Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Chaaaaa! Ndo great thinkers hawa..... ..
Hivi nikichika mnahisi ntabadilika nini? Mnadhani hii ni NTanzania. Gosh....
Kha Yani mlivyong'ang'ana nimeachika, Hivi Mnadhani Mimi Ndoa ndo Kila kitu Kwangu ?? Kha! Kwani nikiachika ntakuwa wa ngapi ? Anyways divorce za Marekani ziko public Embu nileteeni hiyo divorce yangu... Toka lini Mwanamke wa kipare akaachika nyie? Haachiki mtuuuuu.? Ulieleta topic unanichukia utadhani nilikuibia Bwana .... Bye bitches
Hahahahaha
 
Yani umenitonesha kidonda Nifah! Nimedevelop chuki kali sana kwa Mange sababu ya Lowassa, kile kipindi nlikua nalia sana Mange alizidisha kejeli jamani! nikimuona Lowassa kasimama jukwaani kwa upole bila jazba pamoja na kejeli zote baba wa watu asee i was crying!! Mange utapata shida sana wewe mwanamke ogopa mtu mkimya utaadhirika mdogo mdogo mwishoe ujiue!! Ulilipwa bilioni ngapi kumdhalilisha kiasi kile baba wa watu?
Mi kule kuhangaika na kina shamimu nilijua ni umbeya wa kishosti tu sasa kipindi cha campaign ndo akazidi hivi mange hunaga aibu na nidhamu kwa wakubwa zako au ndo ulonnyness unakusumbua lowasa alikufanyiaga nini au matusi yako kwa watu ulivonyimwa mkataba ndo ukazidisha kashfa. Hao kina shamimu mwavita ni wivu wako tu kamwe hutawafikia zaidi stress zitakuua na kichwapanzi kakuumbua mno ndo una panic jifunze kuwa na kiasi kama umepewa talaka sijui utaenda wapi ulijua kwa mzungu ndo umefika watu weusi na wazungu hawadumu tens ulitukana na weusi mfyuuuuuuu acha usome namba
 
Mchepuko hauna heshima ya mke shoga, huyo baba nasikia aliliwa TIGO kwa kuwa alikuwa anapenda kutembeaa na wake za watu na wakati wa tukio alirekodiwa kabisa, sasa kuja kupewa Tape akaona dunia ime muelemea ndio kwenda kujiulia hotelini kwake.
Duuu duuu Duuuu Duuuu..Mangee alijikausha..wangekuwa Ndo wababa Wa wenzakeee wamefanyiwaa hayoo tungejutraaaa kama alikuwepooo
 
Hii ishu naona inaukweli hasa nikikumbuka ile post yake ya kuomba ukuu wa wilaya kama replacement ya mama Malecela. Kwasababu hawezi kuja bongo kupiga mzigo na kumwacha shem mbele, japo hawezi kuupata labda utendaji kata...
 
Kwa tabia hii ya kukubali kuwa mchepo, elimu yake haijamkomboa kifikra kwa kweli.
Aliwai Olewa Na ndoaa ya Kanisani Na kaka Wa mjini aitwae Tonny...ila kumbe nyuma yule bwana alikuwa Na mke halali ambaye bibie alihakikishiwa kaachika..kumbukaa kipindi kile bwana haikuwa Na kazi alisimamishwa Tanzania Airways....bi Dada Akawaamefall in love..mpango ukafanyika..si baba ana Influence ..Tonny Akarudi job..bibi Dr.safari za Kwenda sijui NIMRI sijui Kutibu Matendee...Mara yupo Washington Mara Geneva Uswis . bwana Akaona kha!!!!! Ngojaa nirudi mzima kwa Original Wife..akawa anaficha..hakuna siri Duniani Baada ya kujuaa Bwana Alifukuzwaa mchana kweupeee maana alikuwa akiishi Mtaa Wa Hindu Kama unapenda Muhimbili kama nimesahau jina.....Picha za Harusi nilikuwa ukutani mpaka kuta za chuoni..mgeni ukiwa unajisaidia unakumbana Na Picha...bibi anajua kupendaa..anajua kucare ila Ndo safariii safari..Na huku kazi kupata..akaona ya nini.....tukieudi nyumaa...ana nduguu aitwae Nipee mnyakyusa yullew ndoo mshauri mbaya kwake..but all in all That lady has a sweet heart..and very Talented I'm telling you..but hiloo LiBupee Toto la shangazi yakeeee kutwa nyumbani kwake kumfitinisha..sasa ile Desperate akaanza.kutoka tu..so msimdhaniee vibaya si kwa hiari take as A human being....That is sweet lady M...Sister of Ippy...R.I.P Ippy.
 
