Tamaa ya wachaga ilianza zamani sanaa.....

Unaudhibitisho gani alimsaliti mwalimu?
Na kumsaliti mtuu ni TAMAA?
Kuna tamaa za aina 2, tamaa ya maendeleo na isiyo ya maendeleo.
SASA: Jadili kwa nn tuna maendeleo ya hali ya juu mpaka yakakuumiza akili ukaanza kujenga hoja hewa?

Ushari: Ukiona mtu ana endelea, roho isi kuume ila jifikirishe zaidi.
 
Waache waendelee kuhangaika na wachagga badala ya kufanya kazi kwa bidii. Mtabaki mkiwajadili wachagga wakati wao wanapiga hatua kwa kasi ya ajabu.
 
Pia endelea kujifaraji na vi IDs vyako viiiiiingiii, inaoneka we ni maskini sana wa kufikiri, yaani HEADING ya uzi na ulicho andika ni tofauti!!
Tuma post nyingine ya 4giveness na uombe radhi wana jf kwa upotoshaji.

NAOMBA MODS MU USOME HUU UZI UMEKAA KICHONGANISHI NA HAUNA PICHA HALISI YA KUJENGA!!
Nawasilisha.
 
Unaudhibitisho gani alimsaliti mwalimu?
Na kumsaliti mtuu ni TAMAA?
Kuna tamaa za aina 2, tamaa ya maendeleo na isiyo ya maendeleo.
SASA: Jadili kwa nn tuna maendeleo ya hali ya juu mpaka yakakuumiza akili ukaanza kujenga hoja hewa?

Ushari: Ukiona mtu ana endelea, roho isi kuume ila jifikirishe zaidi.
kuua ni maendeleo? na kuchanyatana na wazazi/watoto wako ni maendeleo pia? kuchanyata mke wa mwanao ni maendeleo? kweli mmeendelea sana.
 
Waache waendelee kuhangaika na wachagga badala ya kufanya kazi kwa bidii. Mtabaki mkiwajadili wachagga wakati wao wanapiga hatua kwa kasi ya ajabu.
hivi nyie mnajidai mmeendelea kwani huko kwenu hakuna maskini? mbona arusha wamejaa machangu kibao wa kabila hilo. hata pale kona bar. kweli mmepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.
 
kuua ni maendeleo? na kuchanyatana na wazazi/watoto wako ni maendeleo pia? kuchanyata mke wa mwanao ni maendeleo? kweli mmeendelea sana.

JIBU NILICHO KUULIZA na sio unauliza maswali ya kidaku, hapa ni greater thinkers na sijui ww ulitokea wap! jibu hoja kama ww ni muungwana, always question need ans!!
 
hivi nyie mnajidai mmeendelea kwani huko kwenu hakuna maskini? mbona arusha wamejaa machangu kibao wa kabila hilo. hata pale kona bar. kweli mmepiga hatua kubwa sana kimaendeleo.

Ulisikia machangudoa ni maskini?
Na Arusha wote ni wachaga, kumbe hata hujielewi wewe!! Kwa hiyo na machungudoa wote wa dsm ni Wazaramo???
TUTAWANYOOSHA SAAANA!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom