Takukuru

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
8E9U6522.JPG
 
Sa mkuu wamefanyaje?...AU unawashangaa kwa kufuatilia zaidi rushwa za KUKU?
Au unataka tuwajue sura zao ili tukikutana nao njiani tuteme mate na kuguna!
 
Hawa Wajumbe wa TAKUKURU wanasaidia nini nchi yetu ?Hawa wanakula kuku tu huko Mwanza na kutumia taxpayers money bila sabau.

Niambieni tangu skandali za Meremeta,BoT towers,Richmond,Radar saga,Mkapa family na corruption akiwa Rais na mengineo kuhusu mikataba ya madini,ni nani ameshakuwa convicted
na kwenda gerezani?Patel,Vithlani wanachekelea uhondo wa pesa za walala hoi!

Kama Bunge letu lingekuwa sahihi,hii Taasisi inatakiwa kuvunjwa mara moja.Badala yake Bunge,Mahakama zichukue msimamo mkali,na hasa DPP ,lakini naye ndio hivyo tu.
Tumekwisha!
 
Sa mkuu wamefanyaje?...AU unawashangaa kwa kufuatilia zaidi rushwa za KUKU?
Au unataka tuwajue sura zao ili tukikutana nao njiani tuteme mate na kuguna!

Sitaki kumsemea lakini nadhani anaonyesha namna wanavyopambana na rushwa wakiwa katika makongamano badala ya kushughulika na watuhumiwa wanaofahamika waziwazi.
 
Back
Top Bottom