Tamasha la Fiesta wanalipa kodi?

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Kuna tamasha la Serengeti Fiesta linarabitiwa na clouds media wanazunguka karibia miji mikubwa yote Tanzania bara swali langu je viingilio vya getini vinalipiwa kodi yaani maafisa TRA wa mikoa husika wanahakikisha mashabiki wa mziki wanapewa tiketi zile zenye nembo ya TRA? Kama tunazo pewa madukani? Au ni huruma tu serikali imeamua kufumba macho kwa vile clouds media walihusika kwa nguvu zote kukipigia debe chama tawala? Mbona mashabiki wa mpira wanalipia kodi iweje hawa wa mziki wasilipie?
 
Kama hadi leo wawekezaji wa migodini hadi leo hawalipi kodi, ndo walipe Fiesta!!!
 
Back
Top Bottom