Tambaza Taifa Kubwa!!

Ni kweli, A-Level Azania walikuwa vibonde. Lakini O-Level ni vizuri umekubali Tambaza walikuwa wanateswa.

Kulikuwa na pointi saba Azania kila mwaka, Abdil Rashid, Frank Minja, Omary Mtiga... just being objective

Hiyo ndio Azania babu miaka yetu.....
 
...Well sijui lolote kuhusu Tambaza kwa kifupi sijui mengi kuhusiana na shule nyingi za mjini hapa

Mkuu wakati wewe uko 22 probably mimi nilikuwa nachezea bakora za first lady darasa la tatu.

I know, I know, ulienda IST, as per your entries in the IST thread. Lakini sijui ulienda lini huko maana huyo first lady alifundisha Mbuyuni!

By the way, wakati wa utoto ndio IST ilikuwa ikionekana magoli. Lakini looking back sasa hivi naona ni bora nimesoma shule zetu za Uswai, I'm so ever proud of the education I got, kuliko huko mlikokuwa mnasoma na Wazambia, na Wa Nigeria na wa Wa Russia. Kuanzia msingi mpaka sekondari nimekutana na Watanzania wenzangu, walimu na wanafunzi ambao baadhi nimejenga nao udugu maisha. Kwa kujichanganya na Wabongo kutoka nyanja na hali zote za maisha nimejifunza mambo kibao, tabia zetu, utamaduni wetu, lugha yetu, matatizo ya elimu yetu, na kujua Watanzania wanavyofikiri. Na kama ni hiyo lugha ya Kiingereza ya IST, sidhani kama kuna Mnigeria au Mrusi nitakutana nae sasa hivi atanitingisha na kiingereza mdosho cha Abuja!
 
Sijasema nimesoma IST ebo!! kuwekeana maneno mdomoni.
 
Sijasema nimesoma IST ebo!! kuwekeana maneno mdomoni.

Ha haaaa aaaaa aaaaaaaa

Sasa mwanangu ilitaka kuchukua ujiko wa bure ukajisahau ukataja mwalimu wako Mama Kikwete wa Mbuyuni?

I guess ulikuwa unazuga maana hawa watoto hapa sijui umewajuaje, ulikuwa unawasubiri getini IST, hanh?

Darwin unawakumbuka wale Zambian sisters Comfort na Joyce kama sikosei? one of the Moshas(yuko NY), Seame na kaka yake?
Mkuu ulifanya MUN na IAS?

Sasa Yo Yo wewe umeondoka darasa la mwaka gani?

Go Twigas

Toleo la tatu la Alumni Newsletter linatoka karibuni. Yo Yo nategemea ushajiregister kwenye Alumni Association.

Huyu ni yule wa Vancouver? wewe ulisoma na kina Lara, Kristine, Aisha sykes, Ikechukwu?

Eti "sijui lolote kuhusu shule za hapa mjini." Watu wengine hawako comfortable na background zao. Again, I am terribly proudful of the good old homespun Tambaza's and the Mzizima's and the Azania's and Mgulani's, and Mlimani Primary and Mtendeni and Gerezani and tuition za madarasani Magomeni Primary and what have you...
 
Ha haaaa aaaaa aaaaaaaa

Sasa mwanangu ilitaka kuchukua ujiko wa bure ukajisahau ukataja mwalimu wako Mama Kikwete wa Mbuyuni?

I guess ulikuwa unazuga maana hawa watoto hapa sijui umewajuaje, ulikuwa unawasubiri getini IST, hanh?

Eti "sijui lolote kuhusu shule za hapa mjini." Watu wengine hawako comfortable na background zao. Again, I am terribly proudful of the good old homespun Tambaza's and the Mzizima's and the Azania's and Mgulani's, and Mlimani Primary and Mtendeni and Gerezani and tuition za madarasani Magomeni Primary and what have you...

Wacha kuruka ruka, weka quote niliyosema nimesoma IST, isitoshe sijataja shule niliyosoma ila kwa kutaka kunishushua umekimbilia kuassume kuwa nimesoma IST kwa sababu nimemuuliza Darwin kuhusu baadhi ya wanafunzi SMH. Na kwa kurudia tena sijui lolote kuhusu Tambaza kwa sababu sikusoma hapo na sikuwa na rafiki yoyote aliyesoma hapo.

