TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

Tukikubali hata kinadharia kuwa chombo cha utendaji kinaweza kuanzisha na kuendesha uchunguzi dhidi ya mbunge au kundi la wabunge tutakuwa tumekubali jambo la hatari sana. Itakuwaje huko mbeleni polisi au uwt wakiona wanajadiliwa vikali bungeni wakaanzisha uchunguzi ambao utawazuia wabunge wakali kushiriki mjadala bungeni? Na vipi kama kura ya kutokuwa na imani na WM inatarajiwa kupigwa na mara wabunge kadhaa wanasombwa kusaidia uchunguzi na kuondoa wingi wa kura zinazohitajika? Tukiwakubalia kwa wabunge nani atawazuia ikija kwa majaji?

Mzee MwanaKijiji,

First off, let me make it abundantly clear that I also find the latest move by PCCB to investigate MPs on the practice of double dipping somewhat suspicious especially the way it has been raised – smack dab in the middle of the already scorching hot Richmond debate. Given what has transpired since the Richmond scandal came to light, it is entirely possible (now that the pendulum has completely swung the other way) that there is an element of the PCCB Czar trying to send a not-so-subtle message to the law makers (in the proverbial sasa-ni-zamu-yangu-mtanikoma sense), as a form of pay-back to some of the parliamentarians who came down hard on him after he made those ridiculous remarks about the controversial awarding of the emergency power generation contract to Houston-based Richmond Development Corporation. Let’s not blindly rule that out that possibility. We now know as an irrefutable fact that at best the PCCB Czar’s made an honest mistake in making that public statement; it is also possible it was an effort to protect some of the culprits behind the Richmond scam; the truth will probably never be completely known.

For all the bluster and bravado around the unfolding MP meeting-allowances drama, I think that what the Speaker is attempting to get away with is almost too much to bear. Good heavens! Our Members of Parliament are not semi-Gods as some would have us believe, and most have not even earned the right to be given a blank check when it comes to exercising rational judgment on benefits that are paid out using taxpayers’ money, at least not yet. Too often, they have only been consumed with looking after their own narrow interests (and their immediate families and friends) rather than the broader interests of the people that elected them in the first place. Frankly, this whole episode should be viewed with a certain amount of skepticism in spite of the holy than thou brinkmanship and braggadocio displayed by the Parliamentarians. In particular, I find the dismissive attitude that equates the practice of double-dipping to African hospitality as dangerous and self-serving precedence. G’me a freaking break! Where does this end? Any way you slice it this is pure greed bordering on fraud and let’s not attempt to sugar coat it.

One may argue (as many of us do) that we need meaningful checks and balances in which the executive and legislative branches of government can keep an honest eye on each other within the constitutional framework. I don’t understand why the MPs should feel so threatened by the PCCB investigation. They are making a mountain out of a mole hill. Besides, they created the damn thing for crying out loud, why are they suddenly scared by an instrument of their own creation? On the contrary, I think they should simply embrace the investigation to show that they have absolutely nothing to hide which in turn will give them the moral authority to demand the same courtesy to investigate the PCCB. They can even establish a parliamentary committee to investigate some PCCB officers, and they may even demand some of them to explain how they managed to get so rich on their meager salaries! Let’s encourage all these investigations for the sake of transparency so that when the dust eventually settles, we’re all better off for it.

Do I support the MPs position on this saga? Eh, ..not so much! All this posturing about the special status and privileges that MPs are entitled to and therefore they they are not answerable to anyone, is just a smoke screen. The arguments advanced suggesting that double-dipping is synonymous with African hospitality (takrima), is as ridiculous as David Beckham is a Makonde from Mzumbiji! If they are clean and have nothing to hide, they should not be intimidated by any PCCB investigation. The onus is squarely on the MPs to put hypocrisy and self-interest aside for once and lead by example in their public and private lives. We will not be able to tackle much larger corruption issues such as EPA and BOT unless the MPs are beyond reproach and suspicion in their conduct so they can never be threatened or muzzled by the mere threat of a PCCB investigation. If they don’t lead by example, they will inevitably be too compromised to perform their jobs as the guardians of the public trust.

