mbaya zaidi sio wote ni wa beba boks. Usiongee bila kua na ushahidi wa kutosha. Huku nilipo kila mtz ni very professional na ana kazi nzuri some of them ni madaktari, ma injiania na project planners wanaotegemewa. Karibu uje utembee then next time uta andika vizuri. Sina la zaidi ila punguza jazba ndugu yangu nchi haitajengwa kwa jazba na kukurupuka, kumbuka adui yako amejiandaa muda mrefu na amerithi utajiri tokea tanu na mpaka kwenye dili kubwa za kifisadi angalia usiishie kupiga kelele hum jamvini bila kutekeleza kwa vitendo mnayoyalalamikia. Me voy, hasta la vista.
Danganya ambao hawajui, project planner wa kutegemewa labda unaongelea nje kama Burundi au kenya, uende UK nani akupe u project planner, tunawajua wengi waliomaliza masters zao ni wabeba mabox tu wanahangalika, sanasana utakuwa dereva wa kusambaza barua au kutawaza vizee au uolewe na mzungu, wazungu wenyewe ni wengi waliosoma lakini kazi hakuna wanategemea jobseekers allowance wewe akujue nani.
 
unapajua nassau bahamas? Poleni sana mnasumbuliwa na lack of exposures mmekariri abroad ni uk na us? Kwa taarifa bahamas is the black man richest islands na injinia mkuu wa wizara ya kazi ya bahamas anaitwa job jackob mwalugaja, mtanzania wa tukuyu mbeya. Roho mbaya na wivu utawaponza, safirini muone wenzenu wanafanya nini kama mmesoma na mnajiamini kwanini msitafute kazi popote duniani?mtalalamika saaana hapa jf lakini hamna lolote la maana mnalofanya kwa vitendo. Chenge katoa laki 7 kaachiwa huru, na dowans watalipwa hizo pesa. Nawewe utaendele kupiga mayowe na shida zako zipo palepale. NB.we quinine. Mke wangu ni mnyarwanda anaitwa nadine au mama brian na sio mzungu kama ulivyo kariri.
 
We mtoa mada uliyepo tz ushatoa kauli yako kwa serikali?
Au umewaona wa ulaya tu kwasababu wamevuka mipaka?
Hadi sasa kauli ngapi zishatoka na kipi kimefanyika?
Kutoa kauli sio kazi lakini hata sisi tuliopo tz tutatoa kauli hadi lini?
Kilichobaki ni vitendo. Vitendo vyetu vitaongea zaidi ya kauli.
 
We Bruce mbona unajielezea sana maisha yako humu au unadhani tumetangaza kazi huku maana naona unaeleza CV yote. We unadhani wanaochangia mada humu ni maskini au? Just uzalendo mkuu.
YAKUFAA NINI WEWE KUISHI HUKO KAMA MKIMBIZI WAKATI NCHI YAKO IPO HURU NA UMEKIMBIA HUKU WAZAZI NA NDUGU ZAKO WAFA NJAA WE WAJIONA WALA RAHA!!! Hivi wewe unaweza kujiita tajiri wakati ukoo na kizazi chako chote ni maskini??
THINK TWICE MKUU!!!!
Danganya watoto wenzio richest island/country gani ina ukosefu wa wasomi mpaka watanzania mkashikilie uwaziri humo!!!!!
 
We mtoa mada uliyepo tz ushatoa kauli yako kwa serikali?
Au umewaona wa ulaya tu kwasababu wamevuka mipaka?
Hadi sasa kauli ngapi zishatoka na kipi kimefanyika?
Kutoa kauli sio kazi lakini hata sisi tuliopo tz tutatoa kauli hadi lini?
Kilichobaki ni vitendo. Vitendo vyetu vitaongea zaidi ya kauli.

Tunasubiri hivyo vitendo!!
 
unapajua nassau bahamas? Poleni sana mnasumbuliwa na lack of exposures mmekariri abroad ni uk na us? Kwa taarifa bahamas is the black man richest islands na injinia mkuu wa wizara ya kazi ya bahamas anaitwa job jackob mwalugaja, mtanzania wa tukuyu mbeya. Roho mbaya na wivu utawaponza, safirini muone wenzenu wanafanya nini kama mmesoma na mnajiamini kwanini msitafute kazi popote duniani?mtalalamika saaana hapa jf lakini hamna lolote la maana mnalofanya kwa vitendo. Chenge katoa laki 7 kaachiwa huru, na dowans watalipwa hizo pesa. Nawewe utaendele kupiga mayowe na shida zako zipo palepale. NB.we quinine. Mke wangu ni mnyarwanda anaitwa nadine au mama brian na sio mzungu kama ulivyo kariri.

we bruce punguza mbwembwe.
Hatusifii watu kwa sura, vyeo wala mahali wanapoishi.
Tunaangalia contributions zao kwenye society.
Nyumbani ni nyumbani tu. You will be back whether you are dead or alive.
Na hayo mambo yako binafsi ya kifamilia hatuyahitaji kuyajua.
I'm sorry kama nimekukwaza.
 
siombi kazi kwa mtu nawala sijaweka hata nusu ya cvs zangu. Kuhusu ndugu zangu kua maskini sikatai ni tatizo la kitaifa. Kuhusu utajiri wa wabahamas ni kukosa wasomi is the long topic, labda tafafanua kwa kirefu. Kutoka the paradise island of bahamas to miami is 1.4 km. Hawa jamaa wamebarikiwa kua na utajiri wa asili. Georaphical location na hali ya hewa ina mvutia kila mtu, hata wewe ukifika hauta tamani tena kwenda europe or us. Any way kila la heri watanganyika wenzangu. One more thing uzalendo hauko mdomoni bali ni matendo. We jiulize umeshafanya nini kwa nchi yako? Then utapata jibu kama ni mzalendo au mshabiki wa uzalendo. Alamsik
 
Hivi ni nani aliyesema kuna matawi ya ccm maeneo hayo. Ni jamaa wawili watatu tu wanaojipendekeza kwa mafisadi ili watakaporejea huku nao wapewe vyeo hata ukuu wa wilaya tu. Ni wachumia tumbo tu wanaowinda vya kupewa.
 
Danganya ambao hawajui, project planner wa kutegemewa labda unaongelea nje kama Burundi au kenya, uende UK nani akupe u project planner, tunawajua wengi waliomaliza masters zao ni wabeba mabox tu wanahangalika, sanasana utakuwa dereva wa kusambaza barua au kutawaza vizee au uolewe na mzungu, wazungu wenyewe ni wengi waliosoma lakini kazi hakuna wanategemea jobseekers allowance wewe akujue nani.
Boksi hoyeee:whoo:
 
Dah... vuvuzela umeleta mada nzito kidogo... wanaCCM walio nje wao kwangu mimi nawaona ni mabwana na mabibi ubwabwa na huwaona kwenye picha za kujikweza tu' hakuna mantiki wala strategies wanazotupa za kupunguza adha zozote zaidi ya kuwakaribisha wakubwa na kugida and the after party

I am sorry but this is how i perceive wana CCM wa UK na US... shallow, fake and non patriots... they are just bending for cheap recognition
 
Back
Top Bottom