Tambwe HIza na Hoja dhaifu kumhalalisha Mary Chatande!

Zed

JF-Expert Member
Mar 28, 2009
434
252



So wananchi wakiwakataa CCM kwa kutowapigia kura basi wao watadai wabunge wao wakuteuliwa kutoka majimbo mengine wamehamia kwenye mkoa huo na hivyo kuchukua uongozi wa halmashauri ya majimbo hayo. Ama kweli hii ni demokrasia ya majuha na kama ni hivyo basi Katiba inayosimamia demokrasia ya namna hiyo ni yakuondolewa kabisa! Tambwe anatetea ujuha!
 
Last edited by a moderator:
The guy is almost a punk(filletlessfish), spoken by Sauper, he has nothing to tell us. We should not waste time talking about it.
 
Back
Top Bottom