TAMKO LA BAVICHA-Siku ya vijana duniani. Heche ailipua UVCCM

ccm haina kitu ilichoanzisha baada ya mfumo wa vyama vingi na hata vile walivyopora ambavyo ni vya watanzania wote wameviiba wenyewe hadi vimebaki magofu.
mradi wa ujenzi wa uvccm uliishia wapi?
jengo la uvccm hata rangi wameshindwa kulipaka.
majengo ya ofisi zao wameshindwa kumalizia(ccmsingida).
sukita wamelamba.
viwanja hata rangi mpaka jwtz(sio green guard)
msondo ngoma walishindwa
mabasi ya wanafunzi walitafuna.
chuo cha chama(icu)
na mengine mengi.
my take-tuwaache waanzishe tuone ama gamba la kutafuna kila kitu kama fisi limetoka au bado.na jinsi ninavyowafahamu ndani ya uvccm sasa hivi kutakuwa ugomvi ni dili la nani?

heche sijui huwa anasaidiwa na nani kuandaa matamko yake maana sioni kitu chenye mashiko jamani mm nashindwa kuamini kama jamaa ni graduate kabisa, mwone asivyo na upeo katika kupangilia hoja yaani mm nahisi kichefuchefu tu eti ndiye kiongozi wa vijana hahaa wapi hao, likisimama kwenye mikutano ni kutaka eti watu waandamane tu

Is it kuendelea kuwa na matamko yasiyo na tija.Utawala wa Kibenki si sawa na Saccos ambayo haina direct touch na CBT.Nadhani katika tamko lake alipaswa atueleze ni wapi na katika nchi gani Benki ya Vijana ipo na imesaidia nini vijana hao katika suala la Ajira na Uchumi?.Tusianze kuleta mkumbo kwa thinkable things, ili kuonekana kila siku ikipita basi ipite kwa "TAMKO".

Better for Heche to undergo research and come up with vivid success for those Youth Banks established in the World if not African Continent as a case study to convince.Hivi vitu si kuanzisha tu,tunahitaji kuzingatia wataalam wenyewe na sio kauli za kisiasa on the table all the time.

Vile vile anapaswa kutambua madhumuni ya riba (kubwa ama ndogo) ni kuhakikisha Bank haipati/inapunguza hasara in case some borrowers wakishindwa kulipa mbali na kuwa sehemu ya faida yao.Hiyo benki ya Riba ndogo anatarajia itakuwa productive for the survival of that bank whatever you can call it?

Labda assumption iwe kwamba -Hakuna Risk,Uchumi unakuwa sambamba na kipato cha vijana hao,vijana wote watalipa mikopo yao na kwa wakati.Otherwise ni ''siasa'' tu za CCM na CDM wanaigiza kama CCM.

Rafiki siyo kila kitu tuangalie wengine wameandaje,yapo maswala yanahitaji ubunifu na mikakati.
Nimechoka na watu wasio na maono.yote yawezekana kwa imani hivi unaweza kuwaza hata mikopo ya elimu ya juu inaweza kuwa ni source toka kwenye hii bank rather that what is going now?
Wazo hili ni zuri kama litasimamiwa kitaifa but not today under CCM leadership.wengine tunaisoma bank ya wanawake kwenye mabango tu.

heche ndg yangu we umesoma vishazi hapo malimbe leo unazungumza habari za benk kirahisi hivyo.ushauri wa bure punguza kasi ya kutaka umaarufu kwa matamko kila wiki,kwani Dr slaa heshima yake unafikiri analazimisha kwa matamko?,fanya kazi ndy itakayo kupaheshima na umaarufu unaopenda

heche sijui huwa anasaidiwa na nani kuandaa matamko yake maana sioni kitu chenye mashiko jamani mm nashindwa kuamini kama jamaa ni graduate kabisa, mwone asivyo na upeo katika kupangilia hoja yaani mm nahisi kichefuchefu tu eti ndiye kiongozi wa vijana hahaa wapi hao, likisimama kwenye mikutano ni kutaka eti watu waandamane tu
toa ushuzi wako, unatumia nini kufikiri? hayo mambo yanakuzidi upeo mbali sana wewe nenda kalale

Nimekubali hoja zako kadhaa kama ulivyoziainisha ila hapo kwenye kumtaka maelezo binafsi Speaker ndio sijakuelewa, nadhani inaweza kupunguza uzito wa mtazamo wako.

