TAKUKURU leo kupasua jipu kwa waandishi wa habari

Dr.Hosea anategemewa leo kupasua jipu. Amesema maneno mengi yamesemwa kuhusu uchaguzi wa ccm kwamba ulitawaliwa kwa rushwa lakini hadi sasa hivi hamna aliye fikisha malalamiko takukuru. Sasa leo ameamua kupasua jipu. Hadi sasa haijafahamika ni jipu gani litapasuka leo. Ni hayo tu. mia

Mangapi wameyakalia. Iweje wapasue kwa sababu ya FTS kuzungumza. Jipu halijaiva mkae kimya.
 
Back
Top Bottom