It’s that simple. MPs should stop complaining about PCCB investigations because it is within their power to prove that these PCCB investigations not worth the time and effort if they are willing to practice what they preach and clean up their own messes. There is absolutely no doubt that some of this outcry by the MPs is intended to conceal some of their own shortcomings in the character and integrity department. In order to even begin to scratch the surface on the endemic problem of corruption that our nation is currently facing, we need to begin by cleaning up Parliament so that our Parliamentarians will have both the credibility and moral authority to wage an effective all-out war on corruption and not be viewed as self-righteous hypocrites.
 
Mkuu huko sahihi, ila lazima tuliangalie hili, je ni tabia yetu kufanya hivi tunapowaona wengine wanafanya makosa? ebu ji -examine, wewe mwenyewe, ni mara ngapi huwa unaona uovu katika jamii, na mara ngapi huwa unaripoti katika mamlaka zinazohusika,

Kama siyo tabia zetu, au culture yetu, unataka Zitto aitoe wapi, tena wa Kigoma huyu, au double standard? ina-aaply kwa viongozi , na sio hata raia, ambao kesho watakuwa viongozi??

Ni mara ngapi tunaona majirani zetu wanakunywa gongo, wanavta bangi, watotot wa vijiweni, madaladala kukatisha ruti, watu kutizamiana kwenye mitihani na ku-copiana assignment n.k

Huoni unapomsema huyu mkuu unajisema na wewe na kwa mara hii, tena kwa nadra sana tunadumisha msemo wa Julius kuwa hivi ndivyo tulivyo

Zitto kutokutoa taarifa anadumisha mila na jadi yetu na kwa mara hii usiseme KWA NINI HUKUSEMA, TOA USHAURI SI NYINGINE ASEME!

aU VIONGOZI Hawa wanatoka sayari ya mars na si nji hii hii ya akina Kalunde!

Kama Zitto amethubutu kuandika hapa ukumbini kwamba "Mimi najua" kuhusiana na Wabunge kugushi risiti za kuonyesha kwamba wameenda kuhudhuria vikao ya Bunge Dodoma kwa magari yao binafsi kumbe wamepanda mabasi basi ni bora atupe ushahidi wote badala ya kupigia debe tu akina Mwakyembe waburuzwe mahakamani na yeye maovu mengine yanayofanywa na Wabunge kuliibia Taifa ambayo anayafahamu fika anataka kuyaficha. Kama na yeye alihusika na kugushi hizo risiti basi naye ajitaje kwamba pia alihusika na wizi.

Ukishakuwa Mheshimiwa lazima unyenyekee heshima ambayo wananchi wako wamekupa "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" na ufanye kazi kwa uadilifu mkubwa na kulinda maslahi ya wale waliokupa dhamana ya kutetea maslahi yao na ya nchi yao. Ndiyo maana kuna umuhimu mkubwa wa Mheshimiwa Zitto kutueleza kwa kirefu jinsi alivyolijua hili na haoa Wabunge wanaogushi risiti na kuliibia Taifa ni akina nani. Vinginevyo itakuwa ni upigaji wa debe tu ambalo hana evidence ya aina yoyote ya kusupport kauli yake na pia hufai kuwa mheshimiwa kama maovu unayoyajua yakifanywa na Wabunge wenzio katika kuliibia Taifa unayafumbia macho.
 
You deserve to be a director of TAKUKURU nothing else! Hosea and his team are wrong,Susuviri is right!

Waberoya point hapa ni kupinga ufisadi sio swala la kufany kazi takukuru.
Muheshiwa Zitto ni mmoja kati ya WABUNGE walio mstaliu wa mbele kupinga Ufisadi.Madai aliyoyatoa ni mazito sana hasa ukizingatia yeye ni mmoja kati ya hao wabunge.
Kama utakumbuka wabunge wa Uingereza walijiuzulu kwa tuhuma tu hata zikiwa bado hazijasibitishwa.
Zitto kama mpambanaji alitakiwa asibishe madai yake haya kwa kupeleka pale Takukuru majina ya hao wanaofoji risti kujipatoia mihela ya bure nao ni ufisadi kama ufisadi mwingine mkuu
 