Je! kwa hoja hiyo ya BAVICHA, na kwa mujibu wako kwamba unataka uonyeshwe nchi ambayo kuna benki ya namna hiyo (maana yake huijui hiyo nchi kama ipo) sawa tufanye kweli hamna hiyo nchi duniani.....

Sasa mkuu hapo bado hujaona hicho unachokiita "innovative thing"???

Kwamba ndio wazo la kwanza litakalo anzia Tanzania kama vijiji vya ujamaa ambavyo saiv vinaitwa "vijiji vya milenia"

HESHIMA Mzazi!!

Nimeipokea Mzazi!If it is a new idea to our country though i don't think so,then let us start smoothly without quarrelling under political parties umbrella.We should always diverge from screamming politically on every matter that has little impact to the community. Banks like Crdb,Scb and the rest of private nature are doing well compared with Tpb,nmb and other gvt owned banks.

Hivyo argument yangu si kweli Benki ya Vijana as so called eti ita perform vizuri ikiwa under gvt!Tukianza kujudge hivi vitu vidogo vidogo ambavyo ni business oriented by their nature and do not intend to discriminate customers basi hata darasani sisi wanafunzi wa itikadi tofauti za vyama tutaanza kuwa mark Walimu kivyama,the same to hospitals and then other sectors.

Henge hana kazi anachojua ni maandamano
maandamano yana wakera sana tumesha sema chadema hatufanyi maandamano tunafanya mazoezi maandamano yaanzia arusha to magogoni, mwanza to magogoni,mbeya to magogo..ukitaka ratiba kamili ni pm

Rafiki siyo kil
a kitu tuangalie wengine wameandaje,yapo maswala yanahitaji ubunifu na mikakati.

Nimechoka na watu wasio na maono.yot
e yawezekana kwa imani hivi unawez
a kuwaza hata mikopo ya elimu ya juu
inaweza kuwa ni
source toka kwenye hii bank rather that what is going now?

Wazo hili ni zuri kama litasimamiwa kitaifa but not today under CCM leadership.wengine tunaisoma bank ya wanawake kwenye mabango tu.

I concur with U Josephine but to some extent i do not agree with U.Tatizo hapa si ubunifu kwani benki za makundi zimekuwa zikianzishwa kila wakati tena kupitia wafanyabiashara katika lengo la kukamata makundi fulani kibiashara,mfano:benki kuwa na package ya wazee,watoto,familia na akina mama.

Tatizo hapa ni kuwa suala hili limebebwa kisiasa hasa baada ya kusikia neno ''VIJANA'' kuendelea kutumiwa na CCM huku CDM ikiamini kuwa na neno vijana linafaa kutumiwa kwaye hii ni kwa sababu wanaamini vijana wengi ni CDM (sina takwimu hivyo siwezi kuthibitisha).Ni dhahiri kuwa kinachogomba hapa ni jina la ''Vijana'' kutumika kwani si kweli kuwa benki hii pamoja na kuwa UVCCM wanahitaji kuanzisha ni ya Serikali kwa njia nyingine.Hii ni sehemu ya ubunifu wa miradi ya chama kama ambavyo ingeweza kufanya CDM kupitia BAVICHA.

Lazima tukubaliane kuwa,tunapofikia hatua ya kila kitu kinachofanywa ndani ya chama fulani kinakuwa questioned basi ni dhahiri CDM itashindwa kubuni miradi yake na kuiendesha zaidi ya kuiangalia Serikali iliyopo ama itakayokuja.

Tutambue pia sekta ya kibenki tayari ni soko huria na yeyote anaweza kuanzisha ilimradi awe amekidhi matakwa ya uanzishwaji wake.Wengi tumesikia JWTZ tayari wana bilioni 7 na wako mbioni kuongezea ili waanzishe Benki yao!Hawa nao tutaanza kuwashuku kuwa wanajeshi wanaopewa mikopo humo ni wale wenye uswahiba na serikali ama chama fulani.Let us stop filling the gap in every case.

