Swali langu;
Anayehatarisha amani ya Tz ni nani? Anamaanisha tuikatae serikali yetu? Maana polisi ndio wanaohusika hapa kutokana na mauaji, ubambikiziaji makesi, kuhusika na wizi nk. Ikumbukwe huyu RC ndiye alikataza mikutano ya siasa hapa Dodoma saa chache baada ya halaiki ya watu kujitokeza kumpokea mbunge NASSARI kwenye viwanja vya barafu
angemuuliza kwanza mama salma alichokikuta kwa wototo wa shule moja ya msingi walipompokea kwa peopleeeeez......
Hii imetokea ucku wa kuamkia jana katika uwanja wa jamhuri Dodoma ambapo RC Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi katk kukabidh gar kwa mshindi wa fiesta.
Alipanda jukwaani na kusema "Dodoma hoyee" watu wakawa kimya isipokuwa wachache ndiyo waliitikia! Alipowapungia alinyoshewa alama ya Vidole wawili inayotumiwa na CHADEMA.
Kilichonishangaza ni pale aliposema "TUDUMISHE AMANI ILIYOPO KWA KUWAKATAA WALE WOTE WANAOHATARISHA UWEPO WAKE! DODOMA NI SALAMA KWA SABABU YA AMANI"
Swali langu;
Anayehatarisha amani ya Tz ni nani? Anamaanisha tuikatae serikali yetu? Maana polisi ndio wanaohusika hapa kutokana na mauaji, ubambikiziaji makesi, kuhusika na wizi nk. Ikumbukwe huyu RC ndiye alikataza mikutano ya siasa hapa Dodoma saa chache baada ya halaiki ya watu kujitokeza kumpokea mbunge NASSARI kwenye viwanja vya barafu
RC anaenda kwenye Dansi la watoto kufaya nini?
kwa hiyo akienda disco akaangalie masaburi ya akina aunt ezekiel na vijana wengine ni sawa.ni wapi inapokatazwa mtu mzima kwenda disco
huyo mtoto hana akili kama baba yake.Hata mtoto mdogo atakwambia ni chadema, licha ya watu wazima tuliokuwepo kabla ya chadema.
hawa ndo viongoz we2 cha kushandaza ana phd..apa cjui ni ya mipasho...
angemuuliza kwanza mama salma alichokikuta kwa wototo wa shule moja ya msingi walipompokea kwa peopleeeeez......
RC anaenda kwenye Dansi la watoto kufaya nini?