NOT FOUND
Senior Member
- Mar 14, 2011
- 158
- 59
unapozungumzia mafanikio ya elimu nchini tanzania hutaacha kukitaja chuo kikuu cha dar es salaam (udsm), miaka kadhaa iliyopita chuo hiki kilikuwa miongoni mwa vyuo 15 bora katika bara la africa, lakini kwa takwimu za mwaka huu 2011, chuo hiki kimeporomoka hadi kufikia nafasi ya 34.
Hili ni anguko la kielimu sio tu kwa udsm bali kwa tanzania kwa ujumla, kwani katika vyuo vikuu 100 bora barani africa, tanzania kipo chuo kimoja tu ambacho ni udsm, huku wenzetu wa kenya wakiwa na vyuo visivyopungua 7 ndani ya 100 bora.
Wakati huo huo, chuo ambacho kilikuwa kina compete na udsm katika ukanda huu wa afrika mashariki, makerere, kimefanikiwa kupiga hatua kubwa na kuiacha udsm mbali hadi kuingia 10 bora.
Je ni sababu gani zilizopelekea udsm kuporomoka kwa kiwango hicho? Na kwa rate ya kuporomoka kwake, si ajabu baada ya miaka 4, kikatoka kabisa ndani ya 100 bora.
Kama chuo kinachoaminika tanzania udsm, kimeporomoka kwa kiwango hicho, tutarajie nini kwa vyuo kama udom, mzumbe, sokoine etc.
source: http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa
N.B:
CHUO KIKUU CHA AFYA MUHIMBILI (MUHAS) KINASHIKA NAFASI YA 11940 KATI YA VYUO 12000 DUNIANI.
source: http://www.webometrics.info/rank_by_country.asp?country=tz