Tambua kipaji cha mwanao mapema.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Hivi kama Mzee Hamza Kalala angemkataza mwanae huyu Kalala Junior asichezee vyombo vyake vya mziki kipaji cha kijana huyu kingechelewa kuonekana au kisingeonekana kabisa.Wazazi tambueni mapema vipaji vya watoto wenu na muviendeleze.
 

Attachments

  • 028.JPG
    028.JPG
    35.7 KB · Views: 94
Back
Top Bottom