talaka 3

tobycow

Senior Member
Apr 12, 2011
129
13
mazee nimebreak up na shemej yenu wa zaman bt nataka ku update window bt cjui ya wapi ndo ya ukwel coz kila dem ninaye muulizia napewa kasoro pls help mi
guys
 
Tatizo ni nini, ni nani?
Anyway tafta aliyeacha kama wewe,
 
Pole kaka siku nyingine kaa chini ndo uje na uamuzi.mambo mengine sio ya kukurupuka
 
Back
Top Bottom