tamasha la fiesta

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
naona kila mwaka linazidi kupungua umaarufu wake mwaka huu sijui watamleta superstar gani wa ulaya aliyefulia
 
Ja Rule, Busta, Lil Kim, Ludacris wote wamekuja Tz wameshachuja!
Ni sawa na kuwapandisha stejini Wagosi wa Kaya, Sos B, Manduli Mobb, BDP, kwa miaka hii halafu uwalipe pesa nyingi kwa nyimbo za miaka ya 90's

Hapa utagundua wanasakaa wasanii wa bei chee USA waliofuria ndio wanao waleta!
Hawana ubavu wa kuwaleta wasanii walio kwenye chati
 
sema natumia simu ningekugongea like mkuu
 
Labda unieleze Luda umeanza kumjua mwaka gani? (2000)
Hajachuja kw sasa ana hit na nyimbo zipi? Ku hit kwa nyimbo hakukuguarantee kutokuchoka
Kwenye billboard anashika nafasi ya ngapi? (Bilboard si ishu)
 
2000 wimbo upi uliomtangaza katika Ulimwengu wa sanaa hii?

Sasa kama hana hit track anakuja Tz kupiga show kwa nyimbo za kipindi gani?

Kama billboard sio inshu basi wangemleta Lil Wayne, Drake au Kanye West

Unajaribu kufananisha umaarufu wa Messi kwa sasa na Zicco?

Ronaldo Christin na Romario?

Gharama ya kumleta nani itakua chini kati ya Ludacris na Lil Wayne?
 
Fiesta imezikwa na kina Sebastian Maganga. Huyu ndiye anayeongoza kwa kuchapisha tiketi feki halafu anajifanya kujipendekeza kwa Jo. Jamaa alifaa apigwe chini kabisa kwasababu anaihujumu kampuni kwa kiwango cha hatari sana.
 
Hata kampuni binafsi kuna uchakachuaji ? Nilidhani hayo mambo yapo kwenye ofisi za Umma tu.
 
Fiesta imezikwa na kina Sebastian Maganga. Huyu ndiye anayeongoza kwa kuchapisha tiketi feki halafu anajifanya kujipendekeza kwa Jo. Jamaa alifaa apigwe chini kabisa kwasababu anaihujumu kampuni kwa kiwango cha hatari sana.

hata kwa mashabiki mvuto hakuna mbona
 
usintanie,who is drake kwa Luda?Drake ni kama Shetta,Luda ni kama Jmo.So ni level tofaut..

Sasa kama Ludacris ni sawa na Jay Moe

Kwa nini wasimtumie Jay Moe sasa katika show zao za Fiesta na wamtumie Shettah?

Je unazani gharama ya kumlipa Shettah kwa shoo ni sawa na Jay Moe?
 
usintanie,who is drake kwa luda?drake ni kama shetta,luda ni kama jmo.so ni level tofaut..
drake yuko juu kwa sasa kuliko luda hilo halina ubishi marekani si sawa na bongo marekani mtu akiwa ana hit kwa sasa sio wa kumshika kwa kweli ngoja nikupe mfano mdogo ludacris ana charge usd 75,000 per verse ukitaka kumshirikisha wakati juzi niliona twitter ya kanye west anasema ukitaka kumshirikisha 2-chainz ni usd 100,000 per verse wkati ya luda na 2 chainz nani msanii mkubwa ? Iweje 2 chainz achaji more kuliko luda?? JIULIZE? Unakumbuka ugomvi wa piers morgan na madonna ni kuwa piers morgan alikataa kumualika madonna kwenye kipindi chake akiogopa kuwa hatapata watazamaji kwanini piers morgan alisema "we have lady gaga now" ?? JIULIZE tusishabikie vitu tusivyovijua ila ukweli ndio huo waendelee kumleta shaggy u.s.a unafikiri nani anataka kumsikiliza shaggy? wanakwambia we have don omar now hawana hela ya kumleta don omar, fabolous ana nyimbo gani ya hit?? Mdau aliyesema kuwa billboard sio inshu namshauri aendelee kusikiliza bongo flava asiongee vitu usivyovijua matokeo yake unaongea pumba mbele ya hadhira
 
Back
Top Bottom