Mama Kikwete hakuanzia wala kumalizia career yake ya kufundisha Mbuyuni.
 
Mama Kikwete hakuanzia wala kumalizia career yake ya kufundisha Mbuyuni.

Ulifundishwa na Mama Kikwete, umesema. Nikasema mbona Mama Kikwete kafundisha Mbuyuni, sio IST?

Unasema teaching career yake yote haikuwa Mbuyuni Primary peke yake.

Kwa hiyo unataka ku insinuate kwamba at some point Mama Kikwete alifundisha IST???? Popote alipofundisha zaidi ya Mbuyuni au IST, if ever, is besides the point. Mama Kikwete alifundisha IST ipi, lini? This is humorous!!
 
Wakubwa.... hii thread ipambeni kwa mambo ya Tambaza, where Jabali la muziki was there, akina footballers na other celebrities plus academics wamepita; wajanja na mafisadi!!! Talents na all egos plus the real Gs wa miaka yote

late eighties were fantastic to be o level student at TAmbaza, compounded by the crazy double shif in 1988, crazy boys etc. etc... the A-Levels were respected yes unfeared!!!

I remember when danida installed new lights and re-wiring of the school only to last for few months

Thats TAmbaza too
 
Ulifundishwa na Mama Kikwete, umesema. Nikasema mbona Mama Kikwete kafundisha Mbuyuni, sio IST?

Unasema teaching career yake yote haikuwa Mbuyuni Primary peke yake.

Kwa hiyo unataka ku insinuate kwamba at some point Mama Kikwete alifundisha IST???? Popote alipofundisha zaidi ya Mbuyuni au IST, if ever, is besides the point. Mama Kikwete alifundisha IST ipi, lini? This is humorous!!

Kwa mara nyingine onyesha niliposema nimesoma IST. Wacha kuharibu thread. Hayo ya mama kikwete kufundisha IST umeyasema wewe sijayasema (nimesema hakuanzia wala kumalizia Mbuyuni kwa hiyo anaweza akawa amenifunidha Kawe au Lindi.) naona unataka kuleta ubishi wa Yanga na Simba na kuniwekea maneno mdomoni.
 
Last edited:
Yakhe, mbona mihasira namna hiyo eh? Well sijui lolote kuhusu Tambaza kwa kifupi sijui mengi kuhusiana na shule nyingi za mjini hapa unless nilikuwa nafuata chicks (Jangwani, Zanaki, Shaban Robert na Mzizima). Ila nakumbuka jinsi cousins wangu walivyokuwa wanaogopa kwenda shule kisa wanafunzi wa Tambaza wanatishia kuwafanyia fujo eti hao ndio viongozi wetu siku zijazo.

Mkuu wakati wewe uko 22 probably mimi nilikuwa nachezea bakora za first lady darasa la tatu.

Mkuu, comment yako ile ya awali ulileta kimadongomadongo hivi... niliijibu within my capacity sikutaka kuwa out of the way and so unproportional (kwani hili linawezekana pia). Hivyo mkuu hamna cha hasira wala nini, am just an easy going person... it's the last thing on my mind anyway kukasirika bila mpango kwa vitu vidogo kama hivi. Usijali ndugu.

Btw, pole sana kama ndugu zako walikuwa wanatishiwa au kama walikuwa wanaogopa tu watoto wa Tambaza as we used to walk in groups, it was natural at that time. Tulikuwa stereotyped vibaya mno kwa kweli... but the truth of the matter kwa mfano tulikuwa beneti mno na hata hao tuliowaita vibonde vyetu, a.k.a Azania. Mimi hapa mwenyewe nilikuwa na jamaa zangu kibao pale. In fact kuna siku nyingine nilikuwa naenda kupata msosi pale na kukaa nao kwenye mabweni yao. Bila kusahau zile chips dume za Azania... hamna tena Bongo penye chips dume kwa wakati ule kama pale. Ushirikiano kati ya Tambaza na Azania academically ulikuwa kiboko. Wasongo walikuwa wanakutana na kushindana kushuka maformula ubaoni... it was really great fun however daunting it seemed at that time!
 