My Ayanda85 ,natamani usingeandika hii comment!
Umenitia uchungu sana,umenikumbuka kipindi alivyokuwa anamdhalilisha Lowassa na huku akiweka na video za kumkejeli.
Sijui kwanini hao akina Ridhiwani/January/Kinje/Rummy n.k wasimlipue hata na bomu huyu mpuuzi.
Hafai kuendelea kuishi,I hate her.
Msamehe tu kama kitu ni kweli ni funzo kwake maana na mimi kipindi hicho ilikuwa ni vita
 
Aliwai Olewa Na ndoaa ya Kanisani Na kaka Wa mjini aitwae Tonny...ila kumbe nyuma yule bwana alikuwa Na mke halali ambaye bibie alihakikishiwa kaachika..kumbukaa kipindi kile bwana haikuwa Na kazi alisimamishwa Tanzania Airways....bi Dada Akawaamefall in love..mpango ukafanyika..si baba ana Influence ..Tonny Akarudi job..bibi Dr.safari za Kwenda sijui NIMRI sijui Kutibu Matendee...Mara yupo Washington Mara Geneva Uswis . bwana Akaona kha!!!!! Ngojaa nirudi mzima kwa Original Wife..akawa anaficha..hakuna siri Duniani Baada ya kujuaa Bwana Alifukuzwaa mchana kweupeee maana alikuwa akiishi Mtaa Wa Hindu Kama unapenda Muhimbili kama nimesahau jina.....Picha za Harusi nilikuwa ukutani mpaka kuta za chuoni..mgeni ukiwa unajisaidia unakumbana Na Picha...bibi anajua kupendaa..anajua kucare ila Ndo safariii safari..Na huku kazi kupata..akaona ya nini.....tukieudi nyumaa...ana nduguu aitwae Nipee mnyakyusa yullew ndoo mshauri mbaya kwake..but all in all That lady has a sweet heart..and very Talented I'm telling you..but hiloo LiBupee Toto la shangazi yakeeee kutwa nyumbani kwake kumfitinisha..sasa ile Desperate akaanza.kutoka tu..so msimdhaniee vibaya si kwa hiari take as A human being..That is sweet lady M...Sister of Ippy...R.I.P Ippy.
Swetie umetiririka haswa, yule mama kweli ana roho nzuri sana na mchapa kazi kweli kweli, ila kumkaribisha Mange kwenye maisha yake ndio kuna mfanya aanikwe hivi, hakuwa na sababu ya kumkumbatia mange kila mahali mapicha eti my mother!? Haa ili iweje. Halaffu mie bado nasisitiza tu hata kama una elimu kiasi gani? Una roho nzuri kiasi gani? Ukikubali kuwa mchepuko huna tofauti na mchepuko mwingine wa manzese kina mwajuma ndala ndefu.
 
Aliwai Olewa Na ndoaa ya Kanisani Na kaka Wa mjini aitwae Tonny...ila kumbe nyuma yule bwana alikuwa Na mke halali ambaye bibie alihakikishiwa kaachika..kumbukaa kipindi kile bwana haikuwa Na kazi alisimamishwa Tanzania Airways....bi Dada Akawaamefall in love..mpango ukafanyika..si baba ana Influence ..Tonny Akarudi job..bibi Dr.safari za Kwenda sijui NIMRI sijui Kutibu Matendee...Mara yupo Washington Mara Geneva Uswis . bwana Akaona kha!!!!! Ngojaa nirudi mzima kwa Original Wife..akawa anaficha..hakuna siri Duniani Baada ya kujuaa Bwana Alifukuzwaa mchana kweupeee maana alikuwa akiishi Mtaa Wa Hindu Kama unapenda Muhimbili kama nimesahau jina.....Picha za Harusi nilikuwa ukutani mpaka kuta za chuoni..mgeni ukiwa unajisaidia unakumbana Na Picha...bibi anajua kupendaa..anajua kucare ila Ndo safariii safari..Na huku kazi kupata..akaona ya nini.....tukieudi nyumaa...ana nduguu aitwae Nipee mnyakyusa yullew ndoo mshauri mbaya kwake..but all in all That lady has a sweet heart..and very Talented I'm telling you..but hiloo LiBupee Toto la shangazi yakeeee kutwa nyumbani kwake kumfitinisha..sasa ile Desperate akaanza.kutoka tu..so msimdhaniee vibaya si kwa hiari take as A human being..That is sweet lady M...Sister of Ippy...R.I.P Ippy.
Mange kesha haribu tena, piteni jukwaa la habari na hoja mchanganyiko mkajionee tution aliyoitoa kwa wanawake/wasichana, kweli huu mwaka mirembe inamuhusu.
 
Back
Top Bottom