Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Nipo kwenye tamasha la miaka 50 ya uhuru lililoandaliwa na TBL chini ya udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager. Wapo Twanga Pepeta na wasanii mbalimbali wa music hapa Moshi wanatoa burudani. Pia wapo wasanii wa movie akina Kanumba, Rey na wengine kibao. Pamejaa sana na machangudoa ndio usiseme. Nitaendelea kuwajuza