Kinnega na Eqlypz chuneni wakuu.... imetosha. let's have peace na tuendelee na stories za ATC!!

Stories za IST inabidi nikae nazo kando mimi maana nikiziongelea nitabumbuluka, i knew a few peeps out there. Ni mtego kuongelea. Shtum.
 
Wakubwa.... hii thread ipambeni kwa mambo ya Tambaza, where Jabali la muziki was there...

MTM,

Nimekusikia mkuu wangu, kuna mtu wa IST hapa alidai hajui cha Tambaza wala cha shule zetu kumbe anazuga.

Huyo Marijani Rajabu ni moja ya wanaosimama juu ya orodha ya Hall of Fame ya Tambaza alumni. You know, Marijani holds the distinction of being the one Tambazan ambae wanafunzi waliokuja nyumba yake walikuja kumsoma madarasani. In fact, shule zote nchini, well of course except the IST students, (excuse the pun!)

Mid eighties, mtihani wa Taifa wa Kiswahili form IV, tambala la "Mwanameka" lika show up word for word ndugu yangu. From that day on, Marijani Rajabu has remained in the annals of academician's most memorable NECTA exams ever written.

Mwanameka eeeh, eeeeh! Mwanameka Jirani Yangu...

Ukabadili na njia eee, lazima upite kwa Musa
Ukenda sokoni kwa Musa....
Musa amevumilia eee, mwisho kapotea njia
Kakusimamisha bila kutambua, akazungumza neno la mapenzi

Kwako wala habanduki, kwa mkewe hakumbuki
.....
Mara Musa humtaki, hata kumuona hupendi
....
Jama Musa ameumbuka, kakosa mwana na maji ya moto
....
Hakuliki wala hakulaliki, mpaka Musa akatoa talaka
....
Ooo bwana Musa hatokushau mpaka kufa
Tena amekwisha apa, mambo ya upuuzi hataki tena
Kesha umwa na nyoka, akiona unyasi....

You finish that, old timer... Hahahahaaaaa!

Watu wakaulizwa, kukosa mwana na maji ya moto maana yake nini? Wakasua sua, manake, as you know, huwa hakuna A za Kiswahili! (Oh, wait a second, kuna mutu moja iko kwenye Hall of Fame ya Tambaza Alumni in the eighties ikiitwa Benedict Ndomba ilipata A ya kiswahili, na nyingine zote, of course, hahaha aaaa aaa! Akarudi A-level pale pale, halafu akaenda UDSM for Electrical Engineering, sijui iko wapi hii namba sasa hivi.
 
Mara ya kwanza niliposoma comments zake nilifikiri ni mtu wa Kinondoni Muslim, lakini kila nilipoendelea yawezakana kabisa mazee yule alisoma ile shule ya Almuntanzir pale Upanga... sijui kama spelling nimepatia. Ni shule fulani hivi wanafunzi wake walikuwa hawawezi kukatisha barabara pale UN road bila msaada kutoka kwa traffic police kutoka Salander bridge. Wanafunzi wa kike walikuwa wanavaa full cover, dizaini dizaini zile mtu unaweza kukutana nazo ukiwa Kabul.

KadaMpinzani naye nahisi alisoma shule hiyo... ngoja aje hapa a-substantiate... lol

Jamaa (GT) kasoma Masjid Qubah pale sijui Sinza au Kijitonyama ile....
 
marijan rajabu it is said was so much into music that O levels alitoka na F tupu.I am not sure about this,hood yetu which includes tambaza this story has been making its rounds for years
 
Mara ya kwanza niliposoma comments zake nilifikiri ni mtu wa Kinondoni Muslim, lakini kila nilipoendelea yawezakana kabisa mazee yule alisoma ile shule ya Almuntanzir pale Upanga... sijui kama spelling nimepatia. Ni shule fulani hivi wanafunzi wake walikuwa hawawezi kukatisha barabara pale UN road bila msaada kutoka kwa traffic police kutoka Salander bridge. Wanafunzi wa kike walikuwa wanavaa full cover, dizaini dizaini zile mtu unaweza kukutana nazo ukiwa Kabul.