Usipotoshe. Uchunguji ni wa muda mrefu. Umekuwa public hivi karibuni tu. TAKUKURU kimsingi chombo cha dola chini ya Ofisi ya Rais (Head of State). Head of State yupo juu ya mihimili yote mitatu. Rais kama Head of the Executive ndio mhimili mmoja. Lakini kama Mkuu wa Nchi ni mlinzi wa Katiba na sheria zilizotungwa kwa mujibu wa Katiba. Mbona Tume ya Maadili ya Viongozi inaendesha zoezi la kuchunguza mali za wabunge kwa kutuita na kutuhoji hamna kelele.

Msitetee uhalifu. Acheni tuhojiwe na kama tuna makosa tuwajibike. Hakuna visasi hapa!

Zitto naungana na wewe kuwa ufusadi usisemwe kwa Rostam na Lowassa peke yao, tunafahamu kuwa hata nyie wabunge ni mafisadi kama wewe ulivyothibitisha. Na pia nakupongeza kwa kujaribu kuipigania "code of conduct" hiyo ndio fimbo yenyewe ya ufisadi . The problem is kwanini presidency kupitia PCCB iwahoji mkifanya ulaghai, na ninyi hamna ubavu kwa kuihoji presidency ikifanya ulaghai huo huo? Kwanini wabunge mkisema Hosea awajibishwe hawajibishwi, ila Hosea akisema wabunge wawajibishwe wanawajibishwa? What the hell is this???

Kuna mengi ambayo tunaona wazi kabisa Presidency (including takukuru) inatakiwa kujibu mbele ya bunge lakini hajibu, Kwanini preseidency iwe na absolute powers ya kuwahoji wabunge na yenyewe kutohojiwa? Pamoja na kuwa kuna wabunge wameonesha moyo wa kuiuliza serikali, tayari tumeona vitisho vimeanza. Why not have really separation of powers. Do we regard our presidency as the one with divine right to question and not to be questioned?

Zitto, wabunge wetu wengi wamechoka, wanafanya huo ulaghai kwa kuwa wako hoi kiuchumi, na wamefanywa wawe hoi ili serikali inapotaka inayotaka wawe cheap kurubuniwa. Ukiwaona wengine wanavyopigania ubunge utajua tu kuwa hawafanyi hivyo kwa ajili ya kupigania maendeleo ya watu wa majimbo yao, wanataka source ya income tu ndio maana majimbo mengi mpaka leo bado yako hoi. Mtu aliyechoka kiuchumi hata akiwa na akili, he can not speak his mind when you threaten to deprive him of a source of income. Serikali inawahonga wabunge wetu kirahisi sana kwa kuwa wengi ni wachovu kiuchumi, let us admit it and work on it. Attempts za Hosea ni kutoa tishio hilo na kuwafunga midomo.

Pamoja na kuwa naona argument ya mwanakijiji imepinda kidogo, lakini ni lazima kwanza tuangalie hali halisi na tuwe fair.
 
MPs wanapohamisha wimbo wa takrima toka kwenye uchaguzi na kuuhamishia kwenye vikao! Ukitaka kuwajua MPs wetu wewe gusa maslahi yao kama alivyofanya Dkt Slaa! Hapa Dkt Slaa alibaki peke yake maskini! Hivi MP anapodai "tunapokea malipo mara mbili kwa kazi moja kwa sababu utaratibu huu ni wa siku nyingi" akimaanisha kwamba hata kama sio halali sio kitu kwake, tumweleweje? Ama kweli, a country deserves the leaders it has!
 
Kama Zitto amethubutu kuandika hapa ukumbini kwamba "Mimi najua" kuhusiana na Wabunge kugushi risiti za kuonyesha kwamba wameenda kuhudhuria vikao ya Bunge Dodoma kwa magari yao binafsi kumbe wamepanda mabasi basi ni bora atupe ushahidi wote badala ya kupigia debe tu akina Mwakyembe waburuzwe mahakamani na yeye maovu mengine yanayofanywa na Wabunge kuliibia Taifa ambayo anayafahamu fika anataka kuyaficha. Kama na yeye alihusika na kugushi hizo risiti basi naye ajitaje kwamba pia alihusika na wizi.

Ukishakuwa Mheshimiwa lazima unyenyekee heshima ambayo wananchi wako wamekupa "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko" na ufanye kazi kwa uadilifu mkubwa na kulinda maslahi ya wale waliokupa dhamana ya kutetea maslahi yao na ya nchi yao. Ndiyo maana kuna umuhimu mkubwa wa Mheshimiwa Zitto kutueleza kwa kirefu jinsi alivyolijua hili na haoa Wabunge wanaogushi risiti na kuliibia Taifa ni akina nani. Vinginevyo itakuwa ni upigaji wa debe tu ambalo hana evidence ya aina yoyote ya kusupport kauli yake na pia hufai kuwa mheshimiwa kama maovu unayoyajua yakifanywa na Wabunge wenzio katika kuliibia Taifa unayafumbia macho.

Waberoya point hapa ni kupinga ufisadi sio swala la kufany kazi takukuru.
Muheshiwa Zitto ni mmoja kati ya WABUNGE walio mstaliu wa mbele kupinga Ufisadi.Madai aliyoyatoa ni mazito sana hasa ukizingatia yeye ni mmoja kati ya hao wabunge.
Kama utakumbuka wabunge wa Uingereza walijiuzulu kwa tuhuma tu hata zikiwa bado hazijasibitishwa.
Zitto kama mpambanaji alitakiwa asibishe madai yake haya kwa kupeleka pale Takukuru majina ya hao wanaofoji risti kujipatoia mihela ya bure nao ni ufisadi kama ufisadi mwingine mkuu

Hivi wapendwa nyie,mbona siwaelewi, natamani kucheka ninaposoma hoja zenu, hivi MNATAKA ZITTO ASEME YEYE NDIYE ALIYEWATAARIFU TAKUKURU? Jamani, naona mtu mnang'ang'ania hoo, angetoa taarifa, kwa hiyo mnataka leo TAKUKURU WASEME ZITTO ALITUELEZA? MNA HAKIKA GANI KUWA SIYO YEYE ALIYETOA HII TAARIFA TAKUKURU, AU KAMA SIYE MNAJUA ALYEWAAMBIA TAKUKURU NI NANI?

Yaani mnataka Zitto amwage unga kila kitu , si atahatarisha maisha yake, kuna mipaka ya maswali jamani duh! tuache hizo

LOL!!! sina mbavu hawa nzi wa JF sasa wamegeuka nyuki!
 
Kama huna cha kuandika kaa kimya.....! Umesikia kwenye vijiwe vya kahawa?

Naona wewe mwenzangu husomi magazeti wala huangalii TV. Hata hii hii asubuhi ya leo kwenye taarifa ya habari TBC wamesema hivyo kuwa kuakidi wito wa chombo cha dola ni kosa la jiani na adhabu yake ukikutwa na hatia ni jela miaka mitatu.

Sasa TBC ni vijiweni? Ndugu fanya research wacha longolongo.
 
wewe piga kazi , toa hoja, Masanilo na wenzake kadhaa huwa wanatafuta wanyonge wao, wakiwashinda wanajipongeza , Masanilo ameshakwambia yeye ni mlevi, unapoteza muda bure, sijawahi kuona masanilo hana ngumi mkononi na mtu fulani humu.

By that way life goes on! cherish it
 
U have no clue unabakia Nasikia, inasemekana, inasikika......! great thinker wa JF! looooh

Hebu tueleze wewe Spika yuko kwenye kamati ipi ya Bunge? Na pia hujasoma hata humu jamvini kuwa kuna hilo soo la Shs 70.0 la ofisi ya Bunge?

Watu wengine bwana mnatetea kitu hata wahusika wenyewe wanakikubali. Spika mwenyewe kisha kubali kuwa matumizi hayo ya Shs 70.0 yapo lakini ni madogo sana kwa mtu mwenye hadhi kama yeye.

Sasa unaona ajabu gani kwa kusikia kwangu? Si ninasikia kwenye vyombo vya habari? Au wewe mwenzangu habari zako uwa unazipatia toka source gani? Mwezini?
 
