kaachonjo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 203
- 68
TAKWIMU RASMI za tanzania bara pekee zimeonesha kuwa zaidi ya talaka 683,617(2.9%)
wajane 749,739(3.1%) walioachana bila taraka 230,755(1.0) ila pia takwimu zinaonesha kuwa wapenzi wanaoishi pamoja bila ndoa rasmi wamefikia 1,573,992 sawa na asilimia 6.6. hivyo basi idadi ya mabachela nayo si haba maana inatengeneza asilimia 35.5 sawa na 8,465,009 huku pia ndoa rasmi zinazotambulika zinafikia 12,155,757 kwa watanzania wenye umri wa miaka 15+
source: nbs.go.tz/nbs/takwimu/census2012
------
tawimu hii pekee inaonesha kuna doa mahali ! kuna sababu za msingi zinazosababisha ndoa kuvunjika na watu kuachana. ila pia idadi ya watu wazima wanaoishi bila ndoa au maarufu kama mabachela nayo ni kubwa Mno. nadhani watafiti wanatakiwa kutueleza nini tatizo ?