KadaMpinzani naye nahisi alisoma shule hiyo... ngoja aje hapa a-substantiate... lol

Haya ndiyo matunda ya kusomeshwa na NDOSI

kichwani ovyo kabisa...itabidi nimwalike nimwambie tazama thotho ulilolisomesha tution pale muhimbili

Kusema ukweli mimi sijasoma Al Muntazir..lakini nilikuwa nampeleka dogo mmoja pale

Ni kweli watu walikuwa wanavushwa..sidhani kama kuna ubaya kwa mkubwa kumjali mdogo...mie skuli niliyosoma inaitwa THAQAFA kama ushawahi kuisikia ... baadae nikashindwa ushamba wao nikahamia KIMBWELI nyie mnapaita KINONDONI MUSLIM kwa shariff au watoto wa mjini wanapaita KINONDONI MUSLIM SHARRIFF..enzizilekijanindio ilikuwa imetawala sana

Nikashindwa nako maana mikwaju ilizidi lakini kwa kukumbusha tuu ni kuwa mimi nimesoma na akina HAMIDU MACHUPA, SHUSHU na BEDA ambao dingi wao alikuwa ndiye owner wa Langata na walikuwa wanaishi Mikocheni karibu na kwa mzee Muhaji

una la zaidi?
 
Mie nilikuwa enzi za Headmaster Kaaya pale, namkumbuka Hassani nilisoma tution yake pale ubungo, alikuwa anabania kufundisha vizuri skul, ila ukienda tution anatoa materials si mchezo. Ticha chale alikuwa mkali wa bios practical, academic master Kagaruki alikuwa ananiacha hoi pale vifaa vya usafi anaaviita apparatus.
Nilikuwa Hostel pale tambaza, basi tulikuwa tunatoroka kwenye tobo kule nyuma kwenye mnara wa simu kuna seng'eng'e ilikuwa imetoboka, lilikuwa tobo la kupitia ili yule matron asituone tunavyoenda kununua viepe muhimbili.
I remember those days, I wish zingerudi.
 
hahhahahaha mwalimu chale nilikutana nae nilivyoendaga kuchukua vyeti vya ndugu yangu, alikuwa ame base kwenye lab ya biology, alikuwa kituko mdomo mziiito , unakumbuka mikwara yake?
Kweli kabisa Chale alikuwa kituko kweli kweli, mdomo ulikuwa mzito kweli. Haswa sisi wakina dada tukiwa tunamuongelesha. ILa mimi namuaminia kwenye practicals za bios alikuwa anaelekeza vizuri, vile vile alikuwa najua jinsi ya kufanya kazi yake ya lab technician.
 
MTM,

Nimekusikia mkuu wangu, kuna mtu wa IST hapa alidai hajui cha Tambaza wala cha shule zetu kumbe anazuga.

Duh bwana Kinnegative bado unarusha cheap shots tuu? Ukiombwa uthibitisho unaruka ruka.

Mods, naona nawekewa maneno mdomoni na muungwana kagoma kuyathibitisha.
 
Pia nawakumbuka watu kama akina Shetani, Anaza Man, Big Papa na wengine maharufu sijui siku hizi wako wapi. James Mbatia aligombea u-head prefect na kijana wa O'level Chota akashindwa vibaya sana
 
Si haba wana mmenikumbusha mbali sana, kuna akina Bakhresa lazima wagombanie mikate ndio waingie class, miaka yetu alikuwa Mama Nkya huyo anatinga na mkasi assembly na kupiga X katika kila kichwa mkasi utakapozama.

Kali kuliko zote, nakumbuka wakati ndio tunalipoti tu Tambaza siku ya kwanza masela wa kidato cha III walitinga na nguo za nyumbani katika madarasa ya group II na kujitambulisha kama walimu na kutoa exercise na kukusanya counterbook zote za njuka na kula kona siku ya pili tunakutana mesi wanagombea misosi. Enzi hizo hakuna private kuna taasisi tu jamaa wanarudia mitiani mpaka wafaulu wanakuwa mibaba tayari.
 
Tambaza's famous sons include the late Mohamed Amin,he was instrumental in them 'Live Aid'concerts after highlighting the plight of the ethiopian famine.John Garang,guerrila leader and ex vice president of sudan,and Joseph KABILA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom