Tambwe hiza, ahusisha migomo ya tanzania na chadema

Well said, Hizza katika jamii ya Tanzania ni nani mpaka aongelee mambo ya Chadema. CDM ni mfupa uliomshinda fisi (JK) yeye mbwa koko ataweza wapi? Watanganyika wameamua not about Slaa only, Slaa anatuongoza ktk mapambazo we Hizza mpuuzi kaa ujue hilo. Propaganda inahitaji watu waliobobea siasa sio wewe mchovu. Watu kama Kingunge, Kinana n.k. we hata CUF ulishindwa sasa leo una jipya. nende shule upate maarifa ya kuongea na watu.
 
kweli hizza ni km kuku, anakula asichozalisha na anazalisha kisicholiwa. hatumhitaji mtu km huyo kwenye jumuiya yetu ya kibongo
 
Hiza anatuhuma ya kujibu na kuwathibitishia Watanzania Je alipohamia CCM kutoka CUF alilala na mama yake kama alivyo ahidi kuwa pindi atakapohama CUF na kurejea CCM labda alale na mama yake! Sasa sote tumeshuhudia akilamba matapishi yake na kurejea CCM sasa swali je ilimbidi alitimiza nadhiri yake alijiwekea na shetani wake?

Sijui ni uthibitisho gani kwa Watanzania walio Makini kuwa CCM ni janga la taifa kwani limejaza kila aina ya takataka kama wakina TAMBWE HIZA na sisi watanzania wote tuna onekana wa hovyo kabisa kama anavyosema Jenerali ulimwengu,
 
Cv ya Tambwe hiza, kwanza yeye ni mtoto wa Makamba ..., kumbukeni ile mimba ya kigoma ya mwanafunzi wake, alisoma akaishia form three kule kwao Lushoto, akawa ana cheza mdumange kama alivyo baba yake , lakini kwa sababu damu ni nzito kuliko maji, makamba akamuiba kutoka lushoto akamleta Dar akawa anaishi kwa mzee mmoja wa kisambaa pale temeke mwembeyanga, baadaye akawa ni KISHOKA WA TANESCO , baadaye akaanza kujihusisha na mambo ya mpira na vuguvugu la vyama vingi likawa limeingia nchini, akajiunga na NCCR- mageuzi,aligombea ubunge wa Temeke mwaka 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi, baadaye akajitoa na kujiunga na CUF, Ditopile mzuzuri ndiyo aliyewastua CCm kwa kuwaeleza kuwa yule ni kijana wao, maana by that time MAKAMBA alikuwa hana influence kwenye chama
Baadaye baada ya Dr aliyepewa Phd na chuo ambacho hakitoi hata masters kuwa mwenyekiti wa chama, na mzee kupewa rungu fasta alimuita mwanae na kumpa kitengo ambacho hata kwenye katiba ya CCM hakipo.
HUYO NDIYE TAMBWE HIZZA MAKAMBA , RICHARD HAPENDI KULITUMIA MAANA BABA YAKE NI MUISLAM, LABDA WAMEAANZA KUMBADILISHA DINI
 
Mzee Mafix alichezewa Faul nn??!!
Maana naona hata hwafanii kabisa!!
 
Chief Masanja, unauhakika kuwa Tambwe Hizza ndo mtoto wa Makamba aliyetokana na yule Binti Mzee Makamba aliyembaka wakati ni Mwl Mkuu wa Shule ya Msingi? Kwani Tambwe ana Umri gani hivi sasa na yule binti alibakwa lini na Mwl Mkuu wake?

Isije ikawa na wewe unaleta propaganda zile zile za Tambwe zisizokuwa na kichwa wala miguu? Pls Tambwe ni kichaa lakini tukianza kumtupia matope yasiyokuwa ya kweli na sisi tutaonekana vichaa vile vile, Ningependa kupata verification ya hii habari kabla hatujaanza kumpiga mawe.
 
Cv ya Tambwe hiza, kwanza yeye ni mtoto wa Makamba ..., kumbukeni ile mimba ya kigoma ya mwanafunzi wake, alisoma akaishia form three kule kwao Lushoto, akawa ana cheza mdumange kama alivyo baba yake , lakini kwa sababu damu ni nzito kuliko maji, makamba akamuiba kutoka lushoto akamleta Dar akawa anaishi kwa mzee mmoja wa kisambaa pale temeke mwembeyanga, baadaye akawa ni KISHOKA WA TANESCO , baadaye akaanza kujihusisha na mambo ya mpira na vuguvugu la vyama vingi likawa limeingia nchini, akajiunga na NCCR- mageuzi,aligombea ubunge wa Temeke mwaka 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi, baadaye akajitoa na kujiunga na CUF, Ditopile mzuzuri ndiyo aliyewastua CCm kwa kuwaeleza kuwa yule ni kijana wao, maana by that time MAKAMBA alikuwa hana influence kwenye chama
Baadaye baada ya Dr aliyepewa Phd na chuo ambacho hakitoi hata masters kuwa mwenyekiti wa chama, na mzee kupewa rungu fasta alimuita mwanae na kumpa kitengo ambacho hata kwenye katiba ya CCM hakipo.
HUYO NDIYE TAMBWE HIZZA MAKAMBA , RICHARD HAPENDI KULITUMIA MAANA BABA YAKE NI MUISLAM, LABDA WAMEAANZA KUMBADILISHA DINI

