Tamaa mbaya: Afumaniwa ndani ya gari...

mwanamke ahata umuachie mshahara wote na ukawa unatoa hela ya matumizi kila siku ni bure kwa mwanamke aliyeamua kwenda nje ya ndoa na hili ni pepo na wanawake wengi wako hivyo
 
Kuzini siyo njia ya kutatua matatizo,kama kuna ushaidi wa kutosha kwa fumanizi hilo ni bora waachane,ila mme atunze watoto wake.
 
Eeeh! Mungu inusuru ndoa yangu. Sijui pesa ninayomwachia mke wangu inatosha!!!!.
Kwa kweli ajidhaniaye amesimama na aangalie asianguke.
Wanaume nao siku hizi wamezidi ubahili. Hasa hawa wanaotoka asubuhio kwenda job na kurudi jion. yeye kwa kuwa ana uhakika na kunywa supu na lunch safi huko kazini anachojua yeye kuacha buku tano (siku hiyo katoa sana) otherwise ni buku 2 au nothing. Sasa kwa mama anayezalishwa kila mwaka hana kazi, anabaki home na vitoto vimemtolea macho siku nzima anakuna akili hata hajui afanyeje akiomba pesa iongezwe mume anakuja juu na ugomvi unaanza. Hii ni social problem. Mi nawashauri wamama wenye masaibu ya aina hii wafungage uzazi ili waweze kujimudu wao na watoto wao ambao tayari wanao. Othertwise tutaendelea kuudhalilisha utu wetu na jamii haitatuelewa kumbe kuna mzizi wa tatizo ambao hauonwi.
 
5,000.00*30 (days)=150,000.00 per monthmshara wa askari average ni laki tzs 200,000.00 so 200,000.00-150,000.00=50,000.00askari chakula akiwa kazini 1500*22 days=33,000.00morning tea 500.00*22=11,000 33,000.00+11,000.00=44,000.00 50,000.00-44,000.00=6,000.00sukari sabuni, mavazi, nauli nk,sasa jamani katika hali hii nani alaumiwe??,mambo mengine mnalaumu tu!!!no comment on this storynapita tu!----miafrika ndivyo ilivyo''serikali oneni aibu lipeni watu wenu vizuri kwani na wao maisha mnayoishi na wao wanayataka''
 
kazi ya askari ni kuhudumia nyumba ndogo lakini familia inaadhirika, ndio maana watoto wengi wa askari hawaendi shule kwa ajili hawajali
HAROOO NITAKUARESTI WEWEEEE..WHACHA ILO LIMANENO LAKO POTI!Watoto wetu hawaendi shule eehh na sisi hatuendi shue eehh.Ndio maana hata JK ajawahi kuteua polisi na magereze kuwa MaDC na MaRC? oooooh sasa nauelea poti..Kesho naanza smasomo ya jioni
 
Kuna kituko kimetokea hapa Moshi mitaa ya double road jion hii, askari amemfumania mkewe akiwa na katoto kao kachanga 6 mnths, wakifanya ngono na dereva tax bubu ndani ya gari....! Mwanamke anamuwakia mumewe anamwambia yeye ndie chanzo manake haitunzi familia na hawezi ona wanae wakifa njaa so anaongeza kipato na mume anamlaani mkewe kuwa haridhiki eti elf 5 kila cku haitoshi au anataka ampe mshahara wote, mke anadai elf 5 ni per week na ako na family ya watu 8? Huyu dada anaongea kwa kujiamini mpaka nashangaa...ila nimebaki na maswali kichwani, NI KOSA LA NANI HAPO MUME? MKE? Au......!

Sidhani kama ni kituko hiki, bali ni kiashiria cha matatizo ya umaskini unaowakumba asilimia kubwa ya watanzania. Polisi analinda Dola lakini halipwi hela ya kutosha kuhudumia familia yake. Mama na mto ni lazima waishi njia pekee ni kukimbilia kwa huyo taxi driver ili mkono uende kinywani. Tatizo la huyu mama ni kuwa hafanyi kazi ofisini angekuwa anafanya kazi ofisini angekwapua kwenye kasma fulani labda shimiwi etc maisha yangeenda.

Mimi nimejifunza kuwa polisi inabidi wajue kuwa watu wanaposema hakuna maisha bora maana yao ndio hiyo huku unazuia maandamano yanayajaribu kuweka mambo ya watanzania sawa huku wenzio wanafaidi kwa mama. Kama angetumia kura yake vizuri Oktoba mwaka jana labda mshahara wake ungekuwa na afadhali na yote yasingetokea.
 
HAROOO NITAKUARESTI WEWEEEE..WHACHA ILO LIMANENO LAKO POTI!Watoto wetu hawaendi shule eehh na sisi hatuendi shue eehh.Ndio maana hata JK ajawahi kuteua polisi na magereze kuwa MaDC na MaRC? oooooh sasa nauelea poti..Kesho naanza smasomo ya jioni
umuaresti nani wewe? jiaresti mwenyewe kisaikolojia. unalinda mamilioni benki na wewe unalala njaa. unajisumbua ukiwapiga raia virungu kwa ajili wanaandama kukutetea uwe na maisha bora huku mkeo anafanyiwa injustice kwenye teksi. koma maana ukisema hivyo tena mbele yangu nitakuzaba makofi halafu mniulie huko jela
 
Inaelekea hawamji MUNGU na kuwa kila kitu kinatoka kwa MUNGU maana alisema " Angalieni ndege wa angani hawapandi wala hawavuni lakini wanaishi, Je si zaidi nyinyi?" Wasitegemee akili zao wenyewe wajikabizi kwa MUUMBA wa MBINGU na DINIA na mengineyo watafanikiwa
 
Mkuu, hata hiyo 5k kwa siku kwa mtu 8 haitoshi kitu, ila kwa mshahara wetu sisi ma-koplo, duh! Hiyo ni hela ya kutosha kuacha home.....tukiachilia mbali swala la familia kubwa.
maswali ni magumu na majibu yake siyo mepesi............................hatujui yupi analonga ukweli........ingawaje shs 5, 000/= kwa wiki kwa familia ya watu 8 ni kazi kwelikweli....................................ila kama ni 5,000/= kwa siku watabangaiza vivyo hivyo...........
<br />
<br />
 
5,000 kwa siku inatosha sana, hapo dawa ni kununua vitu kwa jumla tangia mwanzo wa mwaka..., kipindi cha mpunga nunua gunia; kipindi cha mahindi nunua gunia, mkaa gunia.., mafuta debe.....hapo maisha yanakwenda..

Huwezi kulalamika pesa haitoshi wakati unajua pesa yenu ni ndogo..., anza biashara ndogo ndogo za kuuza nyanya na mboga mboga na sio kulalamika..

As for ngono na kutoka nje ya ndoa...!!!??; No excuse...!!
 
mme siku zote haulizi pesa za matumizi home zinatoka wapi hadi afumanie.... mwanamke anahitaji matunzo jamani
 
Back
Top Bottom