Kwanza nilazima tujiulize: je upo utaratibu uliowekwa kisheria kutumika kabla ya kuleta mashtaka dhidi ya mbunge?(haijalishi ni nani na anaweza kuwa mjukuu wa shetani!). Pili, kama upo unafuatwa wakati wote? Kama la nani anatakiwa kulalamika? Kama haupo basi matendo ya takukuru yanahalalishwa. Lakini kama tunakubali kuwa chombo cha serikali kinaweza kuja bungeni na kuchukua wabunge kadhaa (waweza kuwa rostam, selelii, chenge au kilango 4 all i care) wakidai kuwa wanaendesha uchunguzi na kuwa ati hakuna aliyejuu ya sheria basi demokrasia imetushinda. Na hapana rais hayuko juu ya mihimili mitatu. Tukikubali hilo basi tuna mfalme.
 
Naona wewe mwenzangu husomi magazeti wala huangalii TV. Hata hii hii asubuhi ya leo kwenye taarifa ya habari TBC wamesema hivyo kuwa kuakidi wito wa chombo cha dola ni kosa la jiani na adhabu yake ukikutwa na hatia ni jela miaka mitatu.

Sasa TBC ni vijiweni? Ndugu fanya research wacha longolongo.

Kwa hiyo unaamini kuwa leo hii watamfuata Mwakyembe na kumfunga miaka mitatu?
Naomba niulize what is the jurisdiction of TAKUKURU? Ni sehemu ya Polisi? Je ni chombo cha dola kama jeshi la polisi? Je nini maana ya 'wito'? Is it a request for an interview? Interrogation? Nadhani tusiwe wepesi kuongea kitu kwani kinahitaji uchunguzi na input ya wataalam wa sheria na katiba.

Ila nasema kama wataamua kumfunga Mwakyembe kwa kukaidi kuongea na Takukuru watakuwa wanamjengea sana sifa Mwakyembe, na Mh Rais ambaye yuko ziarani huko Mbeya atapopolewa tena na mvua ya mawe... kwikwikwi.
 
Kwanza nilazima tujiulize: je upo utaratibu uliowekwa kisheria kutumika kabla ya kuleta mashtaka dhidi ya mbunge?(haijalishi ni nani na anaweza kuwa mjukuu wa shetani!). Pili, kama upo unafuatwa wakati wote? Kama la nani anatakiwa kulalamika? Kama haupo basi matendo ya takukuru yanahalalishwa. Lakini kama tunakubali kuwa chombo cha serikali kinaweza kuja bungeni na kuchukua wabunge kadhaa (waweza kuwa rostam, selelii, chenge au kilango 4 all i care) wakidai kuwa wanaendesha uchunguzi na kuwa ati hakuna aliyejuu ya sheria basi demokrasia imetushinda. Na hapana rais hayuko juu ya mihimili mitatu. Tukikubali hilo basi tuna mfalme.

Mzee Mwkjj, naona na wewe unaelekea huko huko. Nadhani ni muhimu kwanza tuweke vitu in perspective na tuzungmzie mihimili ya dola then tuchambue kazi of each. Na pia ni lazima tukubali kuwa hakuna ambaye yuko juu ya mwenzake. Kila mhimili ina kazi yake, kwa mfano ya mahakama ni interpretation ya sheria, Bunge ni upitishaji wa sheria. I think tatizo ni kwamba mpaka leo haijawekwa clear vyombo vya dola iko chini ya mhimili upi na kwa njia gani. Hii ni kutokana na kwamba imekaa kisani, hata hiyo TAKUKURU, I believe they do not have the same power like police, bali wanashirikiana na mwanasheria mkuu kuleta prosecution. Nadhani tutakapoanza kuchambua suala hili basi tutakuja kuona kuwa Pinda ameongea kitu ambacho kinahatarisha democrasia na ni haki ya kusema kuwa ajiuzulu: Amesema hawawezi kuacha kuhoji wabunge kwa kuwa Rais ameamuru, kwa hiyo Rais amevuka mipaka, kwa sababu kikatiba, Rais hawezi kumchunguza mbunge au wabunge. Inaonekana PInda amekiri kuwa TAKUKURU ni remote arm ya Rais na uchunguzi unaendeshwa at the whims of the President. Very big mistake and serious legal problem. Mi nadhani ni vyema Pinda angekaa tu kimya lakini he has opened Pandora's box....
 
Kwanza nilazima tujiulize: je upo utaratibu uliowekwa kisheria kutumika kabla ya kuleta mashtaka dhidi ya mbunge?(haijalishi ni nani na anaweza kuwa mjukuu wa shetani!). Pili, kama upo unafuatwa wakati wote? Kama la nani anatakiwa kulalamika? Kama haupo basi matendo ya takukuru yanahalalishwa. Lakini kama tunakubali kuwa chombo cha serikali kinaweza kuja bungeni na kuchukua wabunge kadhaa (waweza kuwa rostam, selelii, chenge au kilango 4 all i care) wakidai kuwa wanaendesha uchunguzi na kuwa ati hakuna aliyejuu ya sheria basi demokrasia imetushinda. Na hapana rais hayuko juu ya mihimili mitatu. Tukikubali hilo basi tuna mfalme.

Kaka uko sahihi ila siyo Tanzania hii;

Maada ulivyoiweka tangu unaanza ni kuwa unafananisha bunge letu na la 'ulaya' you want everything to be perfect and clear.Huko sahihi sana na hilo halina mjadala, ndiyo maana nakazia kuwa hilo litawezekana tu, kama kweli bunge linakuwa bunge na si maigizo haya, kama wabunge wangekuwa serious, maigizo na matukano yote ya TAKUKURU walitakiwa wasimamie wao tangu siku nyingi. Tunajua uchafu wote wa TAKUKURU na wabunge wako kimya.

MKJJ ninachocheka ni kuwa wewe hapo ulipo unaonyesha nini maana ya wabunge(wajitambue) lakini wao wabunge hawajui kuwa ni wabunge! yaani wako wako tu, ndiyo maana kuna wengine wameshahojiwa na wamekubali!

kwa halii hii acha hali iwe hivi hivi mpaka watakapojitambua kuwa wao ni wabunge kwa maana ya wawakilishi wa wananchi! Ukiona hivi kuna walakini, maana tangu wanapopata vyeo vyao ni rushwa tu!

MKJJ wabunge walitakiwa, wanatakiwa na watatakiwa wakutetee wewe, LEO WEWE NDIYO UNATETEA WABUNGE, BADO UNADHANI UNAWABUNGE!

Acha tu JK aendelee na kiti alichokirithi kabla naye hajamwachia mrithi wake
 
Kwanza nilazima tujiulize: je upo utaratibu uliowekwa kisheria kutumika kabla ya kuleta mashtaka dhidi ya mbunge?(haijalishi ni nani na anaweza kuwa mjukuu wa shetani!). Pili, kama upo unafuatwa wakati wote? Kama la nani anatakiwa kulalamika? Kama haupo basi matendo ya takukuru yanahalalishwa. Lakini kama tunakubali kuwa chombo cha serikali kinaweza kuja bungeni na kuchukua wabunge kadhaa (waweza kuwa rostam, selelii, chenge au kilango 4 all i care) wakidai kuwa wanaendesha uchunguzi na kuwa ati hakuna aliyejuu ya sheria basi demokrasia imetushinda. Na hapana rais hayuko juu ya mihimili mitatu. Tukikubali hilo basi tuna mfalme.
,

Upo utaratibu wa kuwashughulikia wabunge kisheria, na hata rais hayuko nje ya sheria, bali tuu ana kinga ya kutofikishwa mahakamani kwa maamuzi yoyote aliyoyafanya kama rais ili mradi maamuzi hayo yasiwe kinyume cha sheria. Rais akifanya kinyume cha sheria, tuna imperchment procedures kama bado yuko madarakani, kama amemaliza kipindi chake, bunge linamuondolea kinga na anatinga mahakamani.

Vivyo hivyo kwa wabunge, hawako juu ya sheria, ila kwa mjibu ya sheria ya haki na adaraka ya bunge, mbunge anakinga ya kisheria kutofikishwa mahakamani kwa jambo lolote alilosema au kutenda ndani ya bunge, au katika kutekeleza majukumu yake ya kibunge, ili mradi jambo hilo lisiwe kinyume cha sheria.