Chiefmasanjan, haya ni ya kweli au ...............?????????????????
Huyu jamaa ana uelewa mdogo sana na msema ovyo. Nilimwona kwenye mdahalo pale ITV kwenye kipindi cha kipimajoto Ijumaa kwa kweli sikuamini kama pale alikuwa anaongea kama mwakilishi wa chama(CCM) au kama yeye binafsi. Anaongea utumbo haswa kisha anashindana na wasomi kama Dr. Mvungi
 
.....chama chochote cha siasa huzaliwa, hukua na hufa,,,,endapo haki haitendeki! HIZI NI DALILI ZA WATU WA KIJANI KUTOKOMEA MILELE NA MILELE!!!!
 
Elimu:Darasa la saba
Siasa: Mgombea ubunge(1995-NCCR;2000-TLP;2005-CUF;2010-CCM) Mara zote kashindwa
Kazi:Kupiga debe(kabla ya 1995-Madaladala;1995-2000:NCCR;2000-2005:TLP;2005-2006:CUF;2006-sasa:CCM)
Hobbies:Ushabiki wa Yanga
 
ndio maana hana argument power kumbe std 7 leaver!
 
Cv ya Tambwe hiza, kwanza yeye ni mtoto wa Makamba ..., kumbukeni ile mimba ya kigoma ya mwanafunzi wake, alisoma akaishia form three kule kwao Lushoto, akawa ana cheza mdumange kama alivyo baba yake , lakini kwa sababu damu ni nzito kuliko maji, makamba akamuiba kutoka lushoto akamleta Dar akawa anaishi kwa mzee mmoja wa kisambaa pale temeke mwembeyanga, baadaye akawa ni KISHOKA WA TANESCO , baadaye akaanza kujihusisha na mambo ya mpira na vuguvugu la vyama vingi likawa limeingia nchini, akajiunga na NCCR- mageuzi,aligombea ubunge wa Temeke mwaka 1995 kwa ticket ya NCCR mageuzi, baadaye akajitoa na kujiunga na CUF, Ditopile mzuzuri ndiyo aliyewastua CCm kwa kuwaeleza kuwa yule ni kijana wao, maana by that time MAKAMBA alikuwa hana influence kwenye chama
Baadaye baada ya Dr aliyepewa Phd na chuo ambacho hakitoi hata masters kuwa mwenyekiti wa chama, na mzee kupewa rungu fasta alimuita mwanae na kumpa kitengo ambacho hata kwenye katiba ya CCM hakipo.
HUYO NDIYE TAMBWE HIZZA MAKAMBA , RICHARD HAPENDI KULITUMIA MAANA BABA YAKE NI MUISLAM, LABDA WAMEAANZA KUMBADILISHA DINI

Elimu:Darasa la saba
Siasa: Mgombea ubunge(1995-NCCR;2000-TLP;2005-CUF;2010-CCM) Mara zote kashindwa
Kazi:Kupiga debe(kabla ya 1995-Madaladala;1995-2000:NCCR;2000-2005:TLP;2005-2006:CUF;2006-sasa:CCM)
Hobbies:Ushabiki wa Yanga

Nilichotaka ndiyo hicho JF, japo zinatofautiana ni kidogo sana. Huyu jamaa ningemshauri aende shule akaanzie nursery.
 
Mwanaume ukishakuwa na tabia ya kuingiliwa kinyume na maumbile matokeo yake ndiyo hayo. HUYU TH NI PUNGA hivyo msihangaike naye bado kutiwa mimba tu huyu.
 
Nani asiyejua Tambwe Hizza mganga njaa na nyemelezi anayeweza kurukia chama chochote ili mkono uende kinywani ni mgumu wa kujifunza, sijui ni kutokuwa na uelewa na elimu ndogo au kuzidi kujipendekeza ili aongezewe malipo yatokanayo na mabaki ya ufisadi??

Hivi karibuni alikaririwa akimshambulia Katibu wa CHADEMA Slaa (PhD) akisema 'ninachoweza kusema kwa sasa ni kwamba kiongozi huyo (Slaa) amepandwa na wazimu, alichobakiza ni kuvua nguo...amechanganyikiwa na ndiyo maana anatapatapa kutafuta lolote la kusema'

Tuwe wakweli jamani, hivi kati ya Dk Slaa aliyemtingisha hata bosi wake Jakaya Kikwete na KIDAMPA kama Hizza nani anakaribia kuvua nguo?? Nani hajui kuwa Hizza alijivua nguo alipojiunga na CUF na kutimua baada ya kushindwa ubunge??