Is it kuendelea kuwa na matamko yasiyo na tija.Utawala wa Kibenki si sawa na Saccos ambayo haina direct touch na CBT.Nadhani katika tamko lake alipaswa atueleze ni wapi na katika nchi gani Benki ya Vijana ipo na imesaidia nini vijana hao katika suala la Ajira na Uchumi?.Tusianze kuleta mkumbo kwa thinkable things, ili kuonekana kila siku ikipita basi ipite kwa "TAMKO".

Better for Heche to undergo research and come up with vivid success for those Youth Banks established in the World if not African Continent as a case study to convince.Hivi vitu si kuanzisha tu,tunahitaji kuzingatia wataalam wenyewe na sio kauli za kisiasa on the table all the time.

Vile vile anapaswa kutambua madhumuni ya riba (kubwa ama ndogo) ni kuhakikisha Bank haipati/inapunguza hasara in case some borrowers wakishindwa kulipa mbali na kuwa sehemu ya faida yao.Hiyo benki ya Riba ndogo anatarajia itakuwa productive for the survival of that bank whatever you can call it?

Labda assumption iwe kwamba -Hakuna Risk,Uchumi unakuwa sambamba na kipato cha vijana hao,vijana wote watalipa mikopo yao na kwa wakati.Otherwise ni ''siasa'' tu za CCM na CDM wanaigiza kama CCM.

Kuwa creative kuna maana gani?.
SII VEMA KILA KITU UTAKACHO KIFANYA HAPA TANZANIA, KIWE KILISHA FANYWA MAHALI PENGINE DUNIANI. UA ndio umeathiliwa kabisa na mfumo wetu wa kusoma kwa kumeza badala ya kuelewa?.
It is better for us to support this new IDEA.

Is it kuendelea kuwa na matamko yasiyo na tija.Utawala wa Kibenki si sawa na Saccos ambayo haina direct touch na CBT.Nadhani katika tamko lake alipaswa atueleze ni wapi na katika nchi gani Benki ya Vijana ipo na imesaidia nini vijana hao katika suala la Ajira na Uchumi?.Tusianze kuleta mkumbo kwa thinkable things, ili kuonekana kila siku ikipita basi ipite kwa "TAMKO".

Better for Heche to undergo research and come up with vivid success for those Youth Banks established in the World if not African Continent as a case study to convince.Hivi vitu si kuanzisha tu,tunahitaji kuzingatia wataalam wenyewe na sio kauli za kisiasa on the table all the time.

Vile vile anapaswa kutambua madhumuni ya riba (kubwa ama ndogo) ni kuhakikisha Bank haipati/inapunguza hasara in case some borrowers wakishindwa kulipa mbali na kuwa sehemu ya faida yao.Hiyo benki ya Riba ndogo anatarajia itakuwa productive for the survival of that bank whatever you can call it?

Labda assumption iwe kwamba -Hakuna Risk,Uchumi unakuwa sambamba na kipato cha vijana hao,vijana wote watalipa mikopo yao na kwa wakati.Otherwise ni ''siasa'' tu za CCM na CDM wanaigiza kama CCM.

"...................Nadhani katika tamko lake alipaswa atueleze ni wapi na katika nchi gani Benki ya Vijana ipo na imesaidia nini vijana hao katika suala la Ajira na Uchumi?........."

Naomba nikwambie uko MPUBA.VU na akili za kutazamia kwa wengine eti ndo na wewe ufanye jambo, huwezi kuwa creative wa kitu ambacho mwingine hajafanya? Very poor thinking!! Haujui benki ina faida gani? au kwa sababu ya jina kwamba ikiitwa benki ya vijana ndo itakuwa haina faida tena? Umenisbabisha nisome mistari miwili tu ya post yako maana sikuona hata cha maana zaidi

br />

Na wasi wasi na EQ/IQ yako pengine una matatizo as a lunatic thinker.Kwa sababu hukusoma post yangu then you have nothing to tell me.A doom to blast!

Heche ahame kwanza kwa kaka yake ajifunze kujitegemea ndipo aje na matamko kama haya

since he is a chairman of Vijana hapa nchini, tamko lake halijalishi anakaa kwa wazazi, shangazi, kaka, dada, mjomba, gheto au kwa yeyote. Hapa tunaangalia ujumbe na sio anakotoka mtu. Ndio maana hatuhitaji kujua hata wewe kama ulishaondoka kwa wazazi ua la!

Back
Top Bottom