[FONT=Century Gothic, serif]BARAZALA VIJANA LA CHADEMA (BAVICHA) [/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]TAARIFAKWA VYOMBO VYA HABARI[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Sikuya Kimataifa ya Vijana[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]12/08/2011[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]NduguWanahabari, [/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Leotarehe 12/08/2011, ni Siku ya Kimataifa ya Vijana. Siku hiihuadhimishwa duniani kote kila mwaka, kila ifikapo tarehe 12 mweziAgosti, ambapo vijana wenyewe na wadau wengine hufanya tathmini yahalisi ilivyo na kupendekeza njia mbadala za kukabiliana na vikwazovilivyopo na kuchochea maendeleo ya vijana.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Katikakuadhimisha siku hii, Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA),tunachukua fursa hii kuibua na kusisitiza mambo makuu mawili yenyeumuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya Vijana wa Taifa hili,kama ifuatavyo;[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Hojaya Benki ya Taifa ya Vijana[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Vijanawa Tanzania wanahitaji fursa ili waweze kujiendeleza. Wanahitajifursa ya Ajira na Elimu, ili waweze kupiga hatua kubwa katikaharakati zao za kujiendeleza, lakini kikwazo kikubwa kimekuwa nifedha.[/FONT][FONT=Century Gothic, serif][/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Mojaya fursa kubwa za uwezeshaji ambazo CHADEMA imefikiria na kuona kuwaitachochea sana vijana wa nchi hii kujiajiri, na kuwawezeshawasiokuwa na elimu ya kutosha, waweze kuipata, ni kuanzishwa kwa[/FONT][FONT=Century Gothic, serif]Benkiya Taifa ya Vijana[/FONT][FONT=Century Gothic, serif]yenye nguvu kubwa kimtaji, na yenye masharti nafuu katika kuhudumiawateja wake (vijana).[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]BAVICHAtunaamini kuwa, kupitia Benki ya Taifa ya Vijana, Vijana waKitanzania bila kujali tofauti zao za kiitikadi na kivyamawatawezeshwa kifedha kupitia mikopo kwa ajili ya kujiajiri kwenyeshughuli mbalimbali za uzalishaji kipato (ujasiriamali) na hatakujisomesha kwa kugharamia wenyewe gharama za masomo yao. [/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Kwaniaba ya uongozi mzima wa BAVICHA Taifa, nachukua fursa hiikumpongeza Mbunge wetu Kijana na Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni,Michezo na Vijana, Mhe. Joseph Mbilinyi maarufu SUGU, kwa kuwasilishavema Bungeni, hoja hii ya kutaka kuanzishwe [/FONT][FONT=Century Gothic, serif]Benkiya Taifa ya Vijana, [/FONT][FONT=Century Gothic, serif]kupitiahotuba ya Kambi rasmi ya Upinzani kuhusu Wizara hiyo na mchango wakealioutoa wakati akichangia bajeti ya wizara hiyo leo asubuhi.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Hatahivyo, wakati CHADEMA tukiitaka Serikali kuitikia wito wa kuanzishaBenki hiyo kwa manufaa ya Vijana wote bila kujali vyama vyao, baadhiya viongozi na wabunge wa CCM wameanza kuishawishi Serikaliisianzishe benki hiyo ya taifa ya Vijana, kwa sababu wao wanaanzishaBenki yao ya Kichama ya Vijana.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Tunataarifa na ushahidi wa kutosha kuwa Serikali inataka kukataakuanzisha Benki ya Taifa ya Vijana wote, [/FONT][FONT=Century Gothic, serif]kwasababu inataka itumie fedha za umma na mikono yake kwenye benkibinafsi, ili kuanzisha [/FONT][FONT=Century Gothic, serif]Benkiya Vijana wa CCM kwa malengo ya kisiasa[/FONT][FONT=Century Gothic, serif].BAVICHA tunaitaka Serikali isijaribu kamwe kufanya mchezo huo mchafuwa kutumia fedha za walipakodi wa nchi hii kuanzisha benki yao yakichama. Tunaitaka Serikali ianze mara moja mchakato wa kuanzishaBenki ya Taifa ya Vijana kwa maslahi ya Vijana wote wa Kitanzania. [/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Aidha,tunawakumbusha Vijana na umma mzima wa Watanzania, kuwa CCM kamachama haina uhalali wa kuanzisha benki ya vijana, kwani chama hichotayari kina historia mbaya sana ya ufisadi, kama ya kuua Shirika laUchumi na Kilimo la Taifa (SUKITA) ambalo lilianzishwa na fedha zaWatanzania wote wakati wa mfumo wa chama kimoja, lakini baada yamfumo wa vyama vingi kuanza, CCM ililipora shirika hilo na viongoziwakatafuna mali zote za Shirika na kulifilisi. [/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]CCMiliua Mradi wa Mabasi ya Wanafunzi Mkoa wa DSM uliokuwa ukiendeshwana UVCCM, ambao Watanzania wote waliuchangia fedha, lakini kwaufisadi wao wakaufilisi na matokeo yake mpaka leo Wanafunzi wa Dar esSalaam wanataabika kwa huduma mbaya za usafiri.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]CCMpia imeshindwa kuviendesha kwa ufanisi Viwanja vya Michezowalivyopora nchi nzima baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza nabadala yake viwanja hivyo vimekuwa vikididimia, ukiwemo uwanja wa Sheikh Amri Abeid wa Arusha, Majimaji Songea, Jamhuri Morogoro, CCMKirumba Mwanza, Jamhuri Dodoma, na vingine vingi. Na tunataka malizote za Vijana wa Kitanzania zilizoporwa na CCM wakati wa mfumo wachama kimoja zirejeshwe, zitumike kwa manufaa ya vijana wote waKitanzania.[/FONT][FONT=Century Gothic, serif][/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Kwahiyo, [/FONT][FONT=Century Gothic, serif]tunawatakaVijana wa Kitanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa, tuungane kwapamoja katika kuhakikisha Serikali inaanza mara moja mchakato[/FONT][FONT=Century Gothic, serif][/FONT][FONT=Century Gothic, serif]wakuanzisha Benki ya Taifa ya Vijana, kwani Benki hiyo ya kichama ni yakibaguzi, kifisadi (ushahidi upo) na haitaweza kudumu wala kuwakomboakwa haki Vijana wote wa Kitanzania.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Nivema ikazingatiwa kuwa hata Sera ya Serikali ya Maendeleo ya VijanaToleo la Mwaka 2007, inayotumika hivi sasa, bado haijatungiwa sheriaya kuifanyia utekelezaji. Kwa hiyo, BAVICHA, tunataka Mkataba waVijana Afrika uwasilishwe Bungeni na kupitishwa kuwa Sheria, kwanisheria hiyo pana ndiyo itakayowezesha Sera yenyewe ya Maendeleo yaVijana kuweza kutekelezeka.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]NawatakiaVijana wote wa Kitanzania maadhimisho mema ya Siku ya Kimataifa yaVijana, huku nikiwataka kuwa tayari muda wote kuunga mkono nakushiriki moja kwa moja harakati za kushinikiza haki na maendeleo yavijana.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Vijana;Nguvu ya Mabadiliko[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Ahsantenikwa kunisikiliza.[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]JohnHeche[/FONT]
[FONT=Century Gothic, serif]Mwenyekitiwa BAVICHA Taifa[/FONT]

- [FONT=Century Gothic, serif]Mkataba wa Afrika wa Vijana (African Youth Charter 2006) upelekwe bungeni.[/FONT]