Kwanza sijui kama maneno hayo ni ya Hizza au Martin Shhigella au Salva Rweyemamu ambao sawa na Hizza wameonyesha uhuni haumtoki mtu ukishamuingia....maana uhuni ni uhuni hata kama anayefanya anatetea ikulu au chama tawala.

Kuna haja ya kujiuliza ni kwa nini Hizza anatetea madaraka Chamani. Nadhani ingawa CCM imekuwa ikishutumu vyama vingine ukabila, Hizza anafanya hivi kutokana na kuwekwa alipo na mtu wa kabila lake Yusuf Makamba ambaye baada ya kumpachika mwanaye serikalini na chamani ameonyesha wazi anavyotumia madaraka yake kwa ajili ya familia na hata kabila lake.

Niliwahi kumtaka Hizza na Makamba wanipe vigezo vitatu tu vya kufungua ofisi ambayohata kwenye katiba ya CCM haimo, ya propaganda, bahati mbaya kutokana na ukweli na uzito wa hoja yenyewe waliingia mitini na kunywea.

.........Ndio, Mbwa ili alipwe lazima awinde au hata kubweka kama afanyavyo Hizza. Ila kwa umri wake huku ni kuchelewa kukomaa kiakili na kisifa kama mwanaume.

kwa nini Hiza haoni ukichaa wa mjomba wake aliyechekelea mauaji ya Arusha asijue kila mtu atakufa? MBONA CHADEMA HAWAKUCHEKELEA KUANGUKA ANGUKA HOVYO KWA MWENYEKITI WAKE?

Laiti angekuwa na elimu lau akatumia busara kujua hata mambo madogo ya kisheria lakini hakuna haja ya kumshangaa au kumwonea Hiza kutokana na SHULE KUMPIGA CHENGA na hii ndio maana hata hiyo ofisi ya propaganda na zile za wilaya zimejaa vihiyo wasio na usomi wala busara.

Hivi kati ya bosi wake Hiza na Slaa nani anakaribia kuokota makopo? Arejee anavyosakamwa kukisambaratisha chama kutokana na kupayuka hovyo huku huku akiwatumia wahuni na vihiyo kama Hizaza kuchafua hewa chamani.

Hizza amesahau kuwa kampeni zimeisha hata waganga njaa wenzake akiwemo yule MTABIRI MWONGO na mashehe wengine njaa bila kusahau maaskofu njaa wamejua kuwa wakati wa kugeuzana mradi umepitwa na wanachoongea kinafuatiliwa kwa makini!

Je! Kwanini CCM wanapenda kumtumia Hizza na si watu wenye akili angalau na mashiko hata kama ni mafisadi?

Wengi wanajua Hizza baada ya kuukosa Ubunge na kuwa na kisomo kidogo kiasi cha kutoweza kuajiriwa alijirejesha CCM kama mbwa koko afanyavyo baada ya kudokoa kwa aliyemfuga? Siku zote nimekuwa nikitahadharisha kuhusiana na siasa za ukuku, ufisi na umbwa, Kuku hula asicho zalisha na hUZALISHA ASICHOKULA, HIZZA ANAKULA PESA YA WALIPA KODI NA ANAZALISHA MIGONGANO.

Kama tungekuwa hatuna adabu kama Hiza basi tungemshambulia mwenyekiti wake kutokana na kuishiwa hadi hata umoja wa watoto wa chama chake kuanza kutoa matamko makali baada ya mumwona kimya na hafai hata kidogo.

Kwa nini Hizza hashupalii Dowans? Kwa sababu hawezi kukata mkono unaomlisha yeye na bosi wake na yule mhuni mwenzie wa Ikulu.

Bwana Hizza kama propaganda zimewkushinda si uende kwenu Lushoto kujifunza lau uganga kuliko huo uganga njaa?Hivi siku mjomba wako akitimuliwa utaondoka naye kama mwana wa kufikia au utadandia chama gani?

Watanzania mdharau Hizza ...............isitoshe angekuwa amekwenda jando kichwani na si kukeketwa basi tungemchukulia kwa uzito wa ziada............

NKWAZI MHANGO

DIRA YA MTANZANIA TOLEO NAMBA 070 UK 17

Mbona sioni tofauti ya argument kati ya huyu mwandishi 'maarufu' na huyo Tambwe Hizza, the only big and open difference ni kuwa mmoja ni pro Slaa, mwingine ni kinyume chake...Maana hata huyu mwandishi naye katumia sehemu kubwa ya makala hii na nafasi adimu sana katika gazeti kutoa hoja za matusi, kama alivyofanya Hizza!!!!!!!! Unategemea Hizza anaweza kujifunza kitu hapa!!!
 
Halafu pia kusema kuwa Dira lamchanachana Tambwe Hizza, wakati ni opinion feature sidhani kama ni sahihi sana, it is more or less than ushabiki hivi, tuwekeni nondo za muhimu ili watu wajinga kama Hizza waweze kuelimika na kukubali hata kama ni kimoyomoyo. La sivyo tutakuwa hatuweki tofauti 'yetu' na 'wao', lazima mstari kati ya mwerevu na mjinga iwepo clear any one can c t
 
Back
Top Bottom