Tambwe Hiza ndani ya 'Tuongee Asubuhi' StarTv kipindi kinaendelea...

I have heard that guy. What I can generally describe him is that he is stupid.
 
TH alipoulizwa kwanini kumekuwa na migomo vyuoni na wanafunzi wengi kufeli alisema ccm imejitahidi kuhakisha kunakuwa wanafunzi wengi wanaopata elimu ya chuo hivyo inashindwa kuwaudumia kwa wakati mmoja ndiyo maana kunakuwa na migomo hata hivyo inapaswa kupongezwa kuhusu kufeli alisema pia ccm imehakisha inapeleka wanafunzi wengi seköndari ndiyo maana wanafeli , Mtangazaji akasema inaonekana CCM hamna mipango.
Nikazima TV nikaenda zangu kwenye iada
 
Ahsanteni kwa updates wadau coz hata mie sikuwa hewani kutazama mjadala mzima
 
Jamaa anaitwa Lisasi Mwaulanga, ni kichefuchefu, jamaa ni stupid siku nyingi na anaendelea kuwa hivyo, balozi wa amani hawezi kuwa mjinga vile, hajui yale anayoyasema yanahatarisha amani kwa kuwa yanakasirisha watanzania wengi wanaoona mfuko wa cement kwa sh 5000 unawezekana. Hao ndio wale wale makuwadi wa CCM, shame on you Mwaulanga and those like you who think using spinal cord and not brain.
 
Tambwe Hiza: tatizo la vurugu kwenye siasa ni wanasiasa kutaka madaraka na kutoheshimu katiba na sheria za nchi. Mfano ni wa hivi karibu. Kwa mujibu wa kanuni za bunge, chadema inastahili kuunda kambi ya upinzani. Ni haki yao. Lakini vyama vingine vya upinzani vimeanza kuleta chokochoko.
Kama ni kweli ameongeo hivyo basi hiyo ndo point ya kwanza kusikia Tambwe anaongea tangu nianze kumjua.
 
Yule mkaribishwa kwenye tuongee asubuhi ya star tv kituo cha Dar [Bahati mbaya sikumnasa jina] kanihamasisha kuhoji vigezo vinavyotumika kuchagua Mabalozi wa amani. Mambo yalonitatiza ni haya:-

Jamaa kaponda Sera ya CHADEMA akisema cement haiwezi kuuzwa TSHS 5000/- kwa madai kuwa kama cement itauzwa 5000 then tray ya mayai itauzwa shilingi 250/=. kwa nini hasemi sababu za serikali kuzuia uagizaji wa cement kama hilo punguzo haliwezekani? Kwa sasa serikali imekataa katakata kuagiza cement nje ya nchi si kwamba inataka kulinda viwanda vya ndani, la hasha!! hao viongozi wanavuna kutoka viwanda vya cement kama wanavyovuna TANESCO kwa hivyo wanachelea mavuno yao kushuka. Kuthibitisha hilo angalia CEMENT ikiagizwa nje ya nchi. Inapolipiwa kodi na logistics zote, mfuko waweza kuuzwa TSH 7000 hadi 9000. Je, ikitengenezwa ndani itashindikana vipi kuuzwa 5000/-?

Kama ni kulinda viwanda kwanini viwanda vya nguo vyenye kuajili watu wengi kwa mpigo havikulindwa kwa mtindo huo? vivyo hivyo viwanda vya Baiskeli na vingine vingi!

Pia jamaa akasema wapinzani waache kutumia muda mwingi kupinga chama tawala badala yake wahamasishe watanzania kufanya utalii wa ndani. Tena kaenda mbali zaidi kwa kudhihaki wanywa bia kwamba, kwa nini unywe heineken ya TSH 3000 badala ya kwenda serengeti kutoa 1500 ukaangalia simba na swala!! Huyu jamaa nahisi kalewa hizo sifa za UBALOZI WA AMANI hadi anashindwa kuchambua mambo. HEBU tujiulize kwa nini Mtanzania akatoe 1500/- ambayo itatumiwa na mtoto wa Kigogo au kimada wake kwenda Ulaya kununua CHUPI au PEDI ambayo pia inapatikana mlimani City?

