Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ile picha na kivazi vinamwonyesha mange kachokaaaa masikini....daaah
Mwenzangu acha tu.
Halafu wale wanafunzi wake wa vyuo (wengi ndio mashabiki zake) wanamsifia kapendeza.
Wanamtia ujinga hajui kama anachekwa.
 
Ngoja nikupe siri ya kichwapanzi and co kuwa na comments chache.
Mange huwa anafuatilia kila wanachopost wapinzani wake.
Na kila anayecomment kufurahia vile anavyotukanwa huwa anamfuatilia maisha yake kimyakimya...akishapata taarifa za kutosha za mhusika anaanza kumbully.
Wengi hii inawaumiza maana anawatukania hadi familia na watoto.
Ila amini usiamini kichwapanzi anafuatiliwa na wengi sana,na wengi hupita kimyakimya.
Ila siku akiweka 'bomu' huwa huoni watu wanavyojaa?
Kama juzikati issue ya Lance na Nyari ' bata batani'.
Pia angalia videos anazoweka views zake.
Mimi pia siku akiweka bomu huwa nasign in na a/c yangu fake nashangiliaje?

Umenena, hata mimi nimfuatiliaji wa kichwapanzi kimya kimya. Hata mimi nimeona ana followers wengi sana ambao wako silent. But we see everything.
 
Mwenzangu acha tu.
Halafu wale wanafunzi wake wa vyuo (wengi ndio mashabiki zake) wanamsifia kapendeza.
Wanamtia ujinga hajui kama anachekwa.

Hahahaha kumbe ni kweli, I have always wondered kama wale wanao comment kwa Mange ni watu wazima wenye akili zao. Kumbe ni wanafunzi, no wonder they cant see through her lies!
 
Ila naona anazidi kujichoresha kubishana hovyo. Huu ndio mda mzuri kwake kuacha kuwa tegemezi nakusaka employment maana watoto ni wake pia. Asidhani mzigo wa mzungu pekee laasivyo atawabeba kimoja.

Ana new hobby sasa hivi ni kumuattack Zari tuu. Mfyuuu
 
Kumbe yeye na the so called mdogo wake walimshare Diamond.

Sintashangaa. Maana walianza kusema Diamond hana kizazi, Tiffa sio wake. Mara alikua anatembea na Kajala, mara huyo Irena tena ikaja ikawa Hamisa now wamerudi na huyo Irene ana mimba, mfyuuu Mange anatafuta pa kufia na alivyokauka kama kuni.
 
Wale wa dada wa mujini aliogombana nao sasa si hadhi yake tena.
 
Wale wa dada wa mujini aliogombana nao sasa si hadhi yake tena.

Lol! Na imagine sasa hivi wanavyocheka kwa dharau. The way she was attacking them, look who is now a laughing stock. Her friends ni hao wanafunzi wa vyuo wanao comment kwake. Akina Mwamvita, Kiki na Nacky have handled themselves with class. Mange is a ratchet!
 
Duuuuuh kazi wanayo sie silent viewers no like no commenting just enjoying..... kweli mange kiboko ya Binti Temu na KP
 
Fungua fake na wewe (kama huna) halafu nitakucheki PM tuwe tunaitana kwenye umbea.
Hiyo fake imenisaidia sana acha tu...
Kuna watu nimefanikiwa kuwadukua kupitia hiyo maana a/c zao ziko private na kuwafuata na yangu Og hawatonikubalia.
Ila ile wanakubali fastaaaa...
Naingia nachukua umbea tani yangu.
Nifah nitumie fekero lako PM tuwe tunastuana,kuna kichwa kinaitwa sema usikike IG ana kichambo kwa mange kichwapanzi chekechea kabisa...
 
Mimi pia huwa napita kimyakimya...
Ila umbea ukinikuna nalog in na fekero nachangia.

Huu mchezo wanaujua wajanja tu...
Huyo mjinga anaona hao akina kichwapanzi hawafuatiliwi wakati hata huyo Mange anafuatilia na fekero yake.
Insta wengi hupita kimya kimya kukwepa block mi kwa kichwapanzi hupta kimya kimya i need to create fekero aisee mana huwezi Ku comment huru ka jf
 
Insta wengi hupita kimya kimya kukwepa block mi kwa kichwapanzi hupta kimya kimya i need to create fekero aisee mana huwezi Ku comment huru ka jf
Mimi nilishaanzisha fekero zamaniiiii huu mwaka sasa.
Naenjoy tu ubuyu.
 
Back
Top Bottom