Kama kuna jambo lolote mbunge amefanya kinyume cha sheria, taarifa ya maandishi hupelekwa ofisi ya spika kuwajulisha kuhusu uchunguzi wowote ndidi ya mbunge yoyote, ikumbukwe ni taarifa tuu na sio kuomba kibali cha spika.

Sheria mpya ya PCCB wameipitisha wenyewe tena Mwakiembe akiwa mmoja wao, sio siri, hii ni moja ya sheria kandamizi waliyoipitisha wabunge wetu sambamba na sheria ya anti terrorism ambazo zinakwenda kinyume na haki za binaadamu, sheria hizo zipo, zimepitishwa ila zikitumika ifuatavyo, watu wanaanza kulalamika. Hata sheria ya magazeti ya 1976 bado ipo na ikitumika kama ilivyo, ni kifo cha uhuru wa habari.

Mwalimu wangu, Prof. Mwakiembe namheshimu sana, ila is too sensetional kwenye baadhi ya maamuzi/matamshi yake kuanzia ukiukwaji wa principles of natural justice that "no one is condemned unheard", akaja na madai ya kutishiwa uhai wake na ajali ya kupngwa, conflict of interest ya umeme-upepo, controversial statements dhidi ya ufisadi na sasa kukataa kuhojiwa.

Hili la kukataa kuhojiwa, namuunga mkono kama ni kweli ofisi ya bunge haikupewa taarifa huku wakiitwa kwa simu tuu bila barua yoyote ya maandishi.
 
Kwanza nilazima tujiulize: je upo utaratibu uliowekwa kisheria kutumika kabla ya kuleta mashtaka dhidi ya mbunge?(haijalishi ni nani na anaweza kuwa mjukuu wa shetani!). Pili, kama upo unafuatwa wakati wote? Kama la nani anatakiwa kulalamika? Kama haupo basi matendo ya takukuru yanahalalishwa. Lakini kama tunakubali kuwa chombo cha serikali kinaweza kuja bungeni na kuchukua wabunge kadhaa (waweza kuwa rostam, selelii, chenge au kilango 4 all i care) wakidai kuwa wanaendesha uchunguzi na kuwa ati hakuna aliyejuu ya sheria basi demokrasia imetushinda. Na hapana rais hayuko juu ya mihimili mitatu. Tukikubali hilo basi tuna mfalme.

Siamini kama Mzee Mwanakijiji of all people unaweza kutoa comment kama hii! Eti kama kuna utaratibu uliowekwa na Sheria kuleta mashtaka dhidi ya Mbunge! Mimi nilifikiri mhalifu ni mhalifu (I thought all animals are equal but there are animals that are more equal than the others) bila kujali amevaa shati la kijani au la! Kwa taarifa yako utaratibu uliotumika kumhoji, kumchunguza na hatimaye kumfungulia mashtaka Mbunge Basil Pesambili Mramba na mzee Vijisenti (kesi ya kugonga bajaj) haujabadilika, kwa hiyo utaratibu huo uendelee hata kwa Dkt Mwakyembe! By the way, pamoja na kwamba Dkt Mwakyembe ametamba kuwa yeye ni mwalimu wa sheria lakini hajui kwamba kukataa wito halali wa chombo cha dola ni kosa la jinai!
 
lazima kuwe na chombo kinachoweza kuwahoji wabunge kwa sababu tumeona kuwa bunge lenyewe limeshindwa kujiwajibisha wala kuchukua hatua pale inapotakikana.

jee tukururu kufanya uchunguzi wa posho mbili ni ndani ya kazi yake?

iwapo posho hizo ziliombwa kwa misingi ya rushwa na kusababisha wabunge kubadilisha maamuzi yao, basi tunaweza sema tukururu ipo katika haki yake ya msingi ya kufanya hivyo ( kama tukururu ina nguvu za kumhoji yoyote tanzania)

note:
sidhani kama wabunge wanaonyesha mfano mzuri kwa kukataa kuhojiwa na vyombo vya serikali ( alikataa rostam, mwakyembe ...........na wengine watafuatia)
 
lakini kwa nini takukururu wafanye uchunguzi leo?
kama wana lao waseme.hatawao wamewahi kuwapa wabunge posho
 
Kaka unajua Mramba alihojiwa na kufikishwa mahakamani akiwa Mbunge? Unajua stori ya yule mbunge wa Morogoro aliyeburuzwa na Landrover la Polisi kwa madai ya Maji? Hawa nani alikuja hapa kuwatetea na kusema tawi la utendaji lisiingilie Bunge?