WANA JF WHY? Angekuwa ni balozi wa kweli, angekemea ubadhilifu wa kutisha unaofanywa na hao CCM waliojihalalishia nchi hii kuwa mali yao binafsi!! NINASHAWISHIKA KUSEMA JAMAA ANAFANYA UBALOZI WA PROPAGANDA ZA UPOTOSHAJI!!

Ametumwa huyo.
 
Kuna watu naweza wasikiliza ila sio Tambwe to me naonaga kama anatapika
 
Huyo risasi ambaye anajiita balozi wa amani ni mbumbumbu wa kufikiri. Anabeza sera ya Dr slaa ya kuuza mfuko wa simenti sh. 5000 na kudai kama ni hivyo trei ya mayah ingeuzwa sh. 250. Kwani dr slaa alisema kipaumbele cha watanzania ni kula mayai!!!? Na je kuna uhusiano gani kati ya simenti na mayai kiasi kwamba bei ya simenti ikipanda na bei ya mayai nayo ipande!!? Nawauliza wana uchumi je ni lazima bei ya bidhaa moja ikipanda basi na bizaa nyingine ziongezeke bei hata kama hazina uhusiano wa moja kwa moja? Risasi anasema amefanya mawasiliano na waziri wa viwanda na biashara ili kumualika dr slaa na timu yake ya uchumi kusaidia utekelezaji wa sera ya kuuza siment kwa sh. 5000 na kma itashindikana watajua zilikua ni propaganda za kisiasa kulaghai watu. Ushauri wangu kwa risasi ni kwamba awashauri wenzake wa ccm wamkabidhi dr. Slaa serikali asimamie ukusanyaji wote wa mapato, azuie mianya ya ufisadi, ateue watendaji wake wa serikali na asimamie upangaji wa bajeti halafu wasubiri utekelezaji wa sera hiyo ya sh. 5000 kwa simenti ikishindikama ndio waseme ilikua ni maneno ya kisiasa. Risasi asitegemee kumualika dr slaa kushauri namna ya kutekeleza sera hiyo wakati serikali ya CCM iliyojaa mafisadi wa kila aina imeshikilia uchumi wa nchi. Haya ndio nilitaka kuchangia star tv lakini sikupata line. Nawashauri star tv wasibane muda wa watu kupiga simu..
 
You are right mwana JF Papa D, watu wenye mawazo mgando hata kuweka comments zao humu msiruhusu
 
Huyo risasi ambaye anajiita balozi wa amani ni mbumbumbu wa kufikiri. Anabeza sera ya Dr slaa ya kuuza mfuko wa simenti sh. 5000 na kudai kama ni hivyo trei ya mayah ingeuzwa sh. 250. ..

Mkuu nadhani huyo jamaa, anajifanya hajui na anapindisha maneno..., serikali ikiamua hata inaweza kufanya mfuko wa sementi tshs 2500/=, ni kwamba itafidia gharama nyingine za utengenezaji kwa njia a ruzuku....,

Acha tu mfuko wa sementi kuwa 5000/= serikali ingeweza kujenga flats ili wananchi wakae kwa bei nafuu sana kwa mwezi, hiyo ndio kazi ya serikali, kutoa huduma kwa wananchi
 
Mods mmeungalisha threds na post yangu imepotea. Nimeipost 11:25 today. Can I know where about ama inatishia usalama wa nchi?
 
Huyo risasi ambaye anajiita balozi wa amani ni mbumbumbu wa kufikiri. Anabeza sera ya Dr slaa ya kuuza mfuko wa simenti sh. 5000 na kudai kama ni hivyo trei ya mayah ingeuzwa sh. 250. Kwani dr slaa alisema kipaumbele cha watanzania ni kula mayai!!!? Na je kuna uhusiano gani kati ya simenti na mayai kiasi kwamba bei ya simenti ikipanda na bei ya mayai nayo ipande!!? Nawauliza wana uchumi je ni lazima bei ya bidhaa moja ikipanda basi na bizaa nyingine ziongezeke bei hata kama hazina uhusiano wa moja kwa moja? Risasi anasema amefanya mawasiliano na waziri wa viwanda na biashara ili kumualika dr slaa na timu yake ya uchumi kusaidia utekelezaji wa sera ya kuuza siment kwa sh. 5000 na kma itashindikana watajua zilikua ni propaganda za kisiasa kulaghai watu. Ushauri wangu kwa risasi ni kwamba awashauri wenzake wa ccm wamkabidhi dr. Slaa serikali asimamie ukusanyaji wote wa mapato, azuie mianya ya ufisadi, ateue watendaji wake wa serikali na asimamie upangaji wa bajeti halafu wasubiri utekelezaji wa sera hiyo ya sh. 5000 kwa simenti ikishindikama ndio waseme ilikua ni maneno ya kisiasa. Risasi asitegemee kumualika dr slaa kushauri namna ya kutekeleza sera hiyo wakati serikali ya CCM iliyojaa mafisadi wa kila aina imeshikilia uchumi wa nchi. Haya ndio nilitaka kuchangia star tv lakini sikupata line. Nawashauri star tv wasibane muda wa watu kupiga simu..

Hiyo ni total reflection ya umbumbumbu wa ccm. Ndiyo mawazo yao hayo and this indeed can explain why we are so poor after 50 years of independence.
 
thanks a lot dudes for your efforts to update us on what was going on on start tv...keep it up as we are facing dowans hacking!!!!
 
Huyo risasi ambaye anajiita balozi wa amani ni mbumbumbu wa kufikiri. Anabeza sera ya Dr slaa ya kuuza mfuko wa simenti sh. 5000 na kudai kama ni hivyo trei ya mayah ingeuzwa sh. 250. Kwani dr slaa alisema kipaumbele cha watanzania ni kula mayai!!!? Na je kuna uhusiano gani kati ya simenti na mayai kiasi kwamba bei ya simenti ikipanda na bei ya mayai nayo ipande!!? Nawauliza wana uchumi je ni lazima bei ya bidhaa moja ikipanda basi na bizaa nyingine ziongezeke bei hata kama hazina uhusiano wa moja kwa moja? Risasi anasema amefanya mawasiliano na waziri wa viwanda na biashara ili kumualika dr slaa na timu yake ya uchumi kusaidia utekelezaji wa sera ya kuuza siment kwa sh. 5000 na kma itashindikana watajua zilikua ni propaganda za kisiasa kulaghai watu. Ushauri wangu kwa risasi ni kwamba awashauri wenzake wa ccm wamkabidhi dr. Slaa serikali asimamie ukusanyaji wote wa mapato, azuie mianya ya ufisadi, ateue watendaji wake wa serikali na asimamie upangaji wa bajeti halafu wasubiri utekelezaji wa sera hiyo ya sh. 5000 kwa simenti ikishindikama ndio waseme ilikua ni maneno ya kisiasa. Risasi asitegemee kumualika dr slaa kushauri namna ya kutekeleza sera hiyo wakati serikali ya CCM iliyojaa mafisadi wa kila aina imeshikilia uchumi wa nchi. Haya ndio nilitaka kuchangia star tv lakini sikupata line. Nawashauri star tv wasibane muda wa watu kupiga simu..
 
TH alipoulizwa kwanini kumekuwa na migomo vyuoni na wanafunzi wengi kufeli alisema ccm imejitahidi kuhakisha kunakuwa wanafunzi wengi wanaopata elimu ya chuo hivyo inashindwa kuwaudumia kwa wakati mmoja ndiyo maana kunakuwa na migomo hata hivyo inapaswa kupongezwa kuhusu kufeli alisema pia ccm imehakisha inapeleka wanafunzi wengi seköndari ndiyo maana wanafeli , Mtangazaji akasema inaonekana CCM hamna mipango.
Nikazima TV nikaenda zangu kwenye iada

YouTube - GTV 3 TUWATOE CCM MADARAKANI - WANAHABARI SAIDIENI
 
Back
Top Bottom