Takukuru wwwapi

Singoi

Senior Member
Jun 13, 2011
148
15
Jamani ile kampuni ya takukuru tiliyoiona wakati wa uchaguzii iwapi tena
 
kwani takukuru ndo nini? hivi ipo hiyo? hawa jamaa ni hatari tena wao ndo mafisadi namba 1 ndo wanaoongoza kwa kujilipa posho huku hamna kazi na tena siku hizi ndo wanamiliki magari ya kifahari sijui wanatoa wapi pesa. wao nao wanajiona kama usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom