Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
31,520
65,188
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.

Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange kaachwa na mumewe Lance na sasa wanalelea watoto tu. Lakini Mange mwenyewe amekuwa akijitutumua kuonesha mambo sio mabaya katika ndoa yao,japo ni dhahiri kwamba hakuna ndoa baina yao tena.

Leo kwa mara ya kwanza kupitia ukurasa wake wa Instagram kaweka picha akiwa ni mwenye majonzi mengi,hii ndio kumaanisha ameamua kuweka hadharani siri ya kuachwa aliyoipigania kuificha kwa muda mrefu?

Habari ya kuachwa ilikolezwa na 'ubuyu' kutoka kwa shoga yake Mange wa kuitwa Killy Janga ambaye inasemekana Mange alimpigia simu huku akilia kuwa kaachwa.
Na hii ni kipindi kile aliandika kupitia blog yake kwamba yuko katika wakati mgumu "DEEP MAWAZUUUUUU"

Ushauri wangu kwako Mange : Huu ni wakati wa kuacha kuishi fake life,umri umekwenda sasa mama watatu. Nasikia umefanya diet ili upate kibabu cha kizungu kikusaidie kulelea watoto huko Marekani maana mambo ni magumu kwako.

Utaishi maisha hayo mpaka lini? Nyoosha mikono sasa na uwaombe msamaha wote uliowachafua kupitia mitandao ya kijamii na urudi nyumbani. Bado hujachelewa,elimu unayo nzuri na kiukweli pamoja na uchizi wako ila uko njema kichwani.

Kama kawaida,habari hainogi bila picha. Hivi ndivyo ilivyokuwa huko Instagram
uploadfromtaptalk1460701422857.JPG

Na hivi.... Matokeo ya diet ya mawazo ya kuachwa
uploadfromtaptalk1460701493400.JPG

================

17/04/2016: Mange Kimambi ajitokeza na kukanusha tetesi za kupewa talaka
Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa...

Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni Tanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye
================

{UPDATE} Juni, 2016: TALAKA YAANIKWA!

Hatimaye mjadala kuhusu Mange Kimambi na Talaka ukafikia tamati kwa kuthibitika kuwa ni kweli aliachana na mumewe anayefahamika zaidi kwa jina la Lance.

DIVORCE.jpg

Hii picha imewekwa na mtu anayejiita Kichwapanzi huko Instagram kama ushahidi wa

Divorce Papers za Mange Kimambi ikiwa ni rasmi kuachwa na Mume wake wa Muda mrefu.
 
Ha ha ha. Mange ni wa kumkalia mbali!!! Sijajua bado kama kinachomsumbua ni hasira au maumivu kutokana na maisha aliyopitia. Mtu asiejali yoyote wala chochote, dk mbili anageuka na kuwa mtu tofauti:confused:
Mi nacho mshangaa kwa nini analazimisja Maisha kama Magumu si aachane nayo tu afanye mambo mengine na hii IG inawafanya watu waishi maisha wasiyoyaweza.
 
Mi namkubali Le mutuz tu anasemaga ukweli kakaa mbele miaka 30 lakini maisha aliyokua anaishi kule na hapa home ni tofauti hapa kama yupo Ulaya alichoka maisha ya kuigiza hotel anayokula hapa huko Marekani hawezi kuingia wabongo wengi wana maisha ya kuunga unga huko mbele ila wanaona aibu kurudi maana hawana lolote.
 
Mange kazidi jamani sometimes machozi ya watu yanalaani, yani akiamua kum attack mtu anamkomalia kiasi kwamba huyo mtu asipokua strong enough anaweza jiua!! Simfahamu sana lakini kwa kufatilia namna anavyoendesha maisha yake ni kama vile ana trauma..kama anavyowashauri wenzie ni vema hata yeye angetafuta msaada hayupo sawa yule mwanamama jamani
 
Sifurahii ndoa kuvunjika, ila Mange alizidi jamani kujinadi kha! mume wake ndio mume, mzuri, tajiri anajali, ameelimika, amemzalisha watoto wazuri, loo, ikafika mahali akatukana wabongo waliolewa na wanaume weusi, eti wanaume weusi hawajui kupenda, wanyanyasaji, washenzi wa tabia? Akaja na aIDEA ya kuwasaidia wanawake wa bongo kuolewa na wazungu.. mwe... wenye akili kama zake walitiirika balaa mpaka akasema atawachaji kwa walioshindwa kutumia huo mtandao wa kujiuza, leo MZUNGU ambae kwake ndio MUME kamuacha? balaa hilo ni kubwa ndio maana kazidi kuwa chizi.. pole sana na ajifunze kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA.
 
Hahahahaaa Mange kafuta ile picha anayolia jamani!
Nani alikuambia upost?
Si umesema sio vibaya kushare huzuni zako kama unavyoshare ukiwa na furaha?
Wambea tulishanyaka screenshots zamaaaaani,pole!
Stress zitakuua mama,rudi nyumbani tu.
2ade5ce25f5d86cc0eb627ad9b6b64c5.jpg
 
Mi namkubali Le mutuz tu anasemaga ukweli kakaa mbele miaka 30 lakini maisha aliyokua anaishi kule na hapa home ni tofauti hapa kama yupo Ulaya alichoka maisha ya kuigiza hotel anayokula hapa huko Marekani hawezi kuingia wabongo wengi wana maisha ya kuunga unga huko mbele ila wanaona aibu kurudi maana hawana lolote.


Achana na Le Mutuz, mambo ya kubeba box Ni ya watu wenye hasira zao za maisha. Kakua anakula mayai ya ikulu nauli yenyewe aliyosafiria Ni hela za serikali hataweza wapi shuruba yule.
 
Back
Top Bottom