Kuna tatizo la msingi katika Taifa letu na katika mfumo wa Bunge. Fanya tafiti zako, ni Bunge la Tanzania tu duniani ndilo halina utaratibu wa kudhibiti mienendo ya Wabunge. Nchi nyingine wana mtu anaitwa Kamishna wa mienendo (Office of the Commissioner for standards). Huyu huchunguza mienendo na ile ambayo ni ya kijinai huenda katika jinai na ile ya kimaadili (hili la posho ninadhani ni la kimaadili) linakwenda kamati ya Maadili na kisha Bunge kutoa adhabu.

Mwaka 2004 Sheria ya maadili ilirekebishwa ili Bunge lipitishe 'code of conduct' kwa wabunge. Mpaka leo hatujapitisha. Mwaka 2008 niliwasilisha muswada binafsi ili kuunda code na kisha kuunda ofisi ya Kamishna huyu. Mpaka leo Ofisi ya Spika imekalia muswada huu na kukataa kuupeleka kuwa gazzetted ili ujadiliwe Bungeni.

Hivi MwanaKijiji unajua wabunge wanasafiri kwa mabasi kutoka Dar kuja Dodoma na wanagushi risiti kuwa wanakuja kwa magari yao na wanalipwa. Unajua Wabunge wakiwa hawapo Bungeni au kwenye Kamati wanasainiana posho za vikao?

Tunafanya makosa, halafu hakuna code wala mamlaka ya kutuchunguza halafu tuachiwe. Hapana. Mwanakijiji wewe kwa heshima yako hupaswi kutetea uvunjifu wa maadili.

Waache TAKUKURU wafanye kazi yao. Lazima Wabunge tujue kuwa hatupo juu ya sheria na kwamba tupo accountable na answerable kwa vitendo vyetu (for actions and inactions).

Mhe. Zitto, Heshima yako kwanza,
Mimi ni mpiga kura wako nimefarijika kwa ufafanuzi huo ulioutoa, umetufungua macho. Mimi kitu ambacho sikubaliani nacho kuhusu uchunguzi dhidi ya wabunge na hasa swala la Mwakyembe, WTZ wengi wanaliona kama ni kulipa kisasi kwani mwenye taasisi inayoshughulikia uchunguzi huu naye ni mtuhumiwa, kwani hizo posho zimeanza kulipwa lini?? kwanini uchunguzi haukufanyika tangu mapema???? umesubiri Hoseah atuhumiwe ndipo ufanyike???Labda utuambie posho hizo zimelipwa baada ya tuhuma za akina Hosea. Hata hivyo ni matukio mengi ambayo sisi wenye akili zetu tunayaona bayana yakiwaandama wapiganaji wetu huko Bungeni ambao leo hii Dunia inathubutu kusema Bunge la Tanzania lina meno. Sasa kinachoitwa uchunguzi dhidi ya wabunge ni mbinu za makusudi za kuwanyamanzisha wapiganaji hao. Sipingi wabunge kuwa hawagushi au kupokea hizo posho, kwani mtoa posho naye tutamfanya nini kwani yeye alikuwa hajui kama wabunge wanapata posho zao huko bungeni. TAKUKURU nao sijui kama watachunguzwa. tupo pamoja Mhe. wangu
 
Mkuu nilivyokuelewa hapa ni kuwa TAKUKURU HAWANA KAZI YA KUFANYA, na wabunge wanaokubali kuhojiwa nao hawana kazi ya kufanya pia.

Dah, Na wale wabunge waliokubali kuhojiwa na CHAMA chao wana kazi